Mkuu wewe nunua tu simu yeyote ile kulingana na mahitaji yako,siku hizi bongo hakuna simu kali simu ikitoka leo USA baada ya wiki bongo zimeshafika.!Mkuu ni Simu gani yenye uwezo mzuli pia inatunza chager.. na inaubola mzuli mimi npo muscat Oman.. Mwakan Nataka nije Tanzania ila nataka kuja na Simu Kali Sijajua ninunue.. simu gani itakayo nifaa
dolevaby
Ni nzuri sana kwa matumizi hayo mkuu,na inajitahidi sana kukaa na chaji..
Ila ni ukweli mkuu tecno kwenye chaji wamejitahidi sana.
Asante Mkuu hapo kwenye kukaa na charge watakuwa wamenipata kirahisi kabisa manake kucharge CM kila mara ni Mateso ingawa Smartfone ndo ugonjwa wake..!
Utanunua tecno yenye kitkat. Na hii ndio biashara kwani samsung zote zinafaa ku upgrade hadi kitkat? Siku hizi hakuna kufunga ndoa na simu wala computer
u are lacking sense of economy chief-mkwawa amefafanua, ishu sio kufunga ndoa na simu ila ni kuwa na kifaa ambacho kitadumu software na hardware, watu wenye pc ambazo mwisho wake ni windows xp wanalazimika ku upgrade machine zao maana xp haiwisupported any longer,
labda kama wewe ni milionea wa kubadili simu kila mpya inapotoka, chifu katoa mfano wa s3 ambayo inaweza kuwa upgraded to kitkat kwann ununue simu ya kitkat wakati yako inaweza upgraded, nadhani unanipata hapo, yani utanunua tecno tano ambazo haziwi upgraded wakati unaweza kuwa na s3 moja na ikawa upgraded
Na aliyekuwa na galaxy ace gt5830 kwa mfano????? Msikomalie hizo S2 s3 na Note ... na kama ni ishu ya economic basi samsung na htc zina bei karibu mara 2 au 3 ya tecno...
bado ishu ya economy ipo palepale, kuna smartphone low end, medium na high end, unaponunua low end ni kama galaxy y etc,Na aliyekuwa na galaxy ace gt5830 kwa mfano????? Msikomalie hizo S2 s3 na Note ... na kama ni ishu ya economic basi samsung na htc zina bei karibu mara 2 au 3 ya tecno...
Mh!! huu sasa ni uongo 3.2 kwa 8mp ?? Mi hiyo phantom A+ nimetumia jamani tujitahidi kuwa wakweli, katika vitu wamejitahidi Tecno kwenye A+ basi ni kamera hebu piga picha na A+ piga na Htc one S Kisha piga picha na Sony xperia Lt 26i tuwekee hapa nakurushia 10,000?= kwenye Mpesa kama picha ya A+ itaonekana mbaya !! Izo simu zote tatu nimetumia acheni ushabiki wa kishamaba !!
Tecno wamesubiri samsung a release s5 wa copy na kupaste
Mh!! huu sasa ni uongo 3.2 kwa 8mp ?? Mi hiyo phantom A+ nimetumia jamani tujitahidi kuwa wakweli, katika vitu wamejitahidi Tecno kwenye A+ basi ni kamera hebu piga picha na A+ piga na Htc one S Kisha piga picha na Sony xperia Lt 26i tuwekee hapa nakurushia 10,000?= kwenye Mpesa kama picha ya A+ itaonekana mbaya !! Izo simu zote tatu nimetumia acheni ushabiki wa kishamaba !!
Htc hawana sifa ya camera kivipi mbona Htc one wana camera nzuri tu, Htc one s ndo walichemka kwenye camera, lakini si kweli kwamba Htc zote zina camera mbovu, mi nakataa !!
Mi nimecompare na phantom A+ achana na huo uchafu P3 !!