Hata moyo wangu
hauniambii hivyo!Hata hivyo hongera sana,biblia yatuambia kuwa,heri yule
mtu hasiyezaa maana watoto wake yule hasiyezaa,ni wengi sana kuliko wa
yule anayezaa!Nun wa dhehebu gani
mwallu?
Sungura1980 hawi muwazi ila nahisi ameshakolea kwako a.k.a ameoza ngoja nmsaidie tu umuonee huruma
Teh...Lol... Mtego huo,ngoja aje asipoutegua umefanikisha lengo lako la ulezi
Mhh... wanaanza hivihivi mdogo mdogo baadae PMs kibaooo... Mzee finally unabeba jiko !!kila la kheri
hahaha,umeniwakilisha mamiiNasubir man wa ukwel,cjui anapatikana wap vile!
"If assured that all is well " mhh!
The statement is a little disturbing..
hahahahaa!Maekezo mengiii,,u tell ue marital status mengine baadae kidding
Na wewe hivyo hivyo unamwenyewe?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Fumba macho au ziba masikio ukishindwa kabisa mchonge wewe mwenyewe
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums