Me kwenywe chaji haijawahi niangushaa kabisaaa...Tunapambana na hali zetu ubora wake tunaujua sisi.
️
️ linavutia! Ukija logo yake pale nyuma daah! Hatari sana! Ukija kwenye security hatuna mpinzani iphone unaweza ukaitrack hata kama imezimwa! Ukiibiwa dont worry kuhusu data zako coz mpaka FBI walifeli kucrack ka password tu cha kufungulia! Kwahyo mwizi atafaidika na spare tu, ukija camera kama jicho la eagle mama£ hata ukizoom quality inabaki pale pale, ukija kwenye umbo na kabisaaa! Madada wengi wa mjini wameliwa kwa sababu ya iphone sijawahi kusikia demu kaliwa kwa kuhongwa tecno! Mwisho kabisa Watumiaji wote wa Iphone ni akili mingi. Ila tecno hata beki 3 anamiliki! Wazee wa Tecno utawasikia wanakwambia iphone zipo complicated saana 

Ila kwenye kustuck zinaboa...Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.
Simu inkaa na chaji hiisijapata kuona smartphone inakaa na chaji kama tecno L8Kwa nini mkuu wasema hivyo?
Kwanza nigundue nini?Mnazidi kuwashushua hao wapondaji wa Tecno mtu unataka kumiliki i phone wakati ata kiwanja huna.
Mi wa kwangu nilimla na kumpa tecno alifurahi mpka kesho nikiongea nae lazima anikumbushe na kumisi couze nilimfanyia supriseKwanza jina tu iphone! Daamn️
️ linavutia! Ukija logo yake pale nyuma daah! Hatari sana! Ukija kwenye security hatuna mpinzani iphone unaweza ukaitrack hata kama imezimwa! Ukiibiwa dont worry kuhusu data zako coz mpaka FBI walifeli kucrack ka password tu cha kufungulia! Kwahyo mwizi atafaidika na spare tu, ukija camera kama jicho la eagle mama£ hata ukizoom quality inabaki pale pale, ukija kwenye umbo na kabisaaa! Madada wengi wa mjini wameliwa kwa sababu ya iphone sijawahi kusikia demu kaliwa kwa kuhongwa tecno! Mwisho kabisa Watumiaji wote wa Iphone ni akili mingi. Ila tecno hata beki 3 anamiliki! Wazee wa Tecno utawasikia wanakwambia iphone zipo complicated saana
![]()
Hahahahaaaa.nimewaachia team tecno mserereke nayo maana naona mnajitahidi kuhalalisha ukweli ambao kiuhalisia uko tofauti kabisaaaaaa.
Maana mie kama mie zingekuwa tecno zina haya mnayoyasema nisingethubutu kuhamia kungine. Hongereni mmeshinda kwa maandishi.![]()
, nikiwasha data ndani ya dakika kadhaa charge ishayeyuka.

Sema duniani kuna aina mbili tu za malimbukeni type ya kina myweather nao ni watumiaji wa I phone na Sumsung wanaoponda simu zingine eg TecnoDuniani kuna aina 2 tu za simu. I phone na Samsung, zilizobaki ni vikokotozi aka Calculatot
Niliwahi tumia uhawei kwanza betri pili kioo kinaisha chap nikaitupilia mbali tena kwa kubadilishana na Papuchi kwa siku moja.Hahahahaaaa.
Lazima tutetee upande wetu bana.
Niliwahi kutumia Huawei japo ilipitia mikononi mwa mtu mwingine kabla yangu lakini ilikuwa hovyo sana na nilipata tabu sana.
Nilikuwa natembea na Batteries 2![]()
![]()
, nikiwasha data ndani ya dakika kadhaa charge ishayeyuka.
Ndio nikaamua kwenda Dukani kwa hasira nikachukua katecno kangu nikatulia nacho hadi leo hii, kako bomba bin bombastic, kazi kazi kama Drimulaini hapa![]()
![]()
![]()
Ukitaka kujua raha ya Tecno anza kutumia hizo zenye ram kuanzia 2GB, usiangalie umbo la simu unaponunua. Cheki specifications zake.Jirani yetu alinunua Tecno K7 July mwanzoni kabisa kama sio mwishoni mwa June 2018.
Lakini sasa hivi ni kizaazaa. Simu ina stuck ovyo tena mara kwa mara, iko slow. Adi namuoneaga huruma.
Ukweli ni kuwa watumiaji wengi wa tecno wanatumia hizo simu za pasua kichwa kwasababu ya uchumi. Na sio kwa mapenzi
Ni sawa na mtu anaetumia IST amponde anaetumia VX.
Anyway natumia huawei, na ninataka kubadilisha simu. Baada ya kufuatilia sana iphone vs samsung, sina budi kutafuta hizi simu
1. Galaxy a5 2017
2. Galaxy s7
Nimeamua kujilipua sina namna
K7 hazisumbui sana mkuu mimi mwenyewe niko nae hapa ile toleo la kwanza kabisa yeye kama alichukua hizo copy baada ya hapo siyo mbaya kwa yanayomkutaJirani yetu alinunua Tecno K7 July mwanzoni kabisa kama sio mwishoni mwa June 2018.
Lakini sasa hivi ni kizaazaa. Simu ina stuck ovyo tena mara kwa mara, iko slow. Adi namuoneaga huruma.
Ukweli ni kuwa watumiaji wengi wa tecno wanatumia hizo simu za pasua kichwa kwasababu ya uchumi. Na sio kwa mapenzi
Ni sawa na mtu anaetumia IST amponde anaetumia VX.
Anyway natumia huawei, na ninataka kubadilisha simu. Baada ya kufuatilia sana iphone vs samsung, sina budi kutafuta hizi simu
1. Galaxy a5 2017
2. Galaxy s7
Nimeamua kujilipua sina namna
Tusubiri thread nyingine; hapa hatuna nafasiWale wa IPhone tunaweka wapi Reply zetu?
Hao hawataelewa mkuu ndio maana ata laptop bei inategemeana na ukubwa wa Ram.Ukitaka kujua raha ya Tecno anza kutumia hizo zenye ram kuanzia 2GB, usiangalie umbo la simu unaponunua. Cheki specifications zake.
Si Tecno tu hata simu nyingine, ram ikizidiwa uwezo au storage ikirun slow lazima ikusumbue.