Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
- Thread starter
- #21
Ndio watu pekee wanao onewa hivi sasa. Ukiwasema Wasukuma kesho uko Kisutu kwa uchocheziNaona Mkuu hutaki kuwa mchochezi!!
Ndio watu pekee wanao onewa hivi sasa. Ukiwasema Wasukuma kesho uko Kisutu kwa uchocheziNaona Mkuu hutaki kuwa mchochezi!!
Kazi ipo!
job available......(lugha ya mchapa tangazo)Kazi ipo!
Na siku hizi hawatozi 7m. Wanakupa miezi 6 au 8 dry.Ndio watu pekee wanao onewa hivi sasa. Ukiwasema Wasukuma kesho uko Kisutu kwa uchochezi
Upo? wishing you weekend Kareem.Mkuu ngoja nitafute kamusi nitarudi.
Hatari sana sheikhhao jamaa kiboko, kwahiyo ikifika saa tisa usiku wanakutimua??
Military Police hawaruhusiwi vyumbaniMimi sijamuelewa anaposema MP hairuhusiwi chumbani.
Nimeipenda vomitation ila ya kuachia chumba 3 am sheeeda kama nilienda kwa ajili ya kuwaona wenye ofisi zao siku hiyo na mie nitakuwa mlinzi
Good analysisMimi nafikiri kwa mtu anaye jua kimalkia ujumbe unaeleweka
Wasiwasi wangu tu ni kuwa;
- Mwisho wa kutumia chumba ni 03h00 (saa tisa usiku) ina maana baada ya hapo mtu anakwenda wapi kumalizia usingizi au hii ni guest house maalumu kwa wenyeji (katerero village)...anarudi kumalizia usingizi nyumbani?????
- Na hilo suala la usafi amekuwa specific sana...ni dalili ya unyanyasaji kwa hawa wenzetu??
- By the way, nimependa hizo instruction za kuwasha na kuzima heater ya bafuni
wachocheziWahaya wajuaji
Hahahaha!!Ndio watu pekee wanao onewa hivi sasa. Ukiwasema Wasukuma kesho uko Kisutu kwa uchochezi