Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

I think you are wrong. Kuna watu wengi tu sio wa iphone peke yake wanategemea reviews za sites kama hizo ili ziwasaidie kufanya maamuzi sahihi. Mimi pamoja na kupenda kwangu Lumia (tena ni mnazi) sikununua mpaka nilipopitia baadhi ya hizi sites za tech kuelewa vizuri pros na cons za device niliyonunua. People will still buy iphones sababu wanazipenda na ni nzuri lakini ukweli ni kuwa kwa taarifa hizi mauzo ya iPhone 6+ yatapungua sana tu. Pengine kwa sababu hili tatizo haliligusi iphone 6 zenyewe zitaendelea kutoka kwa kiwango kikubwa. Mi si mpenzi sana wa iphone lakini kwa tatizo hili iphone 6+ siwezi kumshauri mtu anunue, ntamshauri ahamie kwenye 6 tu, 4.7" siyo size mbaya sana.

Kama inaanza kupinda hata ikiwekwa mfuko wa mbele, siyo habari nzuri. Kwa wanazi wa apple ambao wanasema hili si tatizo basi ndo wale wanaitwa 'mahaba niue'. Mimi na unazi wangu wa windows phone OS, nakiri bado kuna kazi ya kufanya upande wa software, na wala siwezi kuanza kubisha vitu ambavyo ni wazi.
Cheearsssss
 
tukiongelea wateja wa apple mkuu hata usipowapa specifications watanunua tu, yaani hata apple wakae kimya waanze kufanya presale kabla hawajawaonesha watu simu itavyokuwa amini nakwambia simu itagombewa kama njugu za kuchoma! hao ndiyo wapenzi wa apple walivyo. Kuhusu simu kupinda ikiwa imewekwa mfuko wa mbele na wewe unaamini mkuu?!!..hizo exageration tu, sema ikipewa pressure kidogo inapinda, siyo imekaa tu ipinde! Mimi ni mnazi wa kitambo sana wa Apple Inc. na hakuna simu za nyuma ambazo mimi sijawahi kununua, lakini kwenye 6s nilisema toka haijatoka kwamba sijaipenda hiyo design imekaa ovyo na sitanunua, upande wa design simu iliyoshinda kwa maoni yangu ni Note Edge, softwareni iOS 8, wala huwa sibishani kishabiki mkuu huwa napenda kuongea facts tu kwa sababu mwisho wa siku hizi simu hatupewi bure tunanunua cash, siwezi kusema mimi kufa na kuzikana ni Nokia hata iweje nisifie tu!

Wapenzi wa Apple asilimia kubwa ni 'Mahaba Niue', Ndugu zangu wawili wa kuzaliwa nao ni mfano mzuri, nawajua vizuri. Siyo kitu kibaya sana kwa sababu hata bidhaa yenyewe siyo mbaya. ila ushabiki maandazi wa kupinga hata ukweli ndio tatizo langu. Na wapo wanokubali mapungufu yaliyo kwenye apple, sina tatizo nao. after all no one or nothing is perfect.
Kuhusu kubend sikumaanisha uiweke tu mfuko wa mbele halafu ipinde kirahisi kama karatasi, pressure kidogo za hapa na pale lazima ziwepo. ila nawapinga wanaofikiria au kubisha kuwa mpaka uiweke mfuko wa nyuma na uikalie.
 
chief-mkwawa kaka ukiacha hilo la bend test pia wamecheemka iOS 8 ina bugs kiasi kwamba wameomba radhi sasa inatoka iOs 8.0.2 kurekebisha makosa, jamaa hawajajipanga vizuri this time
 
Last edited by a moderator:
tukiongelea wateja wa apple mkuu hata usipowapa specifications watanunua tu, yaani hata apple wakae kimya waanze kufanya presale kabla hawajawaonesha watu simu itavyokuwa amini nakwambia simu itagombewa kama njugu za kuchoma! hao ndiyo wapenzi wa apple walivyo. Kuhusu simu kupinda ikiwa imewekwa mfuko wa mbele na wewe unaamini mkuu?!!..hizo exageration tu, sema ikipewa pressure kidogo inapinda, siyo imekaa tu ipinde! Mimi ni mnazi wa kitambo sana wa Apple Inc. na hakuna simu za nyuma ambazo mimi sijawahi kununua, lakini kwenye 6s nilisema toka haijatoka kwamba sijaipenda hiyo design imekaa ovyo na sitanunua, upande wa design simu iliyoshinda kwa maoni yangu ni Note Edge, softwareni iOS 8, wala huwa sibishani kishabiki mkuu huwa napenda kuongea facts tu kwa sababu mwisho wa siku hizi simu hatupewi bure tunanunua cash, siwezi kusema mimi kufa na kuzikana ni Nokia hata iweje nisifie tu!

Hata NoKIA walikua hivohvo,lakin wakapoteza wateja taratibu,kimsing wateja hawakimbii ghafla tu,hata blackberry walikimbia taratibu..

Watakaochukizwa na iphone ya sasa hawatapata attention kwa inayotoka mwakan..ndivyohivo
 
Jibu lako ni neno moja tu: Semsationalism, wewe hujiulizi kwa nini mtu ukalie simu kubwa namna hii? Hebu ni nani kati yetu anakalia Samsung Galaxy Note au SOxy Xperia Z Ultra?

Mkuu. Millah Nafuatilia post zako nying sana,n mtu unaejua sana kuhusu simu na ni mtu unaejua sana kuhusu haya mambo..

LAKINI TATZO LAKO KUBWA NI KWAMBA UNACHANGIA KISHABIKI,.

Sidhani kama utakua akili timamu kusema hilo sio tatzo,yani ukiweka mfukon(hata wa mbele kwenye suruali) ukikaa tu inajkunja,we unasema sii tatzo.!!!

Kwenye hili jukwaa hua hatulet ushabiki,tunaongeaga ukweli hata ukikuuma,ndo maana utamkuta chief-mkwawa. Kwenye thread hii anaisifia android kwa kitu fulan kwenye thread nyngne anaiponda kwa sababu flani..
hivo jirekebishe mkuu,sidhan kama wewe unaipenda iphone zaid ya. CYBERTEQ lakin kwenye ukweli kakubali
 
Last edited by a moderator:
hiv ngoja niulize kwa matumiz ya kawaida we una haja gan ya kubend namna ile simu?
pili wangap wanaweka simu mifuko ya nyuma tanzania hii hata kitoch tu ukiweka kitapasuka
nafikir tuanze na weekenes za internal ambazo znarelate moja kwa moja na simu(softwares)
Na hata hvyo kila biashara ina competitors usitegemee makampuni mengne ya simu yasitoe negative feedback on others product,kwahyo hata samsung wangetoa ya kwao bado watu wangekuja na kucoment negatively same way like what they do right now
la msing kama unapenda samsung lg whatever penda kwa mapenz yako hakuna mtu atakaekwambia utumie iphone or siemens if they still exist!
 
Landrover....
Land%20Rover%20S1%20orange.png
 
Wapenzi wa Apple asilimia kubwa ni 'Mahaba Niue', Ndugu zangu wawili wa kuzaliwa nao ni mfano mzuri, nawajua vizuri. Siyo kitu kibaya sana kwa sababu hata bidhaa yenyewe siyo mbaya. ila ushabiki maandazi wa kupinga hata ukweli ndio tatizo langu. Na wapo wanokubali mapungufu yaliyo kwenye apple, sina tatizo nao. after all no one or nothing is perfect.
Kuhusu kubend sikumaanisha uiweke tu mfuko wa mbele halafu ipinde kirahisi kama karatasi, pressure kidogo za hapa na pale lazima ziwepo. ila nawapinga wanaofikiria au kubisha kuwa mpaka uiweke mfuko wa nyuma na uikalie.

Acheni wivu, mimi ni loyal customer wa Apple products na sijawahi juta...kuanzia laptops mpaka simu za Apple nilizowahi nunua nikatumia nikazichoka nikaachia wadogo zangu nikanunu versions nyingine...sijawahi juta! Nimeangalia hiyo video, hivi force yote iliyotumika hapo kukunja hiyo simu mpaka vidole vikawa vyekundu..in real life itatoka wapi kama huna dhamira ya kukunja hiyo simu? Mfuko wa mbele wa shati!? Na hey...c'mooon...nani anaweka android phone yake mfuko wa nyuma wa suruali...hata ya sh laki moja!? I am waiting for my iPhone 6+ na sitajuta kaka ambavyo sijawahi kujuta kwa Apple products
 
Hata NoKIA walikua hivohvo,lakin wakapoteza wateja taratibu,kimsing wateja hawakimbii ghafla tu,hata blackberry walikimbia taratibu..

Watakaochukizwa na iphone ya sasa hawatapata attention kwa inayotoka mwakan..ndivyohivo

angalia mauzo ya mwaka jana uangalie na ya mwaka huu ndiyo utajua iPhone inapoteza au inaongeza wateja! itashuka, lakini siyo leo wala kesho.
 
Mkuu. Millah Nafuatilia post zako nying sana,n mtu unaejua sana kuhusu simu na ni mtu unaejua sana kuhusu haya mambo..

LAKINI TATZO LAKO KUBWA NI KWAMBA UNACHANGIA KISHABIKI,.

Sidhani kama utakua akili timamu kusema hilo sio tatzo,yani ukiweka mfukon(hata wa mbele kwenye suruali) ukikaa tu inajkunja,we unasema sii tatzo.!!!

Kwenye hili jukwaa hua hatulet ushabiki,tunaongeaga ukweli hata ukikuuma,ndo maana utamkuta chief-mkwawa. Kwenye thread hii anaisifia android kwa kitu fulan kwenye thread nyngne anaiponda kwa sababu flani..
hivo jirekebishe mkuu,sidhan kama wewe unaipenda iphone zaid ya. CYBERTEQ lakin kwenye ukweli kakubali

Ahsante kwa kufatilia ninayoandika. Na huenda ukawa sahihi kwamba nina kiasi fulani cha ushabiki. Hata hivyo mimi binafsi siamini, katu siamini kwamba iPhone 6 Plus inapinda unapoiweka mfuko wa mbele bila ya kuikalia. Sababu ya kusema hivyo ni kwamba nilibahatika kuipata simu hiyo siku ya pili baada ya kutoka sio tu kwamba ninaiweka mfukoni, nimejaribu hata kuipinda kwa kutumia gentle force, kwa lengo kwamba isije ikapinda lakini kuangalia itahimili force kiasi gani. Baada ya jaribio hilo nimeamini kuwa taarifa za kupinda mfuko wa mbele haziwezi kuwa ni sahihi. Sasa hivyo kuna media frenzy ambayo lengo lake ni sensationalism, the whole story has been blown out of proportion.
 
ni kweli zina matatizo, lakini mauzo ya iPhone hayategemei gsm arena, wateja wa iPhone ni wachache sana wanaotembelea gsm arena kwa sababu gsm arena huwa wanapata info za iPhone late sana. navyowafahamu wateja wa iphone hili tatizo bado halitawazuiya kununua iPhone, provided kwakmba wako covered na warranty!

Wateja wa iPhone 6 na 6Plus wamepata specs za simu hiyo wiki moja kabla ya simu kutoka kwenye Keynote rasmi. Na info hizo ziko wazi kenywe mtandao wa Apple. Na hata GSMArena hawawezi kutoa specs zitakazosaidia kujua kupinda au kutokupinda kwa iPhone!
 
hiv ngoja niulize kwa matumiz ya kawaida we una haja gan ya kubend namna ile simu?
pili wangap wanaweka simu mifuko ya nyuma tanzania hii hata kitoch tu ukiweka kitapasuka
nafikir tuanze na weekenes za internal ambazo znarelate moja kwa moja na simu(softwares)
Na hata hvyo kila biashara ina competitors usitegemee makampuni mengne ya simu yasitoe negative feedback on others product,kwahyo hata samsung wangetoa ya kwao bado watu wangekuja na kucoment negatively same way like what they do right now
la msing kama unapenda samsung lg whatever penda kwa mapenz yako hakuna mtu atakaekwambia utumie iphone or siemens if they still exist!

kaka hii sio simu ya kwanza ya alluminium tumeona lumia 925, tumeona htc one, tumeona simu nyingi lakini hazibend. kama alluminium iliotumika ni cheap hivyo na inajikunja ujue basi effect yoyote inayopata alluminium cheap itaipata hiyo simu. na hili ni sababu wanataka simu yao iwe nyembamba wakaeka layer ya alluminium nyembamba sana
1. scratch za kutosha tu utazipata kwenye simu, na sababu ni alluminium itakwaruza pia
2. weak point yake ni kwenye button za kuongeza sauti na kupunguza kila mtu anaereport anapataja hapo. ndio mahali pia papo busy hivyo long term patabend tu.
3.pia am not sure kama hali ya hewa haitaifanya simu itoke mabonde mabonde
 
Kwani Note 4 ina nini jipya zaidi ya fremu ya aluminium badala ya plastiki? What sort of proof do you want?
Nikipata muda nitakuletea several comparison and between the two. Naamini comparison hiyo itatoa jibu lako

1.kalamu- simu ikiwa kubwa inahitaji kalamu (stylus) kufanya kazi za productivity
2.split screen- simu ikiwa kubwa unaweza kurun app mbili kwa kugawanya kioo. mfano unachat na mtu huku upo jf na app zote mbili unaziona kwa mpigo.
3.better multitasking sababu ya tofauti kubwa ya ram
4.battery kubwa
5.camera ya mbele yenye aperture kubwa

na mara hii samsung ndio wa kwanza kutoa 20nm processor sijui ana kitu apple cha kuiringishia note
 
<blockquote class="twitter-tweet" lang="en"><p>Curved. Not bent. <a href="https://twitter.com/hashtag/GALAXYNoteEdge?src=hash">#GALAXYNoteEdge</a> <a href="http://t.co/OTPIYlI07f">pic.twitter.com/OTPIYlI07f</a></p>&mdash; Samsung Mobile (@SamsungMobile) <a href="https://twitter.com/SamsungMobile/status/515074944485449728">September 25, 2014</a></blockquote>
<script async src="//platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
 
Wateja wa iPhone 6 na 6Plus wamepata specs za simu hiyo wiki moja kabla ya simu kutoka kwenye Keynote rasmi. Na info hizo ziko wazi kenywe mtandao wa Apple. Na hata GSMArena hawawezi kutoa specs zitakazosaidia kujua kupinda au kutokupinda kwa iPhone!

Hahaha..
Mkuu kama nlivokwambia inaelekea una ujuzi sana na mambo ya teknolojia lakin tatzo ushabiki..
Hili jukwaa watu wanamuamin sana chief mkwawa kwasababu yupo honest ingawaje anazpenda sana nokia na hafichi mapenz yake lakin kwenye ukweli anasema..
 
Back
Top Bottom