Tell your marital status!!special to someone you love or hate or whatever

Tell your marital status!!special to someone you love or hate or whatever

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Haya haya haya leo ndo leo tunataka tujue status yako katika relationship(love),kwa kufanya hivyo tutajua kama uko aidha single,married,occupied ,hanging,no direction,desperate,waiting,happy,UNATONGOZA AU KUTONGOZWA ,terminal lasting,flourishing,searching,alone forever,stressed up,sick and tired to hear about love and whetever ,Hata uchumba sugu(more than 5 years unachunguzwa kama TIS) nao wewe funguka tu
Hii ni special kwa tunaoshindaga humu,sometimes unakuta mtu anahangaika ku search wakati wake wa ubani mahabuba anaweza mpata hapahapa MMU,au kuna mtu anaku PM wakati tayari occupied
Haya tiririkeni naanza mwenyewe hapa
Mwekundu is single and very happy never ever satisfied ,ila ikikatisha tu ninanayo......!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Heaven on Earth naisubiria kwa hamu niijue

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Miss strong,Smile,Hamidini nyie ndo kabisaaa am waiting

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mshinga kelele nyingi humu hata sikusomi marital status yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mashaxizo wewe inaonyesha Bad boy unawaliza sana deny it,Bila kusahau simplicity

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
...na kwa jinsi ulivyo handsome sina shaka lara1 atakupigia pande kwa mdogo wake...
Teh!! Ha ha ha ngoja aje hata mwenyewe mbona naweza tu mmiliki namzimia sana....lakini sio kimapenzi lol!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nina ham nifunguke mie!!!! but ndugu zangu wa jf hamkawii kunishushua mie..
 
Am Single and No Direction.

Ha ha ha ha ha bora umekuja kupiga signature!!Miss you......mhhh lakini dah.... Hapana sio sawa kabisa tunajuana wewe hembu jibu swali hili Umewahi kuwa" UFOSARO" wangapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nina ham nifunguke mie!!!! but ndugu zangu wa jf hamkawii kunishushua mie..

Funguka basi nikupe zawadi,tena yako tunaisubiria mtoto mbiiiiichiiiiiiii Team cash money

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ha ha ha ha ha bora umekuja kupiga signature!!Miss you......mhhh lakini dah.... Hapana sio sawa kabisa tunajuana wewe hembu jibu swali hili Umewahi kuwa" UFOSARO" wangapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahaha mwekundu.
Mie sijam-Ufosaro mtu, sema kuna kimeo kinanivizia vizia, ndo nataka nipime mapigo yake ya moyo.

Nafurahia kuwa Single, kwani naenda popote, nafanya lolote bila bughudha ya mwanaume.
Wanaume wenyewe hawa pasua kichwa.
Nitabaki single mpaka pale nitakapoamua kuolewa.
CC: Kwa Dada zangu snowhite na gfsonwin.
 
Last edited by a moderator:

Safi sana miss independent dada yangu,vipi ile program ya jion pale kati iko kama kawa?Fanya vile plus u single no stress afya inajengeka miaka mingi...daima utaishi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Funguka tu bibie...hii ndo j.f we funguka tu...ingekua jukwaa la siasa ungesema unaogopa funguliwa kesi ya unga!!!

Mwambie huyo... Anaweza jibebea bonge la bwana hapa lililopo single

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom