Tell your marital status!!special to someone you love or hate or whatever

Tell your marital status!!special to someone you love or hate or whatever

Nikisema single sio sahihi na nikisema occupied sio sahihi vilevile naweza kusema FLOURISHING !!
 
Nikisema single sio sahihi na nikisema occupied sio sahihi vilevile naweza kusema FLOURISHING !!
mimi49 sema uko single, occupied, no direction, complicated au vipi? Wengine twataka kuangalia nani yuko kundi gani hapa ili tuanze ile shughuli....!
 
Last edited by a moderator:
hata nikitaja sitapata,,,'humu wengi wako occupied!!!!!

Walahi niliyebaki single ni mimi mwenyewe Lol do you get my point?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaha.
Mdogo wangu mwekundu kaniambia eti na ugumu wote niliokuwa nao, kwa huyo kaka nimekuwa kama kuku mwenye mdondo.
Mapenzi Munkari, usicheze nayo.
Afu ukute huyo mwanaume anajitambua kuwa anapendwa...we acha tu.
Hutalala, hutasoma kwa raha, hutakula.
Jamani.
Dah!
Kweli yana run dunia!!
 
Last edited by a moderator:
Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu....

"Married with C6 "

Watu na watu wao,...bravo ndoa lini?au uko kwenye uchumba sugu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
^^
Asante mwekundu kwa kuleta mada inayogusa eneo zima la mahusiano mapenzi na urafiki.
Ntarudi
^^
Bado....hujafunguka mkuu,watu tunasubiria surprise from you kwa hamu kubwa


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nikisema single sio sahihi na nikisema occupied sio sahihi vilevile naweza kusema FLOURISHING !!

Funguka kuna mtu anakutamani humu MMU ili lijulikane moja aanze misele au asitishe?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Funguka kuna mtu anakutamani humu MMU ili lijulikane moja aanze misele au asitishe?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sitaki kutamaniwa ya yoyote kwa kweli..I just need to be alone I NEED A BREAK!!Na asije akajileta yoyote maana huo moto nitakaomtoa nao kutafuka moshi tu!!
 
Back
Top Bottom