Mkuu umetoa analysis nzuri lakini kwenye conclusion ndo natofautiana na ww kwamba eti bora tecno kha.! Kuna mada ilishawahi kuanzishwa humu jukwaani kwamba kuna kiwanda orignal kinachoexist nakutambulika kimataifa cha tecno?? Na kulikuwa kuna reasonable argument juu ya viwanda,na orignality ya tecno,back to the topic kuna vitu vingi sana ambavyo vipo kwenye s4 hujavielezea kwa ufupi tu niseme update ya os kwenda 4.3 android na pia smartscroll,durability(hapa s4 ililinganishwa na iphone 5 kwa kuwekwa kwenye maji ikakaa muda mrefu more than two minutes,kuwa scratched na coin ,kuangushwa toka juu kama mita 10 zaidi ya mara 5,)not to mention hizo tecnical specification nyingine ulizozitaja pamoja na screen resolution. And many other vinaifanya s4 kuwa juu mara 3 zaidi ya hiyo phantom.ila kama bajeti yako ya kawaida sio mbaya kuwa na phantom