Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

Nawe umenijibu kishabiki..japo sijui ushabiki wako umeegemea wapi. Sijasema Apple products ziko perfect, wala ni Mungu, wala Apple hawafanyi makosa. Kinachoongelewa hapa ni kuhusu ku'bend' kwa iPhone 6+. Na ninachojaribu kusema mimi nikuwa, sitaacha kununua iPhone Apple 6+ kisa inabend...kwani hata ukiangalia hiyo demo video ni dhahiri huyo jamaa ameapply force kubwa ambayo haiwezi kutokana na kuweka hiyo simu kwenye mfuko wa shati! Na pia, tangu nimeanza kutumia Android phones, or rather tangu nimeanza kutumia simu..sijawahi weka mfuko wa nyuma wa suruali...sasa kwa nini niogope kununua kitu ninachopenda kwa cons ambazo najua hazitanitokea. My iPhone 6+ wont bend for simply putting it in my shirt pocket, and I wont put it in my back trouser pocket...nihofu nini!?

Mi ni mpenzi wa windows phone, nilikiri hivyo labda hukusoma vizuri post yangu. Sichukii bidhaa za apple wala android. Nazijua zote coz nimetumia sana android na nimekaa kidogo na iphone 5 na ipad 4 ingawa sijawahi kuzimiliki hizi za apple. Nilikuwa najaribu kusema inawezekana zina hilo tatizo ila kama umethibitisha halipo na apple wamethibitisha hazipindi kirahisi, no problem. Sijawahi kukubaliana na wanaosema itapinda ukiweka mfuko wa nyuma wa suruali coz hata simu nyingine utaiua tu, na wala si mfuko wa shati. Ila kama itapinda kwa pressure ya vidole vya mikono, then ni tatizo. Inabaki tu kuwa hilo tatizo ni kubwa kiasi gani na nguvu kiasi gani au mazingira rahisi kiasi gani yanaweza kuipindisha. Pima hilo kwa faida yako mwenyewe (kwa kuwa wewe ndo mnunuzi wa device) na unaweza kutujuza pia siye tunayoona hiyo ni negative point ya 6+ (ndugu zangu wa karibu ni wapenzi wa apple naweza kuwashauri).
Napinga comments zilizo na ushabiki, na nenda kwenye tech sites utaelewa kwa nini nasema hivyo. Being too much loyal (like most Apple users, according to research) can also impair your ability to make a fair assessment, comment and analysis. just be careful.... But also I hope you are well informed and careful enough to make the right decisions for yourself . Thanks
 
Out of 10million units sold so far, only 9 units reported bend
Lakini sasa utasikia maneno hadi uchoke, eti hata ukiweka mfuko wa mbele wa shati inapinda........only stupid can believe that shit propaganda
 
Ishu ni kwamba kuna mambo mengine ni kawaida. Kama kuiweka mfuko wa mbele wa suruali. Sasa hata kwa hili inapinda?
Kama inapinda ikikaliwa (ikiwa pockets za nyuma) sioni kama ni tatizo kwa simu. Au kama inapinda ikipindwa kwa mikono pia si tatizo kwa simu.
NB: Sijawahi kutumia phablet yoyote.

Nilisema awali kwamba hi issue ni media frenzy na sensationalism. BBC technology wamefanya "unscientific test" juu kuvunjika kwa iPhone kwa kuiweka mfuko wa mbele na wa nyuma. Wamekalia kwenye sofa na kiti cha kawaida chenye surface ngumu mara kadhaa, simu haikupinda wala nini. Off course mimi naamini simu yoyote ukiikalia kwa kishindo inaweza kupinda au hata kujunjika screen. Anipe kazi hiyo nitamvujia simu kwa kuikalia halafu sina haja ya malipo.

BBC News - Apple says bent iPhones are 'rare'
 
Lol sijaliona bado, in the other news Apple already made another blunder leo... iOS 8.0.1 is killing cellular service and touch id on the 6 and 6+! People are advises to not update! Very bad week for apple.
ub16 nimepata update ya iOS 8.0.2 could this be the answer to the problem with 8.0.1? Please let me know as I have updated Iphone6+ na nimehesitate kuapdate 5s kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Acheni wivu, mimi ni loyal customer wa Apple products na sijawahi juta...kuanzia laptops mpaka simu za Apple nilizowahi nunua nikatumia nikazichoka nikaachia wadogo zangu nikanunu versions nyingine...sijawahi juta! Nimeangalia hiyo video, hivi force yote iliyotumika hapo kukunja hiyo simu mpaka vidole vikawa vyekundu..in real life itatoka wapi kama huna dhamira ya kukunja hiyo simu? Mfuko wa mbele wa shati!? Na hey...c'mooon...nani anaweka android phone yake mfuko wa nyuma wa suruali...hata ya sh laki moja!? I am waiting for my iPhone 6+ na sitajuta kaka ambavyo sijawahi kujuta kwa Apple products
Heri wewe uliesema ukweli mtupu,mie tayari nina kifaa changu 6+,ukiwa na hii huhitaji kubeba tena Ipad,the thing is perfect kwa matumizi hata ya Ipad.
cc CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:
ub16 nimepata update ya iOS 8.0.2 could this be the answer to the problem with 8.0.1? Please let me know as I have updated Iphone6+ na nimehesitate kuapdate 5s kwanza.

I updated to 8.0.2 ipo vizuri inafanya kazi kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
hii ndio explanation ya kitaalamu zaidi nilioipata

This isn’t right. iPhone’s bending problem has nothing to do with aluminum. It has everything to do with geometry.

((Edit: Material choice matters, always. But material has to work together with the geometry it’s been shaped into. The choice of aluminum here isn’t the limiting factor. The geometric design of the aluminum chassis is.))

Nobody uses pure aluminum for general purpose manufacturing. They use aluminum alloys instead. And the alloys themselves are incredibly diverse.
You can get extremely rigid alloys that will be incredibly difficult to bend even in thin structures prone to bending (such as 7075), but the disadvantage of that is difficulty of machining (and often welding too). This type is dominantly used in transportation industry (automotive, marine, aircraft, etc). Manufacturers take the additional manufacturing costs in order to reap the great strength-to-density ratio.

And then there are buttery soft alloys that are extremely easy to machine (3031 for instance), even manually, but they’re also way too deformable to be useful for any load bearing purposes. I don’t have too much experience with these, but they’re cheap, and generally a good choice for decorative uses.
Apple uses anodized 6000 series aluminum (most likely 6061, possibly a tempered variant like -T4 edit: apparently it’s 6003, which is similar to 6061 in properties). This is a good compromise between the extremes, and is the most ubiquitous aluminum alloy out there. It’s got good mechanical properties, easy to machine, easy to weld. Their choice of material was correct in this case.

The problem with the iPhone 6 chassis comes from something we call “stress concentration” in engineering and this phenomenon is related to the geometry of an object. More specifically, it has to do with the cross section profile that is being bent.

If you watch the bending test video, you’ll notice that iPhone 6 bent exactly at the root of the volume buttons. And if you look even more closely, you’ll notice that the bending is actually on just one side — the side of the volume buttons. The opposite side is actually mostly unscathed.

This is because the cross section area of the bending profile decreases dramatically right at that point. They have cut out a hole to accommodate the volume buttons, and when under loading, the internal stresses of the structure are being concentrated at the base of this cutout. So when the structure fails, it fails at that point. The lower cross section area decreases the resistance to bending, and makes it possible to bend the chassis at a lower applied force than what it would take otherwise, had the volume buttons not been there (but of course they have to be there).

The result here wouldn’t have changed if Apple had used plastic in place of aluminum. In fact, it probably would have been worse. Typically phone manufacturers use brittle plastic in their devices (ductile plastic is the kind that feels really cheap and terrible), so the chassis would have broken entirely at the same point. They could have avoided the issue, maybe, if they opted for steel or a tougher aluminum alloy but then you run into other problems and have to retool essentially your entire product line.

The reason why Galaxy Note 3 passes the bending test doesn’t have anything to do with the material it’s made out of. It has everything to do with the internal geometry of the chassis. The internal magnesium alloy chassis (which isn’t any better than aluminum as a material) has an I-beam cross section that is great against bending, and it’s further sandwiched between two shells, which are in this case plastic. It’s reinforced very thoroughly, to the point where human-applied forces cannot bend the device beyond its “elastic range” (this is the deformation range within which the device can recover to its original state when loads are removed).

Apple could have designed the aluminum chassis in a way that would accomplish the exact same thing, and if they had, people wouldn’t be mistakenly criticizing the aluminum here. They would just be talking about how nice the material feels to the touch (because it does, and yes, it is “premium” much more so than plastic). Unfortunately, they ----ed it up. Again, it’s all in the geometry.

kuihitimisha topic, hakuna mtu atakaekuzuia kununua simu huo ni uamuzi wako na utabakia wa kwako peke yako. ila tu muwe makini na eneo la chini ya volume keys kwani ni tupu ndio maana linapinda. iboys/igirls
 
Last edited by a moderator:
Nunua yako then fanya majaribio je inajikunja au laaa!!!...(Usiamini unachokiona au kukusikia)
 
Nunua yako then fanya majaribio je inajikunja au laaa!!!...(Usiamini unachokiona au kukusikia)

unamaanisha na wanaume tusiamini kama kuna kuzaa maisha yetu yote maana hatubebi mimba just tunaona tu
 
Inavyoonekana kwenye hiyo video iphone 6+ ipo weak, na kama unayo bora usiingie nayo kwenye daladala zetu za huku dsm huku umeweka kwenye jeans maana unaweza shuka ukakuta tayari unayo iphone 6+ IFLEX
 
kesi tisa kati ya simu milioni ngapi kweli zilizouzwa mpaka leo?!!! msiwe mnaexagerate mambo.
 
kesi tisa kati ya simu milioni ngapi kweli zilizouzwa mpaka leo?!!! msiwe mnaexagerate mambo.

Hiyo si lugha ya kibiashara, unafikiri wanaweza kukuambia real data! Na hiyo ni hata wik haijaisha je ukifka mwezi!
 
kwa wale waliokuwa wakiikandia design mpya ya apple nafikiri walikua sahihi kwa decision yao ya kueka aluminium imezua balaa kubwa duniani kote. watu wengi kutoka maeneo tofauti duniani wanaripoti iphone 6+ zao zinajikunja. ukiieka kwenye mfuko wa suruali ukikalia kidogo inajikunja kutokana na udhaifu wa alluminium.

watani zangu bado mnataka kununua simu yenu?



Shortfalls can be dealt with.
 
Last edited by a moderator:
Iphone 6 iko sexy hamjui tu na weng mnaoponda hamjawai tumia hiz makitu ya apple.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo si lugha ya kibiashara, unafikiri wanaweza kukuambia real data! Na hiyo ni hata wik haijaisha je ukifka mwezi!

Siku hizi hauwezi kuficha kitu ndugu yangu, tisa kwenye milioni ishirini bado haina athari, hata ingekuwa mia kwenye milioni ishirini bado haisumbui watu wanazidi kununua, tunaopiga kelele ni wapinzani wa Apple tu!
 
Back
Top Bottom