Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

Mi naona mtoa mada hakutakiwa kulinganisha hizi mbili bali angeanza tu kusema hiyo tecno inawafaa watu maskini kwa matumizi yao. Ila sio sahihi kusema wanaonunua Samsung wana pesa ya kuchezea au wanataka sifa. Sema mi nina njaa usiseme tuna njaa! Kama we maskini nunua kimeo (tecno) ukauzie mtaani kwa wasiojua bado ila usijifananishe kabisa hata robo na mtu mwenye Galaxy S4.

Jifariji Kuwa anae tumia Tecno ni maskini!
 
Muandishi wa mada kaishadadia tecno japo kakubali samsung imeizidi kwa kila kitu...
Kama ukiamua kuwa na simu basi kuwa na as best as you can have. Yani nnaposikia high end phone ina kioo tft akili yangu uwa inaruka kuwa ni ya kichina tu.

Sisi uwa tunaangalia gharama nafuu bila kuangalia vitu vingine. Tena siku watu wanasema hawanunui majina. Ila tuache ushabiki, unapoamua kununua kitu lets say pesa unayo ya kutosha kununua chochote majina uwa yana matter,

Ni watu wachache sana au hawapo dunia hii wenye uwezo wa kununua chochote
 
Safi Mkuu. Tena umesahau kumwambia kuwa kama anapesa ya kukua chochote! basi anunue na uhai il I aishi milele!
nyie acheni ushabiki hapa nilikuwa nazungumzia simu. yani nilimaanisha kama huna hela ya kunua galaxy s4 usiseme wenye pesa zao wasinunue eti kisa ni upotevu wa pesa. period
 
Ni toleo Gani la TECHNO JIPYA/HOT kwa Sasa!?

Na je nkitaka kununulia Wife, ni Toleo lipi ambalo ni portable lakini yenye screen resolution nzuri!??

Naombeni Mawazo yenu kwa wale walokwisha kutumia hizi techno Wajameni.
 
Phatom A3 Hii ni mpya kabisa
 
Ni toleo Gani la TECHNO JIPYA/HOT kwa Sasa!?

Na je nkitaka kununulia Wife, ni Toleo lipi ambalo ni portable lakini yenye screen resolution nzuri!??

Naombeni Mawazo yenu kwa wale walokwisha kutumia hizi techno Wajameni.
Mkuu, achana na techno. Mke hupambwa na galaxy au iphone aisee. Tafuta kitu s4 au iphone5s au galaxy pop ndio kwa wanawake ziko bomba na mwenyewe ukiwa na note3 aaah! Huo u smartapartments ndio utadhihirika
 
Last edited by a moderator:

kuna matoleo mawili ya tecno phantom A3 na D9.MWANAMKE MCHUKULIE P5 ITAMFAA SANA
 
Mkuu, achana na techno. Mke hupambwa na galaxy au iphone aisee. Tafuta kitu s4 au iphone5s au galaxy pop ndio kwa wanawake ziko bomba na mwenyewe ukiwa na note3 aaah! Huo u smartapartments ndio utadhihirika

Nmekuunga Mkono Mkuu. Mwenyewe nnamiliki Note3, yeye anayo Iphone 4, Ila inasumbua touch,baadhi ya letters hazi-type.
Itabidi nimtafutie SGS4 naye aendelee kuinjoy Maisha.

Techno tupa kule.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom