NAFIKIRE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 681
- 466
Mwanawani mama Ndalichako kazi anayo..mmmhSio kwa ung'eng'e huu hahahahaaha "lays man language
Mwanawani mama Ndalichako kazi anayo..mmmhSio kwa ung'eng'e huu hahahahaaha "lays man language
Ikifika Saa Tisa usiku utimue...... utoke kama pepo mchafuMwisho wa kutumia room ni 3:00 AM!!
si mchezo
Duh.......View attachment 464725 Nyengine hiyo....




duu hii mixer hii

Shikamoo lugha ya malkia
mjomba Bujibuji umenipita kimya kimya nauza miwa jirani tu ya hotel ulimolala? ningekupa hata pingili kadhaa na viazi ukampelekea shemeji ajionee kiburi cha sisi wa mikoani. natumai ukirudi utapita!!Upo? wishing you weekend Kareem.
Nakuja tena weekend hiimjomba Bujibuji umenipita kimya kimya nauza miwa jirani tu ya hotel ulimolala? ningekupa hata pingili kadhaa na viazi ukampelekea shemeji ajionee kiburi cha sisi wa mikoani. natumai ukirudi utapita!!