Eusebius Erneus
Member
- Jan 16, 2014
- 21
- 10
kiukweli tecno mna mnyima haki
lakin kawatimua watu wenye majina makubwasokon $datc why
lakin kawatimua watu wenye majina makubwasokon $datc why
Nimetembea kidogo duniani, cha ajabu nilichogundua wenzetu walioendelea utakuta mara nyingi wanatumia Baiskeli/Pikipiki au usafiri wa umma kwenda kwenye mishemishe zao. Hata simu zao ni za kawaida sana, hata magari yao ni yale ambayo huku unaweza kuyaita yenye ujazo wa injini wa kawaida.
Lakini huku kwetu Dunia ya tatu mmmmmmhhhh
Nakubaliana na aliyesema hii ni Bangi. Kama we ni mteja wa Tecno au makopo ya aina hiyo sawa ila usilazimishe watu wote ku stoop low. Si lazima umiliki simu ila ikibidi tafuta the best there is.
Si lazima uoe, lakini ikifikia hapo chukua demu mkali.
Keyser Söze;8617333 said:Ngoja nikutajie features ambazo umeziacha ambazo zitakufanya uione tecno ni cha mtoto
Ya mwisho ni kuwa ni SAMSUNG! hilo jina tu linatosha! imagine mtu ana cm ina jina TECNO na mwingine ana SAMSUNG! ww wa tecno you are smelling chinese!
- Dual camera photo and recording:Yaani unaweza ukawa unarekodi video kwa kutumia kamera ya nyuma na pia ukawa unajirekodi ww kwa kutumia kamera ya mbele KWA WAKATI MMOJA!
- Erase shot: Uko sehemu umepiga picha halafu baadae unagundua kuna kitu au mtu katokea kwenye hiyo picha na ww hukutaka, bas hii feature inakuwezesha kufuta hiyo part
- S Translator: nafkr inajieleza yenyewe
- S health
- Air view
- Tumia cm kama remote ya tv
- NFC connectivity
- Smart pause
Phantom A+++(A3) inazo hizo zote.
Baada ya kuzitumia ukagundua mapungufu yapi ?
Hakuna cm kama Sony Xperia Z
Naona watu mnaponda sana humu wachina.. Wachina wana products nzuri tu msiwaponde kiasi hicho, wanawaletea simu kulingana na market yenu. Unadhani mchina anashindwa kutengeneza simu kwa kutumia AMOLED display akakuwekea the best processor, ram, memory space, battery kubwa?? Unabisha tafuta simu inaitwa Xiaomi Mi3 uniambie kama utailinganisha na Samsung S4 au iPhone 5S.. Mbona jamaa kafanya comparison nzuri tu japo yeye anapenda techno shida iko wapi, muacheni atumie ni preference yake, na ni kweli almost all apps zinazorun kwenye S4 zinarun kwenye phantom tatizo linakuja vitu kama games FPS zitakua low n usiongelee ati battery ya techno ni 2100mAh huku samsung 2600mAh kwa nini techno aweke battery kubwa huku ana processor core mbili? Zote simu nzuri tu ingawa S4 yuko juu sawa.
Yapo makampuni yanatengeneza simu quality sawa na samsung sema tu hayasikiki, kuna kampuni pia zipo huku nje ambapo wanatengeneza simu haziwi exported ila quality sawa but cheaper.. Sometimes brand name nayo hutumika vitu vinakua bei juu...
Haya bna kama wewe wamaanisha hivo... Japo wapo raia wengine wakiongea mchina wanamaanisha kweli toka chinakiswahili- lugha
mswahili anaweza kuwa mtu anaeongea kiswahili au asie na ahadi ya kweli au hata mtu anaeishi pwani.
mtu akisema mchina anaweza maanisha bidhaa/mtu kutoka china au kitu kisicho na quality.
sometime kuna bidhaa hata hazitoki china maybe zinatoka india au hata singapore ila sababu ya urahisi wake na low quality basi itaitwa tu mchina.
ni matamshi tu ya kilugha kaka