Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
tumeona technologia nyingi kama vile simu za samsung ambazo unaweza kufungua baadhi ya apps kwa kutazama kwa macho tu!
pia kuna teknologia za ajabu kwangu kama vile uwezo wa bluetooth kuhamisha file bila kebo yoyote,uwezo wa shazam kusikiliza na kupata details za wimbo flani,uwezo wa google earth kupiga picha za mitaa yote ya dunia