Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Ni kweli kabisa kikubwa ni kukubali hali uliyonayo mada hii imekaa kishabiki kuwa maisha ya watu wa Tandale sio maisha ni bora kufa kuliko kuishi Tandale tena anayesema haya yuko Mbezi. Sasa nami namuuliza anamaisha yapi ya ziada zaidi yangu?. Atakachoniambia anakwenda beach nami namwambia nami naenda pia Maziwa na bahari fukwe ziko kibao tena bure. Atanitajia misosi anayokula nami namtajia yangu kikubwa Sote tunakula.

Suala la kuishi maisha marefu liko mikononi mwa Mungu
Mkuu umeenda kusiko,sijamaanisha MTU aseme maisha ya tandale sio maisha n bora kufa ..hii sio sawa..mm nachomaanisha n kuwa maisha yoyote yake n maisha ila quality yake huzidiana kulingana na economic status iliyopo...chukulia mfano nchi kama marekani au china ambako teknolojia IPO juu sana then uangalie maisha yao nasisi watu wa third world countries!! Are we the same because we breath the same air?? Nooo.....big noo....
Kule kuna easy access of social services kama vile usafiri hausumbui kama kwetu,huduma za afya zimeboreshwa ndio maana wanaishi miaka mingi kulko sisi,huduma za elimu ziko juu kulko sisi,maji na umeme viko juu kulko sisi...je bado unaamin ubora waaisha ya tz ni sawa kabisa na maisha ya USA au China in standards,??? Hpn mkuu....kitu cha msng tusidharauliane tu ila hatuko sawa
 
Wapi uliona nabii anaheshimiwa katika nchi yake?. Techno zikiruhudiwa marekani usikute robo tatu ya wamarekani wanatumia techno kuliko simu mnazozitumia. Hasa kwa suala la gharama. Mnapenda ram na GB kubwa kubwa ila unamipicha mingi ambayo hata huiangalii unaijaza tu mingine umepiga hadi Giza usiku nyeusi tiii. Ukiulizwa ulikuwa unamaanisha huna jibu ndio unaifuta. Acheni ulimbukeni simu ni simu tu tumia kwa muda gawa au uza nunua nyingine. Baneni matumizi lisimu bei kuubwa likiibiwa machozi yanaanza kukutoka huu ushenzy tu na ulimbukeni tu.
Wamarekani hawawezi kutumia vitu vya kijinga kama Tecno!kama wachina wenyewe wameshindwa kutumia huo ujinga huna hata akili ya kujiongeza!!
 
Kwa nini wasitumie mkuu ina maana marekani hakuna bangi mbona ni kitu cha kijinga na wanatumia
 
  • Thanks
Reactions: J C
Utamu wa iphone kwanza upo kwenye security system yake ndio maana simu hz hutumika ktk nchi zilizoendelea kwa sababu Kule hackers who can access private details n wengi sana sio kama huku,pia faida ta iphone n flexibility yake ktk matumiz,sio rahs kujizimazma ovyoovyo kama tekno zifanyavyo,its searching machine hazsumbui kama za tekno,utakuta tekno unasearch issue fln google ila inakupeleka usikotaka kabisa...pia uimara wa spika zake,hz tekno ukitumia after one year spika zake hupungua ubora,hadi mm nikiwa sehemu isiyo nawatu naweka loudspeaker wakat wa kuongea maana inaumiza nikiweka sikion..utamu wa iphone upo pia ktk kamera zake hasa kwa MTU ambaye anapiga picha hasahasa wale watu wenye kufuatilia mambo ya siri yahusuyo organization au serikali...iphone inafaida sana tu jmn ...ila kwetu cc wabongo tunajua faida ya smartphone n kuingia IG,jf fb,na whatsp bhc.
Asante. Unaona sasa ni simu nzuri ila apps zake ni rafiki kwa nchi zilizoendelea hivyo ukiwa huko lazima uwe nayo nami pia nikiwa huko sitotumia techno katu ili kufaidi maisha ya huko. Sasa kwetu Huku kununua simu kwa gharama kubwa yenye mambo ambayo kwa Huku hayana maana yoyote huu ni ushamba tena Mkubwa sana. Mtu mwerevu akienda kununua kitu akaambiwa bei kubwa haangalii mwonekano tu bali atauliza ina nini cha ziada. Mfano mi spy kamera ya nini wakati wewe sio spy?. Security za hackers wakati mwenyewe ni mfanyabishara wa nguo kaliakoo nani aku hack?. Jamani tuache matumizi mabovu. Wengine wamenunua simu ukiweka line za ndani halifanyi kazi tumewaona humu wanalialia tena kwa kuagiza kwa gharama kubwa kama sio ulimbukeni ni nini?. Unanunua redio unakuta voltage zake ni za Umeme wa US ukuweka halilii huu Si upuzi. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba zake.
 
Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.

Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.

---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.

__Camera yake iko vizuri .

__Kioo kikubwa

__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.

__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.

__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.

__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.

Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.

Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.
Natumia Tecno w5 Lite
 
Wamarekani hawawezi kutumia vitu vya kijinga kama Tecno!kama wachina wenyewe wameshindwa kutumia huo ujinga huna hata akili ya kujiongeza!!
Wewe ni nani kuwasemea wamarekani. Umesoma majibu yangu lakini?. Nabii hana heshima katika nchi yake. Ziruhusiwe sokoni marekani uone.
 
Asante. Unaona sasa ni simu nzuri ila apps zake ni rafiki kwa nchi zilizoendelea hivyo ukiwa huko lazima uwe nayo nami pia nikiwa huko sitotumia techno katu ili kufaidi maisha ya huko. Sasa kwetu Huku kununua simu kwa gharama kubwa yenye mambo ambayo kwa Huku hayana maana yoyote huu ni ushamba tena Mkubwa sana. Mtu mwerevu akienda kununua kitu akaambiwa bei kubwa haangalii mwonekano tu bali atauliza ina nini cha ziada. Mfano mi spy kamera ya nini wakati wewe sio spy?. Security za hackers wakati mwenyewe ni mfanyabishara wa nguo kaliakoo nani aku hack?. Jamani tuache matumizi mabovu. Wengine wamenunua simu ukiweka line za ndani halifanyi kazi tumewaona humu wanalialia tena kwa kuagiza kwa gharama kubwa kama sio ulimbukeni ni nini?. Unanunua redio unakuta voltage zake ni za Umeme wa US ukuweka halilii huu Si upuzi. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba zake.
umebifurahisha mkuu....kiukweli matumiz ya watu wengi wenye iphone n sawa kabisa na Yale ya wale wenye tekno,hii inasababishwa na kwamba watu wengi wabaotumia iphone hasa kwa nchi maskin kama tz hununua tu bila sababu za msng ilimradi tu aonekane anatumia iphone huku matumiz yake yakiwa ni kuingia IG,jf,whatsap na fb,vtu amvavyo hata tekno Y3+ inafanya...ila kwa wale ambao hununua iphone kwa sababu za msng hakika wanafaida fln kulko wenye tekno hasa kwa faida nilizoorodhesha hapo awali
 
Hiyo siyo kwa wabongo peke yake mkuu ni ugonjwa wa waafrica wote wanachojua kununua kitu cha bei kubwa ndio ubora kumbe wajanja wanawapiga kidizaini sometime.
 
Hapo hautakatai lakini kwa nini ununue i phone kwa matumizi yako tu ya kawaida na uje kuponda aina nyingine ya simu wakati hazitofautiani matumizi yake ukitoa vitu vichache sana ambavyo ata wewe mtumiaji hauna faida navyo.
 
umebifurahisha mkuu....kiukweli matumiz ya watu wengi wenye iphone n sawa kabisa na Yale ya wale wenye tekno,hii inasababishwa na kwamba watu wengi wabaotumia iphone hasa kwa nchi maskin kama tz hununua tu bila sababu za msng ilimradi tu aonekane anatumia iphone huku matumiz yake yakiwa ni kuingia IG,jf,whatsap na fb,vtu amvavyo hata tekno Y3+ inafanya...ila kwa wale ambao hununua iphone kwa sababu za msng hakika wanafaida fln kulko wenye tekno hasa kwa faida nilizoorodhesha hapo awali
Asante sasa tuko pamoja kula like. Hata Mimi sishindwi kununua I phone katu ikiwa na mambo niyaonayo ni ya msingi na ya msaada. Ila katu sinunui simu kwa jina lake big noo. Hiyo pesa bora nile. Techno zinamuonekano mzuri, camera safi, mziki mzuri, google kama kwa, I phone INA nini cha ziada?.
 
Wakija watakwambia ni i cloud na security ya kutosha na wakati hakuna chochote cha maana anachoficha zaidi ya picha za ngono alizozijaza humoo.
 
  • Thanks
Reactions: J C
Hiyo siyo kwa wabongo peke yake mkuu ni ugonjwa wa waafrica wote wanachojua kununua kitu cha bei kubwa ndio ubora kumbe wajanja wanawapiga kidizaini sometime.
Usinunue iphone bila kuwa na matumiz yake ya msng,yaan usinunue kwa sababu tu unataka kujitofautisha na watumia tekno,aisee utapata taabu sana...nlkuwa na rafk yangu kioind Niko first year sasa alkuwa anatumua iohone 5 sasa shida ikaja kwenye kuinsralk apps za masomo mfano kuna apo inaitwa "teach me anatomy " kwa waliosoma anatomy wanaijua,aisee kwa cc watumia tekno tunapakua Bure tu kutoka play store ila yy aliambiwa hawez kuipakua kutoka appstore had alipe tz10000 ,ilibid alike tu hakuwa na namna,baadae aliiuza kwa bei ta hasara,saiv anatumia infinix tu...karud android...iphone sio za kukurupukia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom