Hii ni kutokana na wabongo kuwa na maneno mengi tuu, mtu anaiponda CPU kisa ni mediatek, This is fool! hao wanaonyesha kufahamu sana mambo ya Chipset wenyewe wanasoma kutoka kwenye forums za wengine , yaani hakuna alienda inDeep kuhusu chipset na MCU systems. Kiufupi ni kwamba sio kila mediatek ni mbaya, ndio maana zipo model tofauti, sio kila ARM ni bora zipo ARM cpu hadi za kwnye EFD machines, cha pili ni kwamba sio kila version mpya ya CPU ipo faster au bora kuliko toleo la zamani. Hizo simu zingine zina cpu zenye umaarufu lakini wanakunyima vitu vingine vya muhimu kama vile RAM, Dual Camera, Dual sim etc.
tukubaliane kwamba kila simu ina ubora wake na mapungufu yake. na kila mtu anahitaji simu kutokana na matumizi yake..
wapo watu wengi waliosoma IT na CS ambao kwenye kuongea wapo vizuri kinoma lakini sasa mlete kwenye application... ni majanga!! kwa wewe unayeomba ushauri kuhusu simu ipi ni bora chukua ushauri wa JF then ongezea na akili yako, tafuta mtu wa karibu mwenye simu husika na akupe Real life experience na ufanye maamuzi sahihi.
Ni hayo tuu