Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

.
Ni nn hiki njunwa
.
Kweli p3 idharauliwe kiasi hicho kiongozi....
Sina imani kama ulikuwa hujui kabisa aina za simu mpaka uka chagua hiyo?
.
Mm sio mpenzi wa tecno ila nime boreka
.

Daah ni ushamba tu si unajua N3 ilivyoingia sokoni wadau wakaileta humu wakasifia na mm nikasema sibaki nyuma nikaitafuta fasta unfortunately iliibiwa hiyo simu na hapo hapo P3 ilishaingia sokoni nikasema ngoja nijaribu kubadili hii ndo ilikuwa majanga haswa mpaka nikawa najuta hela yangu kila siku ni low memory siwez eka apps za maana yaani kero mwanzo mwisho nikaona niwape wanangu wachezee maana imenitesa mno nimeroot simu nikaondoa preinstalled apps zote lkn majanga yalibaki pale pale

Sina hamu na TECNO kabisa hata hii ya laki tatu siwez jaribu kabisa mchiba mchina tu hawezi tengeneza kitu cha maana
 
Mbona unakurupuka mzee.....mwenzio katoa utofauti na usawa wa hizi simu kwa hoja...hujaelewa nini hapo

aje atuambie HSDPA na HSUPA ya tecno ni ngapi ndio aifananishe na hiyo S4. mimi tecno huwa siwaelewi elewi maana hawako kwenye ma website ya maana yanayoongelea simu... Wao wapo kwenye blogs tuu na forums! Njooni GSMARENA ujionee full phone specifications bila chenga... Sio vificho ficho na kutuonyesha urembo wa nje wa simh wakati ndani ni takataka!
 
Nimekupata, hitimisho yako ni sawa na kusema "nitanunua Corolla kwa vile inanifikisha popote ambako Benz itanipeleka na kununua benzi nikuchezea pesa" kuna mambo mengi benzi inazidi corolla: comfort, stability, and mostly safety. Kwenye hiyo simu: s4 inaizidi performance, screen nzuri, uwezo wa kucheza full HD video moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye flat yako, screen nzuri, camera nzuri zaidi, uwezo wa battery yake, support, quality ya utengenezaji na ubora kwa ujumla. Phantom ni corrolla na s4 ni benzi na zote gari. Tuko sawa? Pesa na matumizi yanausika hapo pia.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Utakuta mtu anakuambia,"mbona hujaweka cover kwenye simu? Au mbona hujaweka sreen protector? Mara ooh ukiweka mfukoni itaharibika... Hizi simu za high end phone huwa zinatengenezwa na high quality materials... Kitu corning gorilla glass... Scratch resistant glass... Niweke screen protector ya nini? Housing material ni super,quality niivalishe cover ya nini? Unatembea na simu 2 years na bado inaonekana mpyaaa! Tecno haiwezi kumaliza 6months hujaichoka! Low quality mobile phones in everything!
 
.
Kaka unaona ulicho kiandika hapa
.

.
Kwa hiyo kama una laini mbili iweje uchague
.
12(1).jpg

.
Hebu mda mwingine tuachane na spirit na CHUKI zilizO tujaa mioyoni juu ya hizi TECNO
.
kweli mtu na akili timamu uchague simu kama hiyo Joe Nyandigira......
.
Kama ni ni spirit sawa mana hata mimi huwa na hate sana pirated softwares kama vile photoshop
.
Na kinanikwamishaga kitu kimoja baadhi ya software zime lack blending option
.
Ila kama ndugu yangu utachagua hako ka nokia ka torch na kuiweka laini yako nyingine pembeni basi wewe ni
Jf senior anti-tecno member
.
ni kweli mkuu bora nokia ya tochi,kuliko hilo lisimu lenye laini 4. Simu gani ina line nne... Inaonyesha hadi TV mtu unatizama,chamel 10 halafu bei yake haifiki hata laki?
 
Last edited by a moderator:
Haya ni mawazo ya kuhalalisha umasikini..........hayatakiwa kamwe asilani abadani
NB; Hii haimaanishi Tecno ni simu haifai kutumiwa
 
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na maswali mengi, ubishani na maneno kwamba Tecno Phantom A na Samsung Galaxy S4 zinafanana na zina uwezo sawa.

Kutokana na hilo, nimeona ni vyema nikazifananisha simu hizi kwa mwonekano na uwezo pia ili kama unataka kununua, ufanye maamuzi sahihi!

Simu zenyewe ndo hizo hapo chini kama unavyoziona kwenye picha!
View attachment 135107

Kwanza nitaanza kuzifananisha bei.
Tecno Phantom A: Tshs. 358,442.75
Samsung Galaxy S4: Tshs. 935,933.87

Hizi ni bei za makadirio. Bei zinaweza kuwa tofauti kulingana na mahali ulipo na duka pia. Ila kwa wastani, Samsung Galaxy S4 ina bei mara 3 zaidi ya Tecno Phantom A.

Tecno Phantom A ni nene Zaidi kuliko Samsung Galaxy S4. Pia ni nzito na ndefu Zaidi kuliko Samsung Galaxy S4.

Simu zote mbili zina screen za nchi 5. Resolution zake zipo kama hivi:
Tecno Phantom A: 1220 X 720
Samsung Galaxy S4: 1920 X 1080

Tofauti inapokuja kati ya hizi simu mbili ni Teknolojia iliyotumika katika kutengeneza screen zake. Samsung Galaxy S4 ina Super Amoled Screen wakati Techno Phantom A inatumia TFT Technology. Hii inamaanisha kwamba Display ya Samsung ipo sharp Zaidi. Ila kama haupo sensitive sana, ni ngumu kuona utofauti katika mwonekano wa vioo vya simu hizi.

Sasa ngoja tuongelee Camera za simu hizi zote mbili:

Samsung Galaxy S4:

  • Camera ya nyuma in 13 MegaPixel na inaweza ku-record video katika full High Definition. Ya mbele ina 2 MegaPixel.
  • Software ya Camera imeongezewa features nyingi pia.

Tecno Phantom A:

  • Camera ya nyuma ina 8 MegaPixel na ya mbele ina 1.2 MegaPixel. Camera hii ya nyuma inauwezo sawa na Camera zinazopatikana kwenye simu maarufu kama vile IPhone 4s, 5s na 5c. Sio mbaya kwa matumizi ya kawaida ingawa quality inakuwa chini kidogo ukifananisha na picha iliyopigwa kwa Samsung Galaxy S4.
  • Software ya Camera ni ya kawaida ambayo originally inakuja kwenye Android bila features zozote zilizoongezwa.

Sasa ni vyema tukatazama Operating Systems kwenye simu zote mbili. Simu zote hizi ni za Android 4.2. Ila Samsunga Galaxy S4 inakuja na Android 4.2.2 na Tecno Phantom A inakuja na Android 4.2.1.

Android inayopatikana kwenye Samsung Galaxy inakuja na Features & Customizations nyingi ambazo zimeongezwa ambazo hizo zinaipa look na feel ya Samsung.

Kwa upande wa pili, Android ya kwenye Tecno Phantom A, inakaribia kuwa sawa na Android Halisi inayotolewa na Google. Hawajafanya customizations ili angalau ilete mwonekano wa Ki-tecno Zaidi. Labda kwenye matoleo yajayo itafanyiwa marekebisho ingawa hata sasa bado inaonekana kuwa sexy!

Technical Specifications:
Tecno Phantom A:
Tecno Phantom ina Dual – Core Processor ambapo kila Core ina 1.2 GHz. RAM yake ni 1GB. Uwezo huu kwa simu ni wa kawaida na ni mzuri pia kwa shughuli za kila siku. Pia inafaa kwa kuchezea ma-game mazito kwa wale gamers.

Samsung Galaxy S4:
Kwa upande wa Samsung Galaxy S4, uwezo wake huku ni amazing. Ina processor yenye 8 cores. Cores 4 za kwanza kila mmoja ina uwezo wa 1.6 GHz na Cores 4 zinazobaki kila mmoja ina 1.2 GHz. RAM yake ni 2GB.

Specifications hizi ni Zaidi ya mahitaji ya simu. Sijui kama kuna Application yeyote ya simu duniani inayohitaji simu ya uwezo mkubwa kiasi hiki. Mimi naweza kusema ni wastage na labda ndo inayochangia simu hii kuwa na bei kubwa.

Kuwa na simu hii ni sawa na kubeba Computer kubwa na kutembea nayo barabarani!
Note: Kwa wageni kwenye teknolojia.

Tunaposema Processor ina Dual Core Processor, tunamaanisha kwamba ndani ya processor moja, kuna vi-processor vidogo viwili. Hii ina maana kwamba kupata speed kuu ya simu yako, unazidisha hiyo 1.2 kwa Tecno mara 2.

Kwa maana hiyo hiyo, Samsung Galaxy S4 ina vi-processor 8 ndani yake.

Hitimisho:
Nikitakiwa leo kununua simu, basi nitanunua Tecno Phantom A. Hii ni kwa sababu inafanya vitu vyote ambavyo Samsung Galaxy S4 inafanya. Pia inapatikana kwa bei ndogo na inaruhusu kuweka line 2 kwa wakati mmoja.

Kwa mtazamo wangu, kumiliki Samsung Galaxy S4 ni sawa na kuchezea hela. Labda kwa wale ndugu zangu akina Ngosha na Wahaya ambao kuwa na kitu cha gharama kunamaanisha High Status, hawa inawafaa hii Samsung Galaxy S4!
Nawasilisha.

Ndugu yangu nashukuru kujitahidi kuelezea na kutofautisha kati ya GS4 na Phantom A+ hata mm mtumiaji wa Tecno lakini kaka, Kwa Samsung GS4 Tecno hachungulii hata chembe bora ungesema maSony Xperia na Lg Optimus na Windows 1520 hapo sawa lakini Tecno, pleez be serious kijana bado sana ila cha kuwasifu wametufanya sisi watu wa kawaida tupate ladha ya smartphone kwa bei chee na kwa hilo shukrani zangu! Ww ukitaka ujue samsung noma chukua hiyo GS4 au hata Note 3 na Phantom A+ tumia wiki mbili kila moja kama huja hallucinate upewe Samsung!!! Hawa waKorea sikuhizi wamejipanga na noma kuanzia magari hadi mawasiliano ila wachina ndio bado wanazoea soko wakiwezaweza pengine watakuwa noma!!!
 
Huko hong kong hawanunui tecno, yani wewe itengenezwe hapa halafu hakuna anaeitumia? Hapo ubora una walakini. Kwenye list ya Manufacturers wa simu duniani tecno hawamo, japo yapo makampuni mengi ya kichina ukiacha huawei, zte na xiaomi....

Msiwe na mawazo ya sizitaki mbichi hizi. Eti unapesa ya kutosha kununua s4 na unahitaji quality stuff, linatokea jitu linakwambia phantom A ndio kiboko. Uwa nayajibu majitu ya namna hii.

Weka standard kwenye maisha yako, lah utaishi na mawazo kununua inferior products
 
aje atuambie HSDPA na HSUPA ya tecno ni ngapi ndio aifananishe na hiyo S4. mimi tecno huwa siwaelewi elewi maana hawako kwenye ma website ya maana yanayoongelea simu... Wao wapo kwenye blogs tuu na forums! Njooni GSMARENA ujionee full phone specifications bila chenga... Sio vificho ficho na kutuonyesha urembo wa nje wa simh wakati ndani ni takataka!

Yap uko sahihi. Simu kama haipo gsmarena si yakuishabikia sana.
 
Mkuu mdhalendo kwenye thread hii nmegundua vitu viwili kutoka kwako..

1.Una kipaji cha siasa yaani unabishana japokuwa haujui unabishana nini..

2.Wewe ni mzalendo kweli,ndo maana unaonesha uzalendo kwa simu unayoitumia,unaipgania japokua unajua haiwezi kushinda vita hiyo..

Hv unajua kwamba Tecno yoyote ili uweze kufanya kitu kwenye simu yako juani ni mpaka uzibe na mkono.!
Hv unajua screen ya Tecno ni nyepesi sana kuvunjika ndo maana ni biashara kubwa pale k/koo..
Hv unajua Tecno hawana soko huko ambako wewe unasema n makao makuu yake.?
Hivi unajua Tecno ikikwambia ina 5 mp camera ujue ni 1 mp camera.?
Hiv unajua mtu yyote anaeipenda Tecno nakusema ni simu nzur sana hajawahi kutumia Android smartphone za brand kubwa.?
Hvi unajua wa Africa tunapenda sana vya bei rahisi bla kujali ubora ndo maana tunazishobokea sana Tecno na Huawei za ofa pale tigo..
Hvi unajua Tecno Sio za kutumia mtu mwenye akili timamu anaetaka ladha halisi ya smartphone..
Hvi unajua mleta mada alikua hamaanishi alichokiandika alikua anataka kupima reactions ya watu juu ya Tecno yake anayojipea moyo kua anamiliki GS4.!

HIVI UNAJUA ZAIDI YA MIAKA 100 IJAYO TECNO NDIO INAWEZA KUIFIKIA SAMSUNG..
 
Last edited by a moderator:
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na maswali mengi, ubishani na maneno kwamba Tecno Phantom A na Samsung Galaxy S4 zinafanana na zina uwezo sawa.

Kutokana na hilo, nimeona ni vyema nikazifananisha simu hizi kwa mwonekano na uwezo pia ili kama unataka kununua, ufanye maamuzi sahihi!

Simu zenyewe ndo hizo hapo chini kama unavyoziona kwenye picha!
View attachment 135107

Kwanza nitaanza kuzifananisha bei.
Tecno Phantom A: Tshs. 358,442.75
Samsung Galaxy S4: Tshs. 935,933.87

Hizi ni bei za makadirio. Bei zinaweza kuwa tofauti kulingana na mahali ulipo na duka pia. Ila kwa wastani, Samsung Galaxy S4 ina bei mara 3 zaidi ya Tecno Phantom A.

Tecno Phantom A ni nene Zaidi kuliko Samsung Galaxy S4. Pia ni nzito na ndefu Zaidi kuliko Samsung Galaxy S4.

Simu zote mbili zina screen za nchi 5. Resolution zake zipo kama hivi:
Tecno Phantom A: 1220 X 720
Samsung Galaxy S4: 1920 X 1080

Tofauti inapokuja kati ya hizi simu mbili ni Teknolojia iliyotumika katika kutengeneza screen zake. Samsung Galaxy S4 ina Super Amoled Screen wakati Techno Phantom A inatumia TFT Technology. Hii inamaanisha kwamba Display ya Samsung ipo sharp Zaidi. Ila kama haupo sensitive sana, ni ngumu kuona utofauti katika mwonekano wa vioo vya simu hizi.

Sasa ngoja tuongelee Camera za simu hizi zote mbili:

Samsung Galaxy S4:

  • Camera ya nyuma in 13 MegaPixel na inaweza ku-record video katika full High Definition. Ya mbele ina 2 MegaPixel.
  • Software ya Camera imeongezewa features nyingi pia.

Tecno Phantom A:

  • Camera ya nyuma ina 8 MegaPixel na ya mbele ina 1.2 MegaPixel. Camera hii ya nyuma inauwezo sawa na Camera zinazopatikana kwenye simu maarufu kama vile IPhone 4s, 5s na 5c. Sio mbaya kwa matumizi ya kawaida ingawa quality inakuwa chini kidogo ukifananisha na picha iliyopigwa kwa Samsung Galaxy S4.
  • Software ya Camera ni ya kawaida ambayo originally inakuja kwenye Android bila features zozote zilizoongezwa.

Sasa ni vyema tukatazama Operating Systems kwenye simu zote mbili. Simu zote hizi ni za Android 4.2. Ila Samsunga Galaxy S4 inakuja na Android 4.2.2 na Tecno Phantom A inakuja na Android 4.2.1.

Android inayopatikana kwenye Samsung Galaxy inakuja na Features & Customizations nyingi ambazo zimeongezwa ambazo hizo zinaipa look na feel ya Samsung.

Kwa upande wa pili, Android ya kwenye Tecno Phantom A, inakaribia kuwa sawa na Android Halisi inayotolewa na Google. Hawajafanya customizations ili angalau ilete mwonekano wa Ki-tecno Zaidi. Labda kwenye matoleo yajayo itafanyiwa marekebisho ingawa hata sasa bado inaonekana kuwa sexy!

Technical Specifications:
Tecno Phantom A:
Tecno Phantom ina Dual – Core Processor ambapo kila Core ina 1.2 GHz. RAM yake ni 1GB. Uwezo huu kwa simu ni wa kawaida na ni mzuri pia kwa shughuli za kila siku. Pia inafaa kwa kuchezea ma-game mazito kwa wale gamers.

Samsung Galaxy S4:
Kwa upande wa Samsung Galaxy S4, uwezo wake huku ni amazing. Ina processor yenye 8 cores. Cores 4 za kwanza kila mmoja ina uwezo wa 1.6 GHz na Cores 4 zinazobaki kila mmoja ina 1.2 GHz. RAM yake ni 2GB.

Specifications hizi ni Zaidi ya mahitaji ya simu. Sijui kama kuna Application yeyote ya simu duniani inayohitaji simu ya uwezo mkubwa kiasi hiki. Mimi naweza kusema ni wastage na labda ndo inayochangia simu hii kuwa na bei kubwa.

Kuwa na simu hii ni sawa na kubeba Computer kubwa na kutembea nayo barabarani!
Note: Kwa wageni kwenye teknolojia.

Tunaposema Processor ina Dual Core Processor, tunamaanisha kwamba ndani ya processor moja, kuna vi-processor vidogo viwili. Hii ina maana kwamba kupata speed kuu ya simu yako, unazidisha hiyo 1.2 kwa Tecno mara 2.

Kwa maana hiyo hiyo, Samsung Galaxy S4 ina vi-processor 8 ndani yake.

Hitimisho:
Nikitakiwa leo kununua simu, basi nitanunua Tecno Phantom A. Hii ni kwa sababu inafanya vitu vyote ambavyo Samsung Galaxy S4 inafanya. Pia inapatikana kwa bei ndogo na inaruhusu kuweka line 2 kwa wakati mmoja.

Kwa mtazamo wangu, kumiliki Samsung Galaxy S4 ni sawa na kuchezea hela. Labda kwa wale ndugu zangu akina Ngosha na Wahaya ambao kuwa na kitu cha gharama kunamaanisha High Status, hawa inawafaa hii Samsung Galaxy S4!
Nawasilisha.

Tecno wanatumia chipset ipi??
 
Mkuu mdhalendo kwenye thread hii nmegundua vitu viwili kutoka kwako..

1.Una kipaji cha siasa yaani unabishana japokuwa haujui unabishana nini..

2.Wewe ni mzalendo kweli,ndo maana unaonesha uzalendo kwa simu unayoitumia,unaipgania japokua unajua haiwezi kushinda vita hiyo..

Hv unajua kwamba Tecno yoyote ili uweze kufanya kitu kwenye simu yako juani ni mpaka uzibe na mkono.!
Hv unajua screen ya Tecno ni nyepesi sana kuvunjika ndo maana ni biashara kubwa pale k/koo..
Hv unajua Tecno hawana soko huko ambako wewe unasema n makao makuu yake.?
Hivi unajua Tecno ikikwambia ina 5 mp camera ujue ni 1 mp camera.?
Hiv unajua mtu yyote anaeipenda Tecno nakusema ni simu nzur sana hajawahi kutumia Android smartphone za brand kubwa.?
Hvi unajua wa Africa tunapenda sana vya bei rahisi bla kujali ubora ndo maana tunazishobokea sana Tecno na Huawei za ofa pale tigo..
Hvi unajua Tecno Sio za kutumia mtu mwenye akili timamu anaetaka ladha halisi ya smartphone..
Hvi unajua mleta mada alikua hamaanishi alichokiandika alikua anataka kupima reactions ya watu juu ya Tecno yake anayojipea moyo kua anamiliki GS4.!

HIVI UNAJUA ZAIDI YA MIAKA 100 IJAYO TECNO NDIO INAWEZA KUIFIKIA SAMSUNG..

Kiongozi mimi situmii tecno na sijawahi kutumia. Ninachokisema hapa ni kuwa haya madai kuwa hii kampuni haina makao makuu huo ni uongo, unafiki na uzandiki.
Kama unesoma comments zangu nimesema wazi kuwa tecno wanauza simu africa peke yake. Hakuna hata sehemu moja niliyosema kuwa tecno is a global product.
 
Last edited by a moderator:
If you have tasted the best, you cant accept nothing less.
 
Acha ujinga huo, tangu lini s4 ukaipambanisha na phantom A? Umetumwa na tecno kupigia promo? Labda pambanisha tecno yako hiyo na huawei y300 hapo ntakuelewa

Na wewe umetumwa na Samsung kukashifu mawazo ya mwenzako!?
 
Mkuu mdhalendo kwenye thread hii nmegundua vitu viwili kutoka kwako..

1.Una kipaji cha siasa yaani unabishana japokuwa haujui unabishana nini..

2.Wewe ni mzalendo kweli,ndo maana unaonesha uzalendo kwa simu unayoitumia,unaipgania japokua unajua haiwezi kushinda vita hiyo..

Hv unajua kwamba Tecno yoyote ili uweze kufanya kitu kwenye simu yako juani ni mpaka uzibe na mkono.!
Hv unajua screen ya Tecno ni nyepesi sana kuvunjika ndo maana ni biashara kubwa pale k/koo..
Hv unajua Tecno hawana soko huko ambako wewe unasema n makao makuu yake.?
Hivi unajua Tecno ikikwambia ina 5 mp camera ujue ni 1 mp camera.?
Hiv unajua mtu yyote anaeipenda Tecno nakusema ni simu nzur sana hajawahi kutumia Android smartphone za brand kubwa.?
Hvi unajua wa Africa tunapenda sana vya bei rahisi bla kujali ubora ndo maana tunazishobokea sana Tecno na Huawei za ofa pale tigo..
Hvi unajua Tecno Sio za kutumia mtu mwenye akili timamu anaetaka ladha halisi ya smartphone..
Hvi unajua mleta mada alikua hamaanishi alichokiandika alikua anataka kupima reactions ya watu juu ya Tecno yake anayojipea moyo kua anamiliki GS4.!

HIVI UNAJUA ZAIDI YA MIAKA 100 IJAYO TECNO NDIO INAWEZA KUIFIKIA SAMSUNG..

Tecno ni zaidi ya uisikiavyo!
 
Siisikii naitumia,kwahyo hunidanganyi chochote..

Nilianza na n3,p3,m3,n7.. kisha nkatumia kidogoo phantom A+ Alaf sahv natumia p5 kama secondary phone..

Baada ya kuzitumia ukagundua mapungufu yapi ?
 
Check hii simu MI3 kutoka XIAOMI bei ni ndogo lakini uwezo wake ni mkubwa sana, ukiangalia sepecificationzake na Samsung S4 its almost the same. Pitia hii link: Mi3 - xiaomi.com

j7kc.jpg

Xiaomi wanatengeneza simu nzuri sana mkuu. Ila ngoja waje watu hapa watakwambia usinunue bcoz inatengenezwa china. Wengine watakwambia usinunue hii brand yake sio popular kama ilivyo samsung.
 
Back
Top Bottom