Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

Wewe umefanya nn au kukaa tu kusubiri kuongea majungu au ww unajua zaidi ya hao wateja wa apple?fanya kazi acha majungu

Kilaza wewe pita kimya upeo wako bado sana. CHIEF MKWAWA ni miongoni mwa watu wanaoheshimika sana kwa upande wa teknolojia hapa jf.
 
Last edited by a moderator:
kwa wale waliokuwa wakiikandia design mpya ya apple nafikiri walikua sahihi kwa decision yao ya kueka aluminium imezua balaa kubwa duniani kote. watu wengi kutoka maeneo tofauti duniani wanaripoti iphone 6+ zao zinajikunja. ukiieka kwenye mfuko wa suruali ukikalia kidogo inajikunja kutokana na udhaifu wa alluminium.

watani zangu bado mnataka kununua simu yenu?

kak mi nahic we hujawahi kufany biashara sas ww hiyo iphon 6 unataka utumie mpaka unakufa au
 
Last edited by a moderator:
Simu hazitengenezwi ili zikaliwe. Anayekalia phablet ana matatizo kama huamini na una phablet basi anza tabia ya kuikalia kuanzia leo, kama haitapinda basi itadata kioo. Hili tatizo limechangiwa na mambo mawili:

1. Simu ni ya aluminium, ambapo wengi tutakubaliana kwamba aluminium ni bora kuliko miplastiki ya Samsung.

2. iPhone 6 Plus huenda ikawa ni Phablet nyembamba kuliko zote. Hii ina maana kuwa hata fremu yake ni nyembamba

Uzuri wenyewe haipindi kwa sababu unapiga simu au una surf internet bali kwa kuikalia au kuipinda kwa makusudi. Kwa hiyo kama unataka kununua simu hii go ahead it is a great phone. In my opinion the best Phablet in the market at the moment. chief-mkwawa ni mpinzani wa Apple tu sio kwamba hajui ukweli.

Na vile vile kama yupo ambaye ananunua simu ili iwe ni kigoda chake cha kukalia basi iPhone 6 Plus kweli haifai.
I salute
 
kak mi nahic we hujawahi kufany biashara sas ww hiyo iphon 6 unataka utumie mpaka unakufa au

sasa kuna haja gani kununua simu ambayo ukiwa nayo jeans nyembamba, modal, chupa huwezi kuzivaa? au tuanze kubeba kibegi cha kuekea simu
 
iOS 8 ina tatizo moja tu kubwa nalo ni la Health Kit, yaliyobaki ni bugs wa kawaida k ambapo OS mpya inapotoka hilo litarajiwe. Walichoombea radhi ni iOS 8.0.1 ambayo ilikuwa inalenga kufix tatizo lakini badala yake yenyewe ilikuwa na tatizo la network na touch id. Ndio wameomba radhi na kui-pull out. Mimi sijawahi hata kuiona kwa vile ilikaa muda mchache mno.

Otherwise iOS inachapa kazi kama kawaida tu.
 
1.kalamu- simu ikiwa kubwa inahitaji kalamu (stylus) kufanya kazi za productivity
2.split screen- simu ikiwa kubwa unaweza kurun app mbili kwa kugawanya kioo. mfano unachat na mtu huku upo jf na app zote mbili unaziona kwa mpigo.
3.better multitasking sababu ya tofauti kubwa ya ram
4.battery kubwa
5.camera ya mbele yenye aperture kubwa

na mara hii samsung ndio wa kwanza kutoa 20nm processor sijui ana kitu apple cha kuiringishia note
chief-mkwawa unaona je tuanze thread mpya "iPhone 6 Plus Vs Samsung Galaxy Note 4". Hapa naona kama hapatoshi! Halafu ndio hizi tu strengh za Note 4 au unanitania?
 
Ahsante kwa kufatilia ninayoandika. Na huenda ukawa sahihi kwamba nina kiasi fulani cha ushabiki. Hata hivyo mimi binafsi siamini, katu siamini kwamba iPhone 6 Plus inapinda unapoiweka mfuko wa mbele bila ya kuikalia. Sababu ya kusema hivyo ni kwamba nilibahatika kuipata simu hiyo siku ya pili baada ya kutoka sio tu kwamba ninaiweka mfukoni, nimejaribu hata kuipinda kwa kutumia gentle force, kwa lengo kwamba isije ikapinda lakini kuangalia itahimili force kiasi gani. Baada ya jaribio hilo nimeamini kuwa taarifa za kupinda mfuko wa mbele haziwezi kuwa ni sahihi. Sasa hivyo kuna media frenzy ambayo lengo lake ni sensationalism, the whole story has been blown out of proportion.

Mkuu hata Mungu alietuumba anapingwa japo hana kasoro hata kidogo sasa sembuse iphone 6 +, lazma watakuepo tu wapingamiz hahahaaaa......
 
Kama unatumia iPhone halafu huijui hii habari, basi hustahili kutumia smartphone.
 
Simu hazitengenezwi ili zikaliwe. Anayekalia phablet ana matatizo kama huamini na una phablet basi anza tabia ya kuikalia kuanzia leo, kama haitapinda basi itadata kioo. Hili tatizo limechangiwa na mambo mawili:

1. Simu ni ya aluminium, ambapo wengi tutakubaliana kwamba aluminium ni bora kuliko miplastiki ya Samsung.

2. iPhone 6 Plus huenda ikawa ni Phablet nyembamba kuliko zote. Hii ina maana kuwa hata fremu yake ni nyembamba

Uzuri wenyewe haipindi kwa sababu unapiga simu au una surf internet bali kwa kuikalia au kuipinda kwa makusudi. Kwa hiyo kama unataka kununua simu hii go ahead it is a great phone. In my opinion the best Phablet in the market at the moment. chief-mkwawa ni mpinzani wa Apple tu sio kwamba hajui ukweli.

Na vile vile kama yupo ambaye ananunua simu ili iwe ni kigoda chake cha kukalia basi iPhone 6 Plus kweli haifai.

Ishu ni kwamba kuna mambo mengine ni kawaida. Kama kuiweka mfuko wa mbele wa suruali. Sasa hata kwa hili inapinda?
Kama inapinda ikikaliwa (ikiwa pockets za nyuma) sioni kama ni tatizo kwa simu. Au kama inapinda ikipindwa kwa mikono pia si tatizo kwa simu.
NB: Sijawahi kutumia phablet yoyote.
 
Last edited by a moderator:
mimi nashindwa kuelewa sasa inakuwaje mtu unanunua simu halafu umaibend si umeyataka mwenyewe mfano huyu jamaa alowekwa hapa
 
tukiongelea wateja wa apple mkuu hata usipowapa specifications watanunua tu, yaani hata apple wakae kimya waanze kufanya presale kabla hawajawaonesha watu simu itavyokuwa amini nakwambia simu itagombewa kama njugu za kuchoma! hao ndiyo wapenzi wa apple walivyo. Kuhusu simu kupinda ikiwa imewekwa mfuko wa mbele na wewe unaamini mkuu?!!..hizo exageration tu, sema ikipewa pressure kidogo inapinda, siyo imekaa tu ipinde! Mimi ni mnazi wa kitambo sana wa Apple Inc. na hakuna simu za nyuma ambazo mimi sijawahi kununua, lakini kwenye 6s nilisema toka haijatoka kwamba sijaipenda hiyo design imekaa ovyo na sitanunua, upande wa design simu iliyoshinda kwa maoni yangu ni Note Edge, softwareni iOS 8, wala huwa sibishani kishabiki mkuu huwa napenda kuongea facts tu kwa sababu mwisho wa siku hizi simu hatupewi bure tunanunua cash, siwezi kusema mimi kufa na kuzikana ni Nokia hata iweje nisifie tu!

100% Mkuu, mnazi unayejua
 
[h=1]Apple Says iPhone 6 And 6 Plus Bending Complaints Number Less Than 10[/h] Posted 9 hours ago by Darrell Etherington (@drizzled)

Next Story
iphone-6-plus-rear-flat.jpg
Apple has responded to the various reports of iPhone 6 and 6 Plus bending, saying that it’s “extremely rare,” and that in fact, only nine people out of all the customers that bought devices thus far have complained. That would presumably mean nine out of the well over 10 million that have sold thus far.
Apple noted to TechCrunch that under normal use, the problem rarely occurs, which is in contrast to the demonstration videos hitting YouTube showing users deliberately trying to deform their devices in extremely artificial circumstances. Since the first reports had emerged, mostly in forum posts on Apple enthusiast sites, others including Wired contributor Mat Honan have also come forward noting that their devices had warped somewhat.
Apple also added that the newest iPhones are built with “steel/titanium inserts” to “reinforce stress locations,” and that they use “the strongest glass in the industry” in order to prevent any problems like those described. In addition to the use of high-quality materials, iPhone 6 and 6 Plus also underwent ample testing to ensure they can endure bending, sitting, torsion and other kinds of stress, even over prolonged periods, throughout their design and development. These kinds of tests are standard in the industry, and can be seen directly in this video from TechCrunch shot on location at Nokia’s gadget labs in 2008.

The echo chamber that is the tech blogosphere has perhaps contributed to blowing this problem out of proportion, which often happens when new hardware ships and a small but noteworthy issue comes to light. Apple has faced similar uproar in the past, particularly around bending with its devices since they switched to metal cases, but this time the amplification was especially loud.

Apple Says iPhone 6 And 6 Plus Bending Complaints Number Less Than 10 | TechCrunch
 
kuna weakness za kawaida ila hii ni too much unaipinda na vidole? kweli kaka ni kawaida hii? watu wanalalamika zinapinda hadi kwenye mifuko ya mbele ya shati.

Hahahaaaa duuh kaka hadi nahisi ulishawahi fanya kazi Apple wakakutimua bila mafao niniii!!

Ulivyolikuza tatizo na kuliongezea chumvi ni zaidi ya chuki kwani kampuni imetoa tamko kuwa Ni case tisa tuu za kupinda kwa iPhone zilizoripotiwa sasa. Na hiyo ya mfuko (wewe umeweka hadi wa shati) ni uongo pia nadhani umeona sehemu ambayo inajipinda ni kwenye volume buttons sehemu ambayo ni nyembamba zaidi pia inahitajika nguvu ya ziada kufanya hivyo sio kwa normal usage..!!

Zilivyotoka iPhone5 pia watu walisema zinajikunja ila vp yako (kama unayo) ilishajikunja??
 
Acheni wivu, mimi ni loyal customer wa Apple products na sijawahi juta...kuanzia laptops mpaka simu za Apple nilizowahi nunua nikatumia nikazichoka nikaachia wadogo zangu nikanunu versions nyingine...sijawahi juta! Nimeangalia hiyo video, hivi force yote iliyotumika hapo kukunja hiyo simu mpaka vidole vikawa vyekundu..in real life itatoka wapi kama huna dhamira ya kukunja hiyo simu? Mfuko wa mbele wa shati!? Na hey...c'mooon...nani anaweka android phone yake mfuko wa nyuma wa suruali...hata ya sh laki moja!? I am waiting for my iPhone 6+ na sitajuta kaka ambavyo sijawahi kujuta kwa Apple products

kwenye bold hapo ndo 'Mahaba niue' yenyewe coz inamaanisha hata kama ina tatizo kweli we ndo ushaamua kupenda na hutarudi nyuma. Nadhani una tafsiri tofauti kabisa, nina vyangu ninavyopenda kwa dhati, sijajua kwa nini nikuonee wivu kwa unavyovipenda kwa dhati. Mimi ni mpenzi wa Windows phone and specifically Nokia (Microsoft) devices. I now use a Lumia 925 it has it pros and cons but i still love it na sijawahi kujuta pia. Ila natambua kuwa ina mapungufu yake na siwezi kumdanganya mtu kuwa iko perfect. Nachoona pia unajaribu kukanusha kuwa Apple hawafanyi makosa au hawawezi kufanya makosa, hapa unachanganya mapenzi na uhalisia wa mambo. Naweza tu kukupa mfano, device yangu inapiga picha nzuri in low light situations kuliko device yoyote ya apple (bar iphone 6 sijawahi kuiona wala kulinganisha). Hii ni kujaribu tu kukuonyesha kuwa Apple siyo Mungu kuwa watakuwa perfect kwenye kila kitu. Kwa kuwa sina nia ya kubishana na mapenzi ya mtu, ni ushauri tu kuwa usichukue hiyo video kama ndo ushahidi pekee wa hilo tatizo. Fanya na utafiti kwenye mitandao mingine, labda ni siasa tu za hao wenye wivu hata mimi sijui extent ya ukweli wake. Being honest hilo tatizo labda ni kweli au si kweli. Ila kumbuka ukipenda kitu na ukaridhika nacho, haimaanishi kuwa hicho kitu ni perfect, huhitaji sayansi ya mapenzi kujua hili.
Endelea kupenda unachokipenda, na bidhaa za apple si mbaya ILA si perfect na haziwezi kuwa perfect eti kwa sababu tu unazipenda na umeridhika nazo.
 
Mti wnye matunda ndio hupigwa mawe
Hizi huwa ni hadithi za kawaida kabisa kila Apple akitoa simu mpya, yatasemwa mengi sana

Ninayo Iphone 6+ na inapeta tu hakuna cha kubend wala nini,hizi kelele tulishazizoe,unakumbuka hata kwenye Iphone 5 pia walicritisize hivyo hivyo.
cc @CYBERTEQ
 
Mnaponda tu. Kwanza chanzo cha hii habari hatukijui. Hakuna kama iphone. Visimu vingine full kuchemka. Full ku stuck. Full kuingiliwa virusi. Nakumbuka nilikuwa na blackberry in the middle of a call the phone suddenly stucks. . Apple wametisha na tunaendelea kula maisha.
Yote umesema,hakuna kama Iphone tena 6+,full kujiachia.Nilijaribu Samsung Galaxy note 3,week moja nilishaboreka,nikamrudishia Husband,then back to my Iphone 5s na sasa 6+ kwa raha zangu.
 
Hahahaaaa duuh kaka hadi nahisi ulishawahi fanya kazi Apple wakakutimua bila mafao niniii!!

Ulivyolikuza tatizo na kuliongezea chumvi ni zaidi ya chuki kwani kampuni imetoa tamko kuwa Ni case tisa tuu za kupinda kwa iPhone zilizoripotiwa sasa. Na hiyo ya mfuko (wewe umeweka hadi wa shati) ni uongo pia nadhani umeona sehemu ambayo inajipinda ni kwenye volume buttons sehemu ambayo ni nyembamba zaidi pia inahitajika nguvu ya ziada kufanya hivyo sio kwa normal usage..!!

Zilivyotoka iPhone5 pia watu walisema zinajikunja ila vp yako (kama unayo) ilishajikunja??
Ana gubu huyo na Apple utadhani wake wenza wanaoishi nyumba moja lol!
 
kwenye bold hapo ndo 'Mahaba niue' yenyewe coz inamaanisha hata kama ina tatizo kweli we ndo ushaamua kupenda na hutarudi nyuma. Nadhani una tafsiri tofauti kabisa, nina vyangu ninavyopenda kwa dhati, sijajua kwa nini nikuonee wivu kwa unavyovipenda kwa dhati. Mimi ni mpenzi wa Windows phone and specifically Nokia (Microsoft) devices. I now use a Lumia 925 it has it pros and cons but i still love it na sijawahi kujuta pia. Ila natambua kuwa ina mapungufu yake na siwezi kumdanganya mtu kuwa iko perfect. Nachoona pia unajaribu kukanusha kuwa Apple hawafanyi makosa au hawawezi kufanya makosa, hapa unachanganya mapenzi na uhalisia wa mambo. Naweza tu kukupa mfano, device yangu inapiga picha nzuri in low light situations kuliko device yoyote ya apple (bar iphone 6 sijawahi kuiona wala kulinganisha). Hii ni kujaribu tu kukuonyesha kuwa Apple siyo Mungu kuwa watakuwa perfect kwenye kila kitu. Kwa kuwa sina nia ya kubishana na mapenzi ya mtu, ni ushauri tu kuwa usichukue hiyo video kama ndo ushahidi pekee wa hilo tatizo. Fanya na utafiti kwenye mitandao mingine, labda ni siasa tu za hao wenye wivu hata mimi sijui extent ya ukweli wake. Being honest hilo tatizo labda ni kweli au si kweli. Ila kumbuka ukipenda kitu na ukaridhika nacho, haimaanishi kuwa hicho kitu ni perfect, huhitaji sayansi ya mapenzi kujua hili.
Endelea kupenda unachokipenda, na bidhaa za apple si mbaya ILA si perfect na haziwezi kuwa perfect eti kwa sababu tu unazipenda na umeridhika nazo.

Nawe umenijibu kishabiki..japo sijui ushabiki wako umeegemea wapi. Sijasema Apple products ziko perfect, wala ni Mungu, wala Apple hawafanyi makosa. Kinachoongelewa hapa ni kuhusu ku'bend' kwa iPhone 6+. Na ninachojaribu kusema mimi nikuwa, sitaacha kununua iPhone Apple 6+ kisa inabend...kwani hata ukiangalia hiyo demo video ni dhahiri huyo jamaa ameapply force kubwa ambayo haiwezi kutokana na kuweka hiyo simu kwenye mfuko wa shati! Na pia, tangu nimeanza kutumia Android phones, or rather tangu nimeanza kutumia simu..sijawahi weka mfuko wa nyuma wa suruali...sasa kwa nini niogope kununua kitu ninachopenda kwa cons ambazo najua hazitanitokea. My iPhone 6+ wont bend for simply putting it in my shirt pocket, and I wont put it in my back trouser pocket...nihofu nini!?
 
Back
Top Bottom