Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,909
946
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni Kijichi baada ya kubaini Chuo hicho kinaendeshwa kinyume cha Sheria.

DC Jokate ametoa agizo hilo wakati alipoungana na Wataalamu katika ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo ambapo aliambatana pia na Mkurugenzi-Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini kutoka NACTE Dkt. Joefrey Oleke.

Baada ya kufanya mahojiano na Mkuu wa Chuo hicho, DC Jokate alibaini kuwa kwa muda sasa Chuo hicho kimekua kikitoa mafunzo bila kupata usajili, pamoja na kutoa mafunzo kwenye mazingira yasiyo rasmi .

"Hamna kitu kibaya kama kufanya utapeli halafu ukadhani hutagundulika, Serikali ina macho kila sehemu, NACTE kaeni hapa na Polisi, lazima tupate 'information', Chuo hakijasajiliwa lakini hata mandhari yake haistahili, kuna Watu wanatoa huduma ambazo kiuhalisia hawastahili kutoa, tushirikiane katika ufuatiliaji, hawa wachukuliwe hatua kali huu ni utapeli"———-DC Jokate

Kwa upande wake Dkt. Jofrey Oleke amesitisha shughuli zote zinazoendelea katika chuo hicho, huku akielekeza taratibu nyingine za kisheria kufuatwa huku akisema kwa ukaguzi uliofanyika, chuo hicho hakitambuliki NACTE wala VETA.​

Jokate.JPG

View attachment 1919666

Alafu tunajiuliza kwann Tanzania ni maskini.
 
MKUU WA WILAYA YA TEMEKE (DC) MHE. JOKATE MWEGELO AMEAGIZA KUWEKWA CHINI YA ULINZI MKALI KWA VIONGOZI WA CHUO CHA LUBANDO TRAINING COLLEGE.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni Kijichi baada ya kubaini Chuo hicho kinaendeshwa kinyume cha Sheria.

DC Jokate Mwegelo ametoa agizo hilo wakati alipoungana na Wataalamu katika ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo ambapo aliambatana pia na Mkurugenzi-Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini kutoka NACTE Dkt. Joefrey Oleke.

Baada ya kufanya mahojiano na Mkuu wa Chuo hicho, DC Jokate Mwegelo alibaini kuwa kwa muda sasa Chuo hicho kimekua kikitoa mafunzo bila kupata usajili, pamoja na kutoa mafunzo kwenye mazingira yasiyo rasmi .

"Hamna kitu kibaya kama kufanya utapeli halafu ukadhani hutagundulika, Serikali ina macho kila sehemu, NACTE kaeni hapa na Polisi, lazima tupate 'information', Chuo hakijasajiliwa lakini hata mandhari yake haistahili, kuna Watu wanatoa huduma ambazo kiuhalisia hawastahili kutoa, tushirikiane katika ufuatiliaji, hawa wachukuliwe hatua kali huu ni utapeli"———-DC Jokate Mwegelo.

Kwa upande wake Dkt. Jofrey Oleke amesitisha shughuli zote zinazoendelea katika chuo hicho, huku akielekeza taratibu nyingine za kisheria kufuatwa huku akisema kwa ukaguzi uliofanyika, chuo hicho hakitambuliki NACTE wala VETA.
#MillardAyoUPDATES

IMG-20210901-WA0031.jpg

IMG-20210901-WA0037.jpg

IMG-20210901-WA0036.jpg

IMG-20210901-WA0038.jpg

IMG-20210901-WA0030.jpg

IMG-20210901-WA0035.jpg
 
Huyu naye ameanza ujinga ule ule wa kuweka watu ndani
Kama watu wanakosea unataka wafanywe nini? Wale wanafunzi baada ya kumaliza Chuo ina maana vyeti vyao havitatambulika na hawatapata ajira. Hili likiachwa na Serikali ikakaa kimya ni sawa na kuwapotezea muda wale vijana ambao wamewekeza muda wao na pesa zao kwa kitu ambacho hakina faida. Wezi ni wengi sana, ache ni tu Mhe DC Jokate asimamie majukumu yake.
 
kwa hiyo kuwaweka ndani ndiyo wanafunzi watapata vyeti? issue ilikuwa kuwapa muda wahakikishe kila kitu kimekaa sawa
 
Back
Top Bottom