Tecno mobile Mega Thread

Tecno mobile Mega Thread

Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa

Samsung agalaxy Acsend
EBWANA NOMA..
 
Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa

Mimi naomba msaada wa kuondoa starterup tone muda wa kuwasha na kuzima,jamaa yangu anatumia tecno P5 msaada wenu inapiga sana kelele.
 
waungwana nataka ninunue smartphone ya TECNO ila cjui ipi nzuri nina sh200000

Nimewahi tumia tecno ikawa ni big disappointment. Kuza mtaji bro ukatafute Samsung ya kueleweka. Don't be a caveman.
 
Mimi naomba msaada wa kuondoa starterup tone muda wa kuwasha na kuzima,jamaa yangu anatumia tecno P5 msaada wenu inapiga sana kelele.

Hii ni rahisi, unapotaka kuzima simu yako kwa kutumia button yako ya siku.kuna msg inatokea yenye heading POWER CONTROL, kuna option kama nne hapo.
power OFF, mute, vibration na loud.
we bofya mute.itazima kwa mute na kuwaka mute, baadae utairudisha kwenye normal.
goodevening!!!!
 
waungwana nataka ninunue smartphone ya TECNO ila cjui ipi nzuri nina sh200000
nunua tecno M5. hiyo ni mwisho wa matatizo. ipo powa sana. maduka mengi wanauza 260 lakini naweza kukufanyia mpango ukaipata kwa 210 kwa washkaji wauzaji wa jumla. ukiwa tayari ni PM
 
P5 ndio yenyewe kwa kiasi ulichonacho, na wala hutojutia pesa yako.

ukitaka kununua simu yenye jina kubwa ukanunua samsung au HTC utanunua simu ya ajabu mtu wangu. utajikuta umenunua jina badala ya simu.

Ni ushauri tuu,, mimi ninatumia Tecno L3 nimeifurahia, na kuna watu wanatumia galaxy ace wanaitamani sana tecno yangu, kuhusu memory, camera mbili, 3G na 2G, double line, na battery iko juu sana
 
Haya chemka nikuuzie Samsung galaxy s3 kwa 250000, iko poa kabisa
 
Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa
Wewe kama unachuki na tecno labda, lakini tecno zipo vizuri kuliko unavo dhani aisee.
 
nunua tecno M5. hiyo ni mwisho wa matatizo. ipo powa sana. maduka mengi wanauza 260 lakini naweza kukufanyia mpango ukaipata kwa 210 kwa washkaji wauzaji wa jumla. ukiwa tayari ni PM

poa mkuu
 
Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa

poa mkuu
 
wakuu nikiwa naangalia kombe la dunia. Kipindi cha na mapumziko nimeona tangazo la toleo jipya la tecno ambayo ni tecno phantom Z.
na kwa haraka baada ya kuigoogle nimepata taarifa hizi...
octa core
processor and 16mp
camera..

mwenye taarifa zaidi atufamishe ubora na ulegevu wa hii simu.
Ahsanta.
cc snipa chief-mkwawa C6 na wengineo wenye ufahamu.
 
Last edited by a moderator:

R7 yenyewe nimeishuhudia live ni 6 core, yaani noma sana. hiyo phantom Zbado sijaiona
 
Back
Top Bottom