Tecno User Vs Samsung and iphone user


 
Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Yawezekana ilikuwa clone.
 
Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.
Yeah zinawahi kusumbua fimware. Lakini version kubwa zinakaa walau miaka 2.
Nlikuwa na boom j7 imekaa miaka 2 net imekufa siku 1 tu.
 
Tecno H6 ndio ndio key revolution ya smartphone za tecno na karibun MTK zote hasa kwenye camera, na ngoja n google ila nahc ndo inaongoza kwa mauzo kwa cm za tecno, ile cm kuweka mbali specifications sijaona tecno kama ile, sijawah kua mteja wa tecno ila ile angarau niliipenda
 
Galaxy j7 pro iko poa sana kwenye chaji. Nadhani kuliko galaxy serues zote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…