Kama uzi unavyosomeka!! Funguka...married...searchin...in relation au??
so your status is pending?not delivered?
nishaitwa tayari
so i am a nun
I am married,happy,satisfied,completed.....need i say more
aaaaa sidhubutu..utanifukuzia ndege wangu buree
Hahahahahahaaaa!
Mwekundu umekremu!
...
Mi nilisubiria kwanza kuona comment za wengine! Sio na mimi nijikite ktk comment zao! Ila niwe huru kuongea na kuepuka kusomeka kirahisi!
hahahahaaa
Si unajua tena comment za mwanzo mwanzo!
....
Back to topic!
Kiukweli kwangu imekua vigumu kumuamini ke!
Moyo wangu mwepesi kupenda na pia ni mwepesi ku-give up!
Yap! Majeraha niliyopata kuhusiana mapenzi ni makubwa sana Mwekundu! Usiulize ni athari gani zimenikuta!!
Sometimes nashindwa kuwaelewa hawa ke wanachokitaka hasa ni nini? Ku-care! Handsome! Kugegeda vizuri! Or what! Najiulizaga sana! Na sijapata jibu!
Mmmh! Nimeamua tu na mimi niwe Zombie! Yap! Mapenzi ya kukoseshana usingizi siyataki kwa kweli! Hawa watu (ke) si wa kuamini kabisaaaa!
Mungu niepushe na VVU + majanga mengine!
...
Napenda sana kutulia na ke mmoja! But maumivu ya kuwa na ke mmoja ni makubwa sana!
Mmmh! Ngoja nizeeke zeeke kwanza huenda nitapata furaha!
Sina imani nao kwa sasa!
Sipendi nijikwae tena pale nilipozoea kujikwaa!
hata nikitaja sitapata,,,'humu wengi wako occupied!!!!!
Nasubir man wa ukwel,cjui anapatikana wap vile!
Fumba macho au ziba masikio ukishindwa kabisa mchonge wewe mwenyeweHahahahahahaaaa!
Mwekundu umekremu!
...
Mi nilisubiria kwanza kuona comment za wengine! Sio na mimi nijikite ktk comment zao! Ila niwe huru kuongea na kuepuka kusomeka kirahisi!
hahahahaaa
Si unajua tena comment za mwanzo mwanzo!
....
Back to topic!
Kiukweli kwangu imekua vigumu kumuamini ke!
Moyo wangu mwepesi kupenda na pia ni mwepesi ku-give up!
Yap! Majeraha niliyopata kuhusiana mapenzi ni makubwa sana Mwekundu! Usiulize ni athari gani zimenikuta!!
Sometimes nashindwa kuwaelewa hawa ke wanachokitaka hasa ni nini? Ku-care! Handsome! Kugegeda vizuri! Or what! Najiulizaga sana! Na sijapata jibu!
Mmmh! Nimeamua tu na mimi niwe Zombie! Yap! Mapenzi ya kukoseshana usingizi siyataki kwa kweli! Hawa watu (ke) si wa kuamini kabisaaaa!
Mungu niepushe na VVU + majanga mengine!
...
Napenda sana kutulia na ke mmoja! But maumivu ya kuwa na ke mmoja ni makubwa sana!
Mmmh! Ngoja nizeeke zeeke kwanza huenda nitapata furaha!
Sina imani nao kwa sasa!
Sipendi nijikwae tena pale nilipozoea kujikwaa!
Msijidangange kila mwanaume humu MMU ana mtu wake labda umwibie mwenzako au mshirikiane, kinachomatter zaidi ni nani shareholder mkubwa.....
Hope warembo mmenisoma