Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

TECNO walishasema wao market yao ni Africa tu. Na Vice President wa TECNO aliwahi kutoa statement akasema "If you have failed in Africa where else could you go?"
Kama kweli alitamka hivyo: Hii ni bonge ya dharau kwa sisi Waafrika-inabidi tususe bidhaa zao. Malabuku!
 
Mie ninafikiri mtoa Ngoja amejitahidi sana kufanya comparison hiyo kumfanya mlaji achague kipi kitamfaa kadri ya uwezo wake.

Pili nichangie kidogo on tecno. Zimeponzwa sana na jina lake maana matoleo yake ya mwanzo yalikuwa hovyo sana nafikiri with wakapata conception kuwa techno zote ni mbaya lakini si hivyo.

Kingine Nilikuwa China Shanghai majuzi..sikubahatika kuona tecno katika duka au mall yoyote. Swell ni he hizi tecno ni kwa ajiri ya Africa tu?
Niliwapa home work watu wa tecno wanioneshe headquarter yao na ceo wao hadi leo sijapata jibu. Uchunguzi wangu nilioufanya hii kampuni hai exist duniani.
 
Simu za Tecno nimetumia sana tena sana lkn siwez mshauri mtu anunue kabisa ...ni Majanga japo nimetumie N3 na P3 tu ila nahisi hata hiyo Phantom unaweza inunua kilo tatu mpaka 4 lkn bado ikakuumbua

Kuliko kununua Phantom A+ kisa line mbili bora ununue Samsung duos nahisi zote zimeipita Phantom kwa uzuri

TECNO MAJANGA NIMETUMIA KWA MWAKA MZIMA SASA LKN NI MAJANGA ASWA

NASHANGAA WATU BADO WANANUNUA ETI Tecno n3,D3,M3 na p3
 
Kama kweli alitamka hivyo: Hii ni bonge ya dharau kwa sisi Waafrika-inabidi tususe bidhaa zao. Malabuku!

Fungua hiyo picha kaka uisome statement ya viongozi wa tecno kwenye mistari ya chini kabisa
 
Attachments

  • 1390905774920.jpg
    1390905774920.jpg
    72.7 KB · Views: 131
Mungu kuiumba dunia ilimbidi aweke kila aina ya ua ili dunia ipendeze,hivyo kila sehemu watu wa matusi hatuwezi kuwaepuka,ndo mungu katupatia tuishi nao,tuwavumilie tu..ahsante mtoa thread nimeipenda hata mi nipo njia panda juu za hizo simu,ila kidogo nimeelewa.ebu nipe maelezo juu ya betri kwa kila moja.PLZ
 
Niliwapa home work watu wa tecno wanioneshe headquarter yao na ceo wao hadi leo sijapata jibu. Uchunguzi wangu nilioufanya hii kampuni hai exist duniani.

Mkuu nilipekua sana kuhusu tecno japo nipate sababu kwann hawa watu wanaishabikia sana. Tecno sio tu hawana headquarters bali hii ni moja ya zile kampuni ambazo zinakuwaga nyuma ya nyumba huko china
 
Hivi mpaka unaweka comparison ulijiuliza kwann Haipo hata Gsmarena... Tecno zinatumika africa zaidi kwahiyo ni cheap with low quality

Nani alishafanya comparison kama yako duniani? We ndo wa kwanza

Sema mimi sina hela si watu hawana hela na eti wanazichezea...compare na IPhone 5 basi

Na kubaliana na aliyecomment wa kwanza

Mtoa mada yuko sahihi na amefanya kitu cha maana sana. SISI ndio wa Afrika wenyewe.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
countering argument by nothing but argument is sure sign of immaturity!
 
September 5 mdhalendo

hii sio ishu ya ant-tecno,hii ni ishu ya kushndanisha GS4 na Tecno kitu ambacho ni maajabu,japo natumia tecno lakini haiwezekani eti mtu aishndanishe phantom na Tecno..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, usini-quote vibaya. Nimesema Camera yake ni 8M.P. It is the same Camera inapatikana kwenye simu maarufu kama Iphone 4s, 5s & 5c.

Mimi sio mtaalamu sana wa ma-camera ila 8 megapixels za kwenye iphone ni kali sana zinaonesha clear kupita maelezo aiseee....
 
Simu za Tecno nimetumia sana tena sana lkn siwez mshauri mtu anunue kabisa ...ni Majanga japo nimetumie N3 na P3 tu ila nahisi hata hiyo Phantom unaweza inunua kilo tatu mpaka 4 lkn bado ikakuumbua

Kuliko kununua Phantom A+ kisa line mbili bora ununue Samsung duos nahisi zote zimeipita Phantom kwa uzuri

TECNO MAJANGA NIMETUMIA KWA MWAKA MZIMA SASA LKN NI MAJANGA ASWA

NASHANGAA WATU BADO WANANUNUA ETI Tecno n3,D3,M3 na p3

.
Kiongozi unaweza ukaona simu haikufai kulingana na matumizi yako mwenyewe......
.
Mfano p3 uliyokuwa nayo....
.
Ungempa mtu mwingine angeona ni bonge moja la simu....
Hivyo basi tununue simu zinazo endana na sisi wenyewe.......
.
Na hizi TECNO zingekuwa ni feki sijui zingesemwaje?
.
 
Mkuu ungepambanisha na phantom A+ Ile ndo mpango mzima ina prosesa ya quad core !!
 
Watanzania kwa kupondea hatujambo, Tanzania hata Techinolojia ya kutengeneza Wembe hatuna,

Mkuu nilipekua sana kuhusu tecno japo nipate sababu kwann hawa watu wanaishabikia sana. Tecno sio tu hawana headquarters bali hii ni moja ya zile kampuni ambazo zinakuwaga nyuma ya nyumba huko china

Ni kweli. Techno haipo madukani China. Nimengalia hata kwenye soko maarufu la Shanghai Science and Technology ambapo wanauza karibu kila kitu hakuna Tecno. Charity begins at home, kwa nini sasa hata hao Chinese wenyewe hazitumii.
There must be something very fishy! Why only in Africa?Eti a product for Africa! Lol!
 
African the POOR CONTINENT
.
let them turn us as the dumping area......
.
 
.
Kiongozi unaweza ukaona simu haikufai kulingana na matumizi yako mwenyewe......
.
Mfano p3 uliyokuwa nayo....
.
Ungempa mtu mwingine angeona ni bonge moja la simu....
Hivyo basi tununue simu zinazo endana na sisi wenyewe.......
.
Na hizi TECNO zingekuwa ni feki sijui zingesemwaje?
.

nami natumia p3 karibu miezi 4 sasa nilitaka mwezi huu ninunue phantom a+ lakini ant tecno wameipondea mno sasa sijui nitanunua simu gani kwa laki 4 niliyo nayo(tayari nilikuwa nimeongea na mtu anichukule dar wiki ijayo.mimi nipo tarime)
 
Back
Top Bottom