'Tembo' avunja amri ya sita!

HIZI SASA NI AKILI ZA KU

HIZI SASA NI AKILI ZA kuazima afadhali umurudishie akili zake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.umetaja ndege na wanyama , na siyo binadamu. iko siku hata wewe utajufunza anayo fanya kuku ..... sitaki kukucheka
kwa hiyo ulioona wanagagaduana ni binadamu mpaka uulize kama mtoto kaona
 
Jifunze kucomment mbele ya watu wenye imani tofauti. Mpaka hapa umewadhihaki watu zaidi ya billion moja kwa ujinga wako!!
mtu mwenyewe mwana propoganda !!!!!!!!!!!!!!!! inawezekana hajui maana ya hilo neneo
 
Jifunze kucomment mbele ya watu wenye imani tofauti. Mpaka hapa umewadhihaki watu zaidi ya billion moja kwa ujinga wako!!
Wao ndio wajinga kwa sababu hata Biblia wanayobeba na kwepnda nayo kanisani haisemi kwamba amri ya kukemea zinaa ni ya sita.
 
Hao jamaa hapo juu lazima waporomoke gemu likikolea!

Tembo huwa hawakati kiuno wakati wa shughuli, analenga tu halafu anatoa kitu lita tano na mimba miaka mitatu, hivyo jamaa hapo juu wajibalance hakuna kuanguka!!!🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😀
 
ukute unahamu halafu umewekewa kidogo unaweza kulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntapiga hata cha wima [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji12] [emoji87] [emoji85] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…