bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,360
- Thread starter
- #21
DuH.???Bwana mdogo unataka kuwa Jangili......?????????????????
Wewe nipe bei hayo mengine achana nayo maana hapa ndo tulipofikia nchi hii,ajira zimekuwa ngumu,biashara benki hazikopeshi kama huna kianzio ama hati ya viwanja na nyumba plus wadhamini kibao.So nikipiga mara moja nastop.Kama hutojali naskia hawauzi kwa pieces bali ni kwa kilo.Please msaada wako jino linaweza kuwa na kilo ngapi na pia nipe bei ya Tanzania usinipe za Singapoli na Hongkong maana kama nilivokueleza mimi nataka kupiga hapa hapa but only once nipate mtaji wangu nitulie.Waliotufikisha hapa wanajulikana sana so naomba msaada wako nione kama naweza kujaribu bahati yangu