TECNO wamejitafuta wamejipata kwa hili sio poa

Hio Camon pro chipset yake sio mbaya, D8050 ina nguvu kiasi chake, sio level za D8100 na sd 7+ gen 2 ila inajitahidi, kwa level za Tecno pia sio mbaya.

Ila camon ya kawaida haina issue, G85 inapitwa na Simu nyengine kama A14 5G na Xiaomi redmi note 12.
Techno wanatamani kuwa juu thus wametoa fasta camon premium kuziba mapungufu ya camon 20.
Mchina hataki pitwa na pesa
 
Shida sio TECNO shida ni wewe ambae uko na inferiority mind set ya kuamini majina ya kampuni badala ya kuangalia ubora wa product pia watanzania wengi wanaweza kutumia iphone au samsung iliotumika na watu wengine nje tena wakati mwingine simu zinakuwa outdated kuliko kutumia TECNO tena current version ambayo obvious inakuwa na current Technology ambayo itakupa choice nyingi kwenye matumizi kuliko hizo simu zilizotumika kutwa watu wanazurura na machaja mara power bank sijui Waafrika nani alituroga [emoji23],utakuta mtu ni mtu wamishemishe unaenda kununua simu ambayo hakupi gurantee ya kukaa na chaji kutwa nzima sasa hayo si mateso?
Mimi nilitegemea hapo ungecomment kitechnology kuicrush hiyo simu na wala sio kuongea kuhusu jina
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] Umesema kweli
 
Mkuu tofauti na hii Tecno Camon 20Premiere umewahi kuona midrange nyingine yoyote yenye 108MP Ultrawide camera?
Mkuu MP ni size ya Picha na sio Quality hii ni tip moja muhimu kufahamu. Pengine hio Main cam ya 50mp ikawa kali kuliko hio 108mp ya Ultrawide, hasa vile hio 50mp ni 1/1.56 sensor ambayo ni kubwa sawa na kwenye Nothing phone.

Kujibu swali sidhani kama kuna 108mp ultrawide.
 
Premier inagota ngapi
Hawajatangaza bei ila pro ni 600k tayari kadiria mwenyewe hapo, maybe 800k ama 1m.

Pia sidhani kama hio premier wametoa kuuza simu nyingi, ni kama Braging rights tu, wengi watadondokea humo humo camon 20.
 
Kwanini hautumii tecno?
Mimi natumia simu kulingana na mahitaji yangu sio kwa sababu ya jina la kampuni siko brand royalty,mimi naangalia nahitaji nini kwenye simu sio jina la kampuni.
Kuna watu wanaziponda Tecno au Itel tena kwa kejeli eti Tecno inawezajituma sms hata ikiwa locked hizi si jokes sasa?Kingine mimi siwezi kutumia simu used,nguo used,sijui fridge used,Tv used hapana kwa kweli labda gari tu ndio natumia used vile mpya ni parefu kwangu lkn pia nikija kuwa poa kiuchumi nitapiga chini gari used nitataka zero kilometer insha allah nakaribia hatua hiyo
 
Tecno sio simu take it leave it
 
Shida sio TECNO shida ni wewe ambae uko na inferiority mind set ya kuamini majina ya kampuni badala ya kuangalia ubora wa product pia watanzania wengi wanaweza kutumia iphone au samsung iliotumika na watu wengine nje tena wakati mwingine simu zinakuwa outdated kuliko kutumia TECNO tena current version ambayo obvious inakuwa na current Technology ambayo itakupa choice nyingi kwenye matumizi kuliko hizo simu zilizotumika kutwa watu wanazurura na machaja mara power bank sijui Waafrika nani alituroga [emoji23],utakuta mtu ni mtu wamishemishe unaenda kununua simu ambayo hakupi gurantee ya kukaa na chaji kutwa nzima sasa hayo si mateso?
Mimi nilitegemea hapo ungecomment kitechnology kuicrush hiyo simu na wala sio kuongea kuhusu jina
🪓🪓🪓🪓🪓
 
Tecno iliwahi kunitenda sina hamu nazo,yani ilianza kuwa nzito mwisho wa siku ikagoma kabisa,nilivyoifanyia factory reset ikawa inateleza kama mpya,nikaiuza....
Ilitingwa,simu yoyote ikiwa na ram/rom ndogo hata iwe kampuni gani itazingua tu zile zenye high perfomance kama phantom series hazigandi kizembe.Unadhani kwanini baada ya ku reset ikawa nyepesi?jibu ni uliipunguzia mzigo.Wana udanganyifu kiasi fulani kwenye mambo ya storage.
 
RAM sio kigezo pekee cha performance
Simu inaweza kuwa na RAM kubwa halafu performance zero

iPhone 13 ina 4GB RAM ila iko poa kwenye performance kuliko Tecno Camon 19 pro yenye 8GB RAM
 
dahh unatuumiza vichwa bwana
 
Shida sio TECNO shida ni wewe ambae uko na inferiority mind set ya kuamini majina ya kampuni badala ya kuangalia ubora wa product pia watanzania wengi wanaweza kutumia iphone au samsung iliotumika na watu wengine nje tena wakati mwingine simu zinakuwa outdated kuliko kutumia TECNO tena current version ambayo obvious inakuwa na current Technology ambayo itakupa choice nyingi kwenye matumizi kuliko hizo simu zilizotumika kutwa watu wanazurura na machaja mara power bank sijui Waafrika nani alituroga [emoji23],utakuta mtu ni mtu wamishemishe unaenda kununua simu ambayo hakupi gurantee ya kukaa na chaji kutwa nzima sasa hayo si mateso?
Mimi nilitegemea hapo ungecomment kitechnology kuicrush hiyo simu na wala sio kuongea kuhusu jina
Watanzania weng wametumia tecno wanajua udhaifu wao ndo maan wanaziponda .. mbona kweny sim za samsung na iphone sion huo upondaji?

Chamuhimu tujue tu tecnologia inayotumika kweny hizo kampuni kuunda simu zao ni tofaut sana
 
Back
Top Bottom