Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,918
- 16,248
Design yake naona sio mbayatekno bhana cheki ayo MA kamera makubwaaaa
Shida ni hayo matatizo ya simu za Tecno ambayo yatakukuta ukiwa unaitumia [emoji28][emoji28]
Design yake naona sio mbayatekno bhana cheki ayo MA kamera makubwaaaa
SureHili jina wangebadilisha
Tatizo la Infinix na TecnoHazina matangazo unapowasha data? Maana kwa matangazo ya kijinga hawajambo
Shida sio TECNO shida ni wewe ambae uko na inferiority mind set ya kuamini majina ya kampuni badala ya kuangalia ubora wa product pia watanzania wengi wanaweza kutumia iphone au samsung iliotumika na watu wengine nje tena wakati mwingine simu zinakuwa outdated kuliko kutumia TECNO tena current version ambayo obvious inakuwa na current Technology ambayo itakupa choice nyingi kwenye matumizi kuliko hizo simu zilizotumika kutwa watu wanazurura na machaja mara power bank sijui Waafrika nani alituroga [emoji23],utakuta mtu ni mtu wamishemishe unaenda kununua simu ambayo hakupi gurantee ya kukaa na chaji kutwa nzima sasa hayo si mateso?Shida ni Tecno bado
tekno ya laki 1 na nusu hiyo tumia tekno angalau ya 450k and aboveTecno iliwahi kunitenda sina hamu nazo,yani ilianza kuwa nzito mwisho wa siku ikagoma kabisa,nilivyoifanyia factory reset ikawa inateleza kama mpya,nikaiuza....
Watu wengi esp waafrika sisi ni watumwa sana wa kifikra,watu wengi wanaocomment hapa kuiponda Tecno au infinix wengi wao utakuta wanatumia used iphone au samsung saiv kuna hizi google pixel hawa watu wanaotumia hizi simu zilizotumika mimi nasema mtumba,wanajiona wamemaliza kila kitu,kitu ambacho pengine hawajui ni kuwa haya makampuni ya simu yanafanya market segmentation yaani wanazalisha bidhaa kulingana na nguvu ya ununuaji ya watu sasa sehemu kubwa ya afrika purchasing power ni ndogo kwaio wanazalisha bidhaa ambayo itauzika kwa kiwango kikubwa ili wapate faida na mtumiaji arizike,sasa mnaoikebei TECNO shukuruni soko la simu used la sivyo wengi wetu tusingeweza kuafford kununua simu mpya za iphone au samsungtekno ya laki 1 na nusu hiyo tumia tekno angalau ya 450k and above
I read between the line nmeona wewe unatumia TecnoShida sio TECNO shida ni wewe ambae uko na inferiority mind set ya kuamini majina ya kampuni badala ya kuangalia ubora wa product pia watanzania wengi wanaweza kutumia iphone au samsung iliotumika na watu wengine nje tena wakati mwingine simu zinakuwa outdated kuliko kutumia TECNO tena current version ambayo obvious inakuwa na current Technology ambayo itakupa choice nyingi kwenye matumizi kuliko hizo simu zilizotumika kutwa watu wanazurura na machaja mara power bank sijui Waafrika nani alituroga [emoji23],utakuta mtu ni mtu wamishemishe unaenda kununua simu ambayo hakupi gurantee ya kukaa na chaji kutwa nzima sasa hayo si mateso?
Mimi nilitegemea hapo ungecomment kitechnology kuicrush hiyo simu na wala sio kuongea kuhusu jina
Mimi natumia samsungI read between the line nmeona wewe unatumia Tecno
kataa brazaa