Tecno k7 spark ni mbaya

Njooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
samsung inategemea ukipata ya kichina byproduct nayo hovyo tuuu
 
Kila mtu na mtazamo wake plus utundu wake ktk kutumia simu, binafsi napenda sana tecno products had sasa natumia tecno w4 mwaka wa 3 sasa sijawah sumbuliwa hata kidogo, by the way hakuna company inatoa simu zinauwezo wa kutunza chaj kama tecno..
 
Njooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
Samsung ikianza kuchoka inabidi utembee na chaja kila unapoenda,kwa siku unaichaji hata mara tatu
 
wadau hizi Tecno k7 sehemu ya kuweka silence kwenye sauti iko sehemu gani!
 
Hizo simu hazina ubaya huo mnaoutangaza, sema tu ni kuwa u mshamba wa simu na changamoto ndogo kama virus zinakupiga chenga. Kwa urahisi tu ifanyie factory reset hio simu kisha weka kaspersky antivirus ili isijirudie hio shida.

Tafadhali naomba umuelekeze namna ya kufanya hiyo factory reset ili na yeye asipate shida na simu yake
 
Back
Top Bottom