bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,360

Kusema ukweli huenda hii biashara inalipa sana, maana ingawa bunge linapiga kelele lakini wapi hata leo navoongea tembo wanapigwa na mishale ya sumu na meno kung'olewa.Tafadhari mwenye uelewa anifahamishe hivi bei ya jino moja ni shilingi ngapi kiasi cha mtu kukubali kukabidhi roho yake kwa ajili ya hii kitu.Natamani kama ningempata anaejua bei ili niilinganishe na uhai wa mwanadamu