Tecno mobile Mega Thread

Tecno mobile Mega Thread

kwan s3 siku hizi si around laki 4 tu ikizidi ndio hio laki 5 phantom bei si ndo hizo hizo

kuna motorola moto g ni 350,000 hadi 400,000 tz na inauhakika kupata update zinazokuja

what about moto e ambayo itakuwa around 200,000 hadi 300,000 nayo pia inapata updates

kuna xperia hizi m na l zote zinapata updates chini ya laki 4 zinapatikana

tatizo lako kaka unapenda sana tecno sio mbaya ila sometime angalia ukweli

ni vizuri sana kwa hizo ulizotaja coz specs zao ni worse incl. RAM, Front cam,Storage... ubora unaoongelewa hapo bado ni aina ya processor... lakini bado kutaishia na malalamiko ya slowness na low memory...

Kwa tecno ya 350000 utapata 1GB RAM, Dual cam, Dual sim, dual core na screen ya zaidi ya 4"
 
naanza kupata wasiwasi hata hizo simu huzijui. ngoja nkupe mwanga kuhusu motorola moto g.

hii simu ina quadcore processor 1.2ghz snapdragon 400 na ram 1gb na kioo 4.5inch na option ya internal 8gb au 16gb au 16gb na memory card.

kioo chake ni 4.5 inch ni cha hd kinaleta zaidi ya ppi 320 hakuna simu ya tecno yenye ppi kubwa kuliko moto g, inakuja na kitkat na inauhakika wa kupata updates za mbele hio ni promise ya motorola, ina front cam 1.3mp ambayo ni nzuri tu.

well pia ina version ya dual sim ukitaka.

ntajie simu moja tu ya tecno ambayo ina rival moto g
 
Kimyaaaaaaaaa
 
Tecno-Phantom-Z.jpg

[TABLE="width: 603"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]General Information[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]2G Network[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]GSM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3G Network[/TD]
[TD]HSPDA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]4G Network[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SIM[/TD]
[TD]Dual mini SIM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Status[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Unannounced[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Body[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Dimensions[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]-[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Keyboard[/TD]
[TD]Touchscreen[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Colors[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]White, Black[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cover[/TD]
[TD]Plastic[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"][/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"][h=3]Display[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Type[/TD]
[TD]IPS capacitive touchscreen with 16,000,000 colors[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Size[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]6.0 inches, 720 x 1280 pixels, 220 pixels per inch (PPI)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Memory And OS[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Card slot[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]MicroSD, up to 64GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Internal[/TD]
[TD]16GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]OS[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Android 4.4.2 KitKat[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Processors[/TD]
[TD]Octa-core CPU, MediaTek Chipset[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]RAM[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]2GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Audio[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Alert types[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Vibration, MP3 ringtones[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Loudspeaker[/TD]
[TD]Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Audio port[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]3.5mm jack[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Connectivity[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]2G[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]GPRS – up to 85.6 kbps; EDGE – up to 236.8 kbps[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3G[/TD]
[TD]Up to 22.2 mbs downlink; Up to 5.76 mbs uplink[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]4G[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]WIFI[/TD]
[TD]Wi-Fi 802.11 b/g/n, WIFI hotspot, Wi-Fi direct[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Bluetooth[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]GPS[/TD]
[TD]A-GPS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]NFC[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]USB[/TD]
[TD]MicroUSB v2.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"][/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"][h=3]Camera[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Primary[/TD]
[TD]16MP, up to 4608×34456-pixel pictures camera with LED flash[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Video[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Secondary[/TD]
[TD]8MP, up to 2448×3264-pixel pictures[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"][/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"][h=3]Battery[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Capacity[/TD]
[TD]4000mAh Li-Ion battery[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Stand-by[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]N/a[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Talk time[/TD]
[TD]N/a[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Music play[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]N/a[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Other Features[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Sensors[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Accelerometer, Proximity[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Messaging[/TD]
[TD]SMS, MMS, Email, Push Mail, IM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]Browser[/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]HTML5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Java[/TD]
[TD]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"][/TD]
[TD="bgcolor: #E5ECF9"]- SNS integration
- MP4/MPEG4/H.263/H.264 player
- MP3/WAV/eAAC+/AC3/FLAC player
- Document viewer
- FM radio
- Image viewer and editor
- Voice memo/dial/command
- Predictive text input[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kuna Simu inaitwa OnePlusOne, ni balaa cheapeast android na ina uwezo zaidi ya galaxy S5 na htc M8
 
Kuna Simu inaitwa OnePlusOne, ni balaa cheapeast android na ina uwezo zaidi ya galaxy S5 na htc M8

chipset sawa na s5 na m8 ila haina uwezo zaidi yao sababu sio water proof, camera haitakuwa nzuri mambo ya service support na warranty bado yatasumbua bila kusahau build quality ndogo, though wamejitahidi
 
specification za kihuni
1. haijaandikwa ni chip gani imetumika wamendika tu octacore
2.imeandikwa tu hsdpa je ni band gani?
3.resolution ya 4608x34456 haiexist duniani na camera ya 16mp haiwezi kuwa na resolution kubwa hivyo even nokia 808 yenye 41mp haina resolution kubwa kama hio.
4.simu yenye kioo inch 6 na resolution ya hd kama hio inaleta ppi 245 sio 220 so either ppi imekosewa au haina hd au kioo chake ni kikubwa kuliko 6inch

kama specs zimekosewa hivyo why hizo zilizobakia niziamini?
 
specification za kihuni
1. haijaandikwa ni chip gani imetumika wamendika tu octacore

Wameandika tu Mediatek Chipset hawajaandika ni MT ngapi

2.imeandikwa tu hsdpa je ni band gani?

3.resolution ya 4608x34456 haiexist duniani na camera ya 16mp haiwezi kuwa na resolution kubwa hivyo even nokia 808 yenye 41mp haina resolution kubwa kama hio.

Daa hii resolution ata astronomers sizani kama wanayo ! Kwenye ma darubini na macamera yao !

Na Picha kama hiyo ukiifungua tu kwenye PC nadhani itazima ! Tu

4.simu yenye kioo inch 6 na resolution ya hd kama hio inaleta ppi 245 sio 220 so either ppi imekosewa au haina hd au kioo chake ni kikubwa kuliko 6inch

kama specs zimekosewa hivyo why hizo zilizobakia niziamini?

Tecno Watafute watu wenye akili timamu wawe wana waandikia specifications zao !

Ila kwa staili hii ! Wana safari ndefu !
 
dats the reality hakuna kuuliza, bora mtu ujichange ununue brand inayojulikana world wide. simu hata GsmArena Haipo

Hivi maana ya ku copy na kupest ni nini ?
Labda tuanzie hapo !

Na mpaka Tecno amcopy samsung !
Kwa uwezo mdogo alionao atapata wapi snapdragon zile ?

Kama simu za mediatek anawauzia kwa bei hiyo je akijakueka snapdragon atawauziaje ?

Ku copy na kupaste ni kuchukua kitu kama kilivyo !
 
specification za kihuni
1. haijaandikwa ni chip gani imetumika wamendika tu octacore
2.imeandikwa tu hsdpa je ni band gani?
3.resolution ya 4608x34456 haiexist duniani na camera ya 16mp haiwezi kuwa na resolution kubwa hivyo even nokia 808 yenye 41mp haina resolution kubwa kama hio.
4.simu yenye kioo inch 6 na resolution ya hd kama hio inaleta ppi 245 sio 220 so either ppi imekosewa au haina hd au kioo chake ni kikubwa kuliko 6inch

kama specs zimekosewa hivyo why hizo zilizobakia niziamini?

Dah ni balaa sana hii,
 
Hivi maana ya ku copy na kupest ni nini ?
Labda tuanzie hapo !

Na mpaka Tecno amcopy samsung !
Kwa uwezo mdogo alionao atapata wapi snapdragon zile ?

Kama simu za mediatek anawauzia kwa bei hiyo je akijakueka snapdragon atawauziaje ?

Ku copy na kupaste ni kuchukua kitu kama kilivyo !

Umeona Tecno watu wengi hawalijui hili wanakimbilia ukubwa wa Simu.
 
chipset sawa na s5 na m8 ila haina uwezo zaidi yao sababu sio water proof, camera haitakuwa nzuri mambo ya service support na warranty bado yatasumbua bila kusahau build quality ndogo, though wamejitahidi

yup! ila kwa bei ya $ 299 siyo mbaya
 
kuna ka myth flani kanajijenga kua the greater the number of cores basi hiyo processor inakua fasta kuliko yenye cores chache... napenda kusema si kweli, softwares nyingi hasa za simu zinatumia only a single core, sawa kampuni chache zimeanza kujaribu parallel computing kutengeneza software moja inayoaccess multiple cores kwa wakati moja, advantage pekee ya multiple cores ni uwezo wa kurun program nyingi huku kila program ikiwa inarun kwa core yake... So tunakuja kwenye speed, clocking speed ni jambo la muhimu maana katika kila specific software, kama ni core moja inatumika hiyo core inahitaji iwe na clocking speed kubwa ili kurun software hiyo kwa speed kubwa... kuna vitu vingine kama L2 cache na bus speed, hivi watu hua hawaviangalii na ndio maana mchina analeta simu cheap ila ziko slow lakini kakuandikia clocking speed kubwa na number of cores ila huku kwingine kavuruga....
 
Mediatek Chipset are They really Serious!

Yes they're serious !

They can't afford other chipsets !
Thats why they always pick mediatek !

And their divices price are bit irrevant with chipset used !
 
Back
Top Bottom