mdhalendo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 282
- 273
nami natumia p3 karibu miezi 4 sasa nilitaka mwezi huu ninunue phantom a+ lakini ant tecno wameipondea mno sasa sijui nitanunua simu gani kwa laki 4 niliyo nayo(tayari nilikuwa nimeongea na mtu anichukule dar wiki ijayo.mimi nipo tarime)
Usiwasikilize ANTI TECNO wewe nunua kitu kitakachoifurahisha nafsi yako kulingana na pesa yako. Au kama vipi jichange hadi ifikie LAKI TISA ndo ukanunue samsung