Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Rais yupi?
Mkuu naona bado hata haijaozatunaendelea kufufua makaburi...
tunaendelea kufufua makaburi...
Twaha "General" Ulimwengu & JP Kasiga (2nd R) na Machel kambi ya FRELIMO, Nachingwea-wanajeshi wa kusaidia ukombozi.Naomba kutumia model ya ile Tenda ya Bandari
1. Ilitangazwa lini-Hikutangazwa
2. Consultant alikuwa nani?-CCCC
3. Estimates zake zinasemaje? zilianza Dola milioni 360 cha juu cha nanii na nanii ikafika 460-560 hadi 660
4. Tenda ilitangazwa na idara zipi za serikali?-Haikutangazwa
5. Kampuni ngapi ziliomba hiyo tenda?-moja CCCC
6. Majina ha hizo kampuni zilizoomba yako wapi?-CCCC
7. Evaluation team ya hiyo tender ilihusisha akina nani? -Wataalamu walipekwa China na CCCC
8. Pre qualification stage zilipita kampuni ngapi?-1 CCCC
9. Zilizoshindwa zilitolea kwa vigezo vipi? Hazikuwepo
10 .Technical specs za huu mradi ni zipi?-ziliandaliwa na CCCC
11. Financial specs za huu mradi mbona siri kubwa?-Ziliandaliwa na CCCC
12. Je kampuni ngapi za wana Mtwara zilihusishwa hata kwenye sub contracting?
13. jE mtwara development agency WALIHUSISHWAJE KWENYE HUU MPANGO?
14. hIZI TUHUMA ZA WATU KULA PESA cHINA NI KWELI? - ni uwongo!.
Hili la bandari CCCC ndio waliofanya feasibility study kwa ghara yao wenyewe!
CCCC wakatafuta funder Exim Bank
CCCC wakawa ndio wajenzi
CCCC wakaomba goverment guarantee wakapata!.
CCCC ndio wangerun mpaka utakapolipwa!.
Waziri Nundu akasmell a fish, akasimamisha kila kitu, wakamruka waziri, wakamtumia naibu waziri, government guarantee ikatoka bila kuombwa na waziri husika!. Waziri Nundu akamwaga ugali, JK akawatema wote, Mwakiembe ndie akamalizia kusafisha bandari.
Sasa ni zamu ya TPDC.
Pasco.
Eti leo hii mtu anasema Watanzania nani aliwaroga huku wanafanya mambo ya kulitia Taifa hasara kwa siri.Utasubiri hii kitu hata kwa miaka 100 hutaambulia chochote. Mafisadi wameshasema details za mikataba ya Serikali kuhusiana na rasilimali mbali mbali nchini ni siri kubwa.
Mkuu naona hukupata majibu Mpaka leo ?......