loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,768
Ninayo hapa tecno camon CX Air huu ni mwaka wa 7+ bado iko poa na ndio hii ninayotumia sasa.Mwaka??? Miezi 6 tu simu imezeeka
Ninayo hapa tecno camon CX Air huu ni mwaka wa 7+ bado iko poa na ndio hii ninayotumia sasa.Mwaka??? Miezi 6 tu simu imezeeka
Sawa endelea nayo ndio size yakoNinayo hapa tecno camon CX Air huu ni mwaka wa 7+ bado iko poa na ndio hii ninayotumia sasa.
Umekaa na simu miaka 7!,watu mna moyoNinayo hapa tecno camon CX Air huu ni mwaka wa 7+ bado iko poa na ndio hii ninayotumia sasa.
Umeua 🤣 🤣 🤣 🤣Mimi nimeshashuhudia simu ya demu wangu kipindi hicho inatuma sms kwa watu bila hata kuguswa inaweza amua ikazima au ikaamua kusizi siku nzima yaani ilimradi ikuharibie mahusiano na kweli ikaja kunivunjia mahusiano na kidem changu toka kipindi hiko sitaki kabisa mambo ya matecno
Ni simu gani inayokaa zaidi ya miaka 2, si Samsung wala yoyote. Ndio technology ilivyo.Tatizo simu za Tecno na Infinix ni nzuri Sana ikiwa mpya, Sasa subiri baada ya mwaka uone inaanza u tekno wake
Samsung zinaweza kukaa hata miaka 6 ikiwezekana zaidi. Nina mifano halisi kwa watu wanaonizunguka. Kikubwa utakachofanya ni kubadili battery tuNi simu gani inayokaa zaidi ya miaka 2, si Samsung wala yoyote. Ndio technology ilivyo.
Mwaka tena miezi 6 tuTatizo simu za Tecno na Infinix ni nzuri Sana ikiwa mpya, Sasa subiri baada ya mwaka uone inaanza u tekno wake
nipo na Samsung J1 Ace toka 2016 mpaka leoNi simu gani inayokaa zaidi ya miaka 2, si Samsung wala yoyote. Ndio technology ilivyo.
Na hutawez kusema watatizo inavyokupelekesh [emoji1787] Maana itakutia aibuNinayo hapa tecno camon CX Air huu ni mwaka wa 7+ bado iko poa na ndio hii ninayotumia sasa.
Auntie unataka kusemaje?Tecno
Bei ikoje?Sehemu pekee ninayoweza kumpongeza Tecno ni kwa kutengeneza foldable phone yenye performance kubwa na kamera kali na chipset ya Dimensity 9000+ halafu bei yake ni chini ya $1000 tu (Tecno Phantom V Fold)
Hizi simu zake nyingine bado sijazielewa
Bei ni around $999Bei ikoje?
Auntie hata sijui nini nilitaka kusemaAuntie unataka kusemaje?
Tatizo simu za Tecno na Infinix ni nzuri Sana ikiwa mpya, Sasa subiri baada ya mwaka uone inaanza u tekno wake
Achana na tecno zetu auntieAuntie hata sijui nini nilitaka kusema