BusinessOriented
JF-Expert Member
- Oct 23, 2022
- 259
- 570
Watu wanalalamika matangazoo lukuki ukiwasha data..pia wanasema ubora unapungua kadri unavyozidi kuitumia....Watu wengi esp waafrika sisi ni watumwa sana wa kifikra,watu wengi wanaocomment hapa kuiponda Tecno au infinix wengi wao utakuta wanatumia used iphone au samsung saiv kuna hizi google pixel hawa watu wanaotumia hizi simu zilizotumika mimi nasema mtumba,wanajiona wamemaliza kila kitu,kitu ambacho pengine hawajui ni kuwa haya makampuni ya simu yanafanya market segmentation yaani wanazalisha bidhaa kulingana na nguvu ya ununuaji ya watu sasa sehemu kubwa ya afrika purchasing power ni ndogo kwaio wanazalisha bidhaa ambayo itauzika kwa kiwango kikubwa ili wapate faida na mtumiaji arizike,sasa mnaoikebei TECNO shukuruni soko la simu used la sivyo wengi wetu tusingeweza kuafford kununua simu mpya za iphone au samsung
Mimi natumia Infinix, matangazoo yanaboa sanaa...ila kwenye kusurvive tu na kukaa na charge hapo sawaa...