TECNO wamejitafuta wamejipata kwa hili sio poa

Inaweza kuwa bei gani?!
At minimum 600,000 ila inaweza ikafika hadi milioni ama zaidi.

Bei za india
-Camon 20 Around $180 ambayo ni kama 400,000

-Camon 20 pro ni around $240-260 ambayo ni kama 600,000

-camon 20 premier hawakuweka bei ila ni ghali kuliko pro

Source
 
Mkuu hamna kitu.
 
Mkuu tofauti na hii Tecno Camon 20Premiere umewahi kuona midrange nyingine yoyote yenye 108MP Ultrawide camera?
 
Tecno iliwahi kunitenda sina hamu nazo,yani ilianza kuwa nzito mwisho wa siku ikagoma kabisa,nilivyoifanyia factory reset ikawa inateleza kama mpya,nikaiuza....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofaut kati ya camon 20 na camon 20 premium 5G kipi tofaut
 
Back
Top Bottom