Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

Kwangu mm hela kama sio issue bora ununue Samsung S4 au samsung S4 mini Duos maana bei yake imeshuka kulinganisha na S4 nyingine so long as zote ni Samsung S4 bado niko in the track

Lkn Pia kuna swala la DATA na Battery

Samsung S4 kampita Phantom pia
sidhani kama Phantom hapa kafika HSDPA 42.2 Mbit/s(Download), HSUPA 5.76 Mbit/s(Upload)

Battery
Galaxy S4 kafika 2600 mAh, Li-ion
Phantom A+ kafika 2100 mAh, Li-ion
 
Hitimisho:
Nikitakiwa leo kununua simu, basi nitanunua Tecno Phantom A. Hii ni kwa sababu inafanya vitu vyote ambavyo Samsung Galaxy S4 inafanya. Pia inapatikana kwa bei ndogo na inaruhusu kuweka line 2 kwa wakati mmoja.

Kwa mtazamo wangu, kumiliki Samsung Galaxy S4 ni sawa na kuchezea hela. Labda kwa wale ndugu zangu akina Ngosha na Wahaya ambao kuwa na kitu cha gharama kunamaanisha High Status, hawa inawafaa hii Samsung Galaxy S4!
Nawasilisha.
[/FONT][/SIZE]

HAHAHA ETI INAFANYA VITU VYOTE AMBAVYO SAMSUNG GALAXY S4 INAFANYA

13M.P ni sawa na 5M.P
Resolution umeangalia kweli?
 
Haaaa! haaaa! I am so much proud to be the first to compare the two Mobile Phones.

I do this because I don't want to be blinded by the Brand Names and Popularity!!!!!!

Brand names??????

Mbona hujasema Iphone. .. kubali tu kuwa wahitamani S4 ndo maana unatafuta simu inayolingana uwezo wake.

Fanya kazi kuna vitamu vinakuja mbele. . Usidhani Samsung ni SACCOS Eti jina ndo linauza kuliko DEVICE
 
Muandishi wa mada kaishadadia tecno japo kakubali samsung imeizidi kwa kila kitu...
Kama ukiamua kuwa na simu basi kuwa na as best as you can have. Yani nnaposikia high end phone ina kioo tft akili yangu uwa inaruka kuwa ni ya kichina tu.

Sisi uwa tunaangalia gharama nafuu bila kuangalia vitu vingine. Tena siku watu wanasema hawanunui majina. Ila tuache ushabiki, unapoamua kununua kitu lets say pesa unayo ya kutosha kununua chochote majina uwa yana matter,

Hapa lazima tu-group wanunuaji katika makundi mawili mkuu
Kuna heavy Utilizers wa device na Light utilizers wa hizi device...Mfano siwezi kumshauri mtu amabaye yeye matumizi ya Simu za android ni for Viber,whatsapp,instangram,JF app...mtu kama huyu ambaye kaweka downloaded apps tano zilizobaki ni zile default sasa huyu utamshauri naye anunue galaxy S4 au Phantom inamtosha tu

Lkn kuna wengine ni heavy users ana hakikisha ile 2GB RAM ya s4 bado iko ndogo anatumia GAMES zenye 3D graphics za kufa mtu au magemu yanayokula memory na Processing speed ya Device...Mtu kama huyu huwezi mwambia anunue Phantom A+ akakubali

Kuna mdau aliwahi kumwambia mtu adownload gemu fulani(jina limenitoka akija atanikumbusha) akasema iwapo hilo gemu litacheza kwenye Phantom angempa hela
Lkn sio wote tunatumia GAMES kwenye hizi simu kumbe basi kununua simu inabidi kuangalia pia matumizi yako na sio tu hiyo HIGH END DEICE tu
 
HAHAHA ETI INAFANYA VITU VYOTE AMBAVYO SAMSUNG GALAXY S4 INAFANYA

13M.P ni sawa na 5M.P
Resolution umeangalia kweli?

Mkuu, usini-quote vibaya. Nimesema Camera yake ni 8M.P. It is the same Camera inapatikana kwenye simu maarufu kama Iphone 4s, 5s & 5c.
 
Haaaa! haaaa! I am so much proud to be the first to compare the two Mobile Phones.

I do this because I don't want to be blinded by the Brand Names and Popularity!!!!!!

ukisema hvi unakosea..popularity blinds ppo to chuz wat they want??wengne hawatak shda ya milap top wanarahssha tyu kwa kuwa na s4.so the matter n mtonyo na demand ya mtu,s brand name wala popularity
 
Acha ujinga huo, tangu lini s4 ukaipambanisha na phantom A? Umetumwa na tecno kupigia promo? Labda pambanisha tecno yako hiyo na huawei y300 hapo ntakuelewa

Basi mm nimegundua wewe ndo mjinga! sijapenda wewe kuwa mjinga!
 
Kuna mtu nachat nae whatsapp kaniandikia hivi kuhusu simu yake mpya ya tecno

Dah wametusaidia sana c akina kayumba agalau tunaenjoy ulimwengu wa digital wanayo phatom check specification zake

Conclusion: Pesa ndio limiting factor. Hadithi imeishia hapo. Kama kila mtu angekuwa na pesa kununua Galaxy S4 kusingekuwa na wa kusema ni power user ama wa kawaida. Hakuna ambae angenunua tecno, watu wangenunua iphone, lumia, galaxy n.k

Mtabishaa miaka 800
 
Huwezi fananisha s4 na tecno bado wapo chini kiaina:thumbup
 
Huwezi fananisha s4 na tecno bado wapo chini kiaina:thumbup

Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na maswali mengi, ubishani na maneno kwamba Tecno Phantom A na Samsung Galaxy S4 zinafanana na zina uwezo sawa.


Lengo la kufananisha kaliweka Bayana mtoa mada kuwa kumekuwepo na Rumours na upotofu kuwa su ni sawa na Phantom ndo maana ameamua kuzilinganisha
Hope umepata jibu

 
God knows
.
Imetulia kIONGOZI
.
Japokuwa umetupia post kwenye kijiji cha ANTI TECNO
.
.
 
Last edited by a moderator:
God knows
.
Imetulia kIONGOZI
.
Japokuwa umetupia post kwenye kijiji cha ANTI TECNO
.
.

ANTI TECNO wana hasira sana kutetea Samsung ikifananishwa na Tecno nadhani wanajaribu kujifariji kwamba hawajapoteza hela wakati ukweli uko palepale.
Kwa hizo specification za Samsung, wanaozitumia effectively ni wachache sana otherwise wengi wanapenda jina tu.
Utaniambia unashusha mzigo ea Game inayochukua space kubwa hiyo game unacheza saa ngapi?? Misimu yenyewe ndiyo hii charger mfukoni.
Mimi naona ni wachache wenye matumizi nayo ya kweli
 
Last edited by a moderator:
Hapa watu wanafanya mapenzi binafsi tu, Yani ni sawa na mimi niandike comparison yangu kisha ni conclude kuwa samsung galaxy ni nzuri kutokana na vigezo vyangu binafsi. Ila jamaa kaelezea jinsi ambavyo galaxy imeizidi tecno...

kama C6 alivyosema wengi hapa hawana pesa za kununua galaxy s4, kama tecno ni zaidi ingekuwa imepenya ulaya na marekani. Ukiangalia soko kubwa la tecno ni india na africa na huko asia. Wanana in common watu hawa?
 
Last edited by a moderator:
kama tecno ni zaidi ingekuwa imepenya ulaya na marekani. Ukiangalia soko kubwa la tecno ni india na africa na huko asia. Wanana in common watu hawa?
.
<?Nitengeze kitu kwaajili ya kuuza Tanzania.....
Kitapenyaje sasa ulaya
.
Tecno wame invest kwa nchi masikini huku afrika....
.
Waliachana na soko la india....
Wakaona wa base afrika pekee?>
.
 
.
<?Nitengeze kitu kwaajili ya kuuza Tanzania.....
Kitapenyaje sasa ulaya
.
Tecno wame invest kwa nchi masikini huku afrika....
.
Waliachana na soko la india....
Wakaona wa base afrika pekee?>
.

simu ya tecno haiwezi kupelekwa ulaya kwanza hata haiwezi kufikia viwango ambavyo wanataka vya ubora, ila afrika ni dampo la takataka, simu za michina ma tv ya kichina magari yaliyochakaa,
mtu anaona ni heri anunue tecno au samsung galaxy clone eti kwa sababu inaelekeana na galaxy s4 na anamaliza kwa kusema kununua s4 ni upotevu wa pesa.
Kama mtu anaelewa mambo haya na kwake ubora ndio kitu cha kwanza hawezi acha kununua s4 akanunue phantom sijui A
 
The problem ni kuwa mleta mada anataka watu wafanye comparison wakati yeye ameshakuwa bias kwa kuipigia upatu TECNO na kuiponda S4. Sasa sijui anataka tubishane naye au tufanye comparison. Anyways.......what about battery life for each smartphone?
 
Back
Top Bottom