Haya haya haya leo ndo leo tunataka tujue status yako katika relationship(love),kwa kufanya hivyo tutajua kama uko aidha single,married,occupied ,hanging,no direction,desperate,waiting,happy ,terminal lasting,flourishing,searching,alone forever,stressed up,sick and tired to hear about love and whetever ,Hata uchumba sugu(more than 5 years unachunguzwa kama TIS) nao wewe funguka tu
Hii ni special kwa tunaoshindaga humu,sometimes unakuta mtu anahangaika ku search wakati wake wa ubani mahabuba anaweza mpata hapahapa MMU,au kuna mtu anaku PM wakati tayari occupied
Haya tiririkeni naanza mwenyewe hapa
Mwekundu is single and very happy never ever satisfied ,ila ikikatisha tu ninanayo......!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums