Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

Simu hazitengenezwi ili zikaliwe. Anayekalia phablet ana matatizo kama huamini na una phablet basi anza tabia ya kuikalia kuanzia leo, kama haitapinda basi itadata kioo. Hili tatizo limechangiwa na mambo mawili:

1. Simu ni ya aluminium, ambapo wengi tutakubaliana kwamba aluminium ni bora kuliko miplastiki ya Samsung.

2. iPhone 6 Plus huenda ikawa ni Phablet nyembamba kuliko zote. Hii ina maana kuwa hata fremu yake ni nyembamba

Uzuri wenyewe haipindi kwa sababu unapiga simu au una surf internet bali kwa kuikalia au kuipinda kwa makusudi. Kwa hiyo kama unataka kununua simu hii go ahead it is a great phone. In my opinion the best Phablet in the market at the moment. chief-mkwawa ni mpinzani wa Apple tu sio kwamba hajui ukweli.

Na vile vile kama yupo ambaye ananunua simu ili iwe ni kigoda chake cha kukalia basi iPhone 6 Plus kweli haifai.

Kama sio tatzo we unadhani ni kwanin mitandao yote mikubwa ya simu(gsm arena,phone arena etc)wanapga kelele
 
Last edited by a moderator:
Hata mim nshaanza kuziogopa hizi simu. Sinunui. Ntabaki na 5s
 
Kama sio tatzo we unadhani ni kwanin mitandao yote mikubwa ya simu(gsm arena,phone arena etc)wanapga kelele

ni kweli zina matatizo, lakini mauzo ya iPhone hayategemei gsm arena, wateja wa iPhone ni wachache sana wanaotembelea gsm arena kwa sababu gsm arena huwa wanapata info za iPhone late sana. navyowafahamu wateja wa iphone hili tatizo bado halitawazuiya kununua iPhone, provided kwakmba wako covered na warranty!
 
@New_kajala Kwenye instagram ameonyesha kua kainunua hebu muulizen kama imejikunja
 
ni kweli zina matatizo, lakini mauzo ya iPhone hayategemei gsm arena, wateja wa iPhone ni wachache sana wanaotembelea gsm arena kwa sababu gsm arena huwa wanapata info za iPhone late sana. navyowafahamu wateja wa iphone hili tatizo bado halitawazuiya kununua iPhone, provided kwakmba wako covered na warranty!

I think you are wrong. Kuna watu wengi tu sio wa iphone peke yake wanategemea reviews za sites kama hizo ili ziwasaidie kufanya maamuzi sahihi. Mimi pamoja na kupenda kwangu Lumia (tena ni mnazi) sikununua mpaka nilipopitia baadhi ya hizi sites za tech kuelewa vizuri pros na cons za device niliyonunua. People will still buy iphones sababu wanazipenda na ni nzuri lakini ukweli ni kuwa kwa taarifa hizi mauzo ya iPhone 6+ yatapungua sana tu. Pengine kwa sababu hili tatizo haliligusi iphone 6 zenyewe zitaendelea kutoka kwa kiwango kikubwa. Mi si mpenzi sana wa iphone lakini kwa tatizo hili iphone 6+ siwezi kumshauri mtu anunue, ntamshauri ahamie kwenye 6 tu, 4.7" siyo size mbaya sana.

Kama inaanza kupinda hata ikiwekwa mfuko wa mbele, siyo habari nzuri. Kwa wanazi wa apple ambao wanasema hili si tatizo basi ndo wale wanaitwa 'mahaba niue'. Mimi na unazi wangu wa windows phone OS, nakiri bado kuna kazi ya kufanya upande wa software, na wala siwezi kuanza kubisha vitu ambavyo ni wazi.
 
Iphone imekua kama tecno. Ubora wa hovyo bei ghali sana. Apple washagundua watu wanaipenda iphone kwa hiyo hata kama wataitengenezea matope lazima watu watanunua tena bei mbaya. Nimeona hiyo kupinda kwenye bbc world business report na watu wanavyolalamika ubora mbovu wa iphone 6+. Ni hatari.
 
I think you are wrong. Kuna watu wengi tu sio wa iphone peke yake wanategemea reviews za sites kama hizo ili ziwasaidie kufanya maamuzi sahihi. Mimi pamoja na kupenda kwangu Lumia (tena ni mnazi) sikununua mpaka nilipopitia baadhi ya hizi sites za tech kuelewa vizuri pros na cons za device niliyonunua. People will still buy iphones sababu wanazipenda na ni nzuri lakini ukweli ni kuwa kwa taarifa hizi mauzo ya iPhone 6+ yatapungua sana tu. Pengine kwa sababu hili tatizo haliligusi iphone 6 zenyewe zitaendelea kutoka kwa kiwango kikubwa. Mi si mpenzi sana wa iphone lakini kwa tatizo hili iphone 6+ siwezi kumshauri mtu anunue, ntamshauri ahamie kwenye 6 tu, 4.7" siyo size mbaya sana.

Kama inaanza kupinda hata ikiwekwa mfuko wa mbele, siyo habari nzuri. Kwa wanazi wa apple ambao wanasema hili si tatizo basi ndo wale wanaitwa 'mahaba niue'. Mimi na unazi wangu wa windows phone OS, nakiri bado kuna kazi ya kufanya upande wa software, na wala siwezi kuanza kubisha vitu ambavyo ni wazi.

tukiongelea wateja wa apple mkuu hata usipowapa specifications watanunua tu, yaani hata apple wakae kimya waanze kufanya presale kabla hawajawaonesha watu simu itavyokuwa amini nakwambia simu itagombewa kama njugu za kuchoma! hao ndiyo wapenzi wa apple walivyo. Kuhusu simu kupinda ikiwa imewekwa mfuko wa mbele na wewe unaamini mkuu?!!..hizo exageration tu, sema ikipewa pressure kidogo inapinda, siyo imekaa tu ipinde! Mimi ni mnazi wa kitambo sana wa Apple Inc. na hakuna simu za nyuma ambazo mimi sijawahi kununua, lakini kwenye 6s nilisema toka haijatoka kwamba sijaipenda hiyo design imekaa ovyo na sitanunua, upande wa design simu iliyoshinda kwa maoni yangu ni Note Edge, softwareni iOS 8, wala huwa sibishani kishabiki mkuu huwa napenda kuongea facts tu kwa sababu mwisho wa siku hizi simu hatupewi bure tunanunua cash, siwezi kusema mimi kufa na kuzikana ni Nokia hata iweje nisifie tu!
 
Kama sio tatzo we unadhani ni kwanin mitandao yote mikubwa ya simu(gsm arena,phone arena etc)wanapga kelele
Jibu lako ni neno moja tu: Sensationalism, wewe hujiulizi kwa nini mtu ukalie simu kubwa namna hii? Hebu ni nani kati yetu anakalia Samsung Galaxy Note au SOxy Xperia Z Ultra?
 
mnhhh iphone 6+ ni bora kuliko note 4? can you prove it? japo naipenda nokia ila siku zote nairate 1520 nyuma ya note
Kwani Note 4 ina nini jipya zaidi ya fremu ya aluminium badala ya plastiki? What sort of proof do you want?
Nikipata muda nitakuletea several comparison and between the two. Naamini comparison hiyo itatoa jibu lako
 
I think you are wrong. Kuna watu wengi tu sio wa iphone peke yake wanategemea reviews za sites kama hizo ili ziwasaidie kufanya maamuzi sahihi. Mimi pamoja na kupenda kwangu Lumia (tena ni mnazi) sikununua mpaka nilipopitia baadhi ya hizi sites za tech kuelewa vizuri pros na cons za device niliyonunua. People will still buy iphones sababu wanazipenda na ni nzuri lakini ukweli ni kuwa kwa taarifa hizi mauzo ya iPhone 6+ yatapungua sana tu. Pengine kwa sababu hili tatizo haliligusi iphone 6 zenyewe zitaendelea kutoka kwa kiwango kikubwa. Mi si mpenzi sana wa iphone lakini kwa tatizo hili iphone 6+ siwezi kumshauri mtu anunue, ntamshauri ahamie kwenye 6 tu, 4.7" siyo size mbaya sana.

Kama inaanza kupinda hata ikiwekwa mfuko wa mbele, siyo habari nzuri. Kwa wanazi wa apple ambao wanasema hili si tatizo basi ndo wale wanaitwa 'mahaba niue'. Mimi na unazi wangu wa windows phone OS, nakiri bado kuna kazi ya kufanya upande wa software, na wala siwezi kuanza kubisha vitu ambavyo ni wazi.

TALKING OF THAT....(BTW I M NOT ''APPLEMANIA'')
[h=3]Apple iPhone Tops Smartphone Brand Loyalty, [/h]
Apple iPhone has emerged right at the top so far as brand loyalty is concerned, a recent Morgan Stanley research to this effect has revealed. While most other companies have improved brand loyalty figures to show, the survey revealed a staggering 90 per cent willing to stick to the iPhone brand. This marks a healthy improvement over the 73 and 83 per cent that it used to be during December 2011 and 2012 respectively...............
chief-mkwawa
 
Back
Top Bottom