Technically, Askofu Gwajima kashaondolewa CCM

Technically, Askofu Gwajima kashaondolewa CCM

Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
Kuna mwajiriwa ana two options
1. Kwenda kufanya kazi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya kitengo cha manunuzi
2. Kwenda kufanya kazi wizarani katika kitengo hicho hicho cha manunuzi.
Kwa uzoefu wako ungemshauri achague kwenda wapi kwenye manufaa zaidi ?
 
Muda wa sadaka na mafungu ya kumi kumiminika kanisani kwa mjoli wa Bwana ni sasa!!!

Hiyo itakua zaidi ya mshahara wa ubunge!!

Waliomtuma ni wazito,lazima wamemhakikishia maslahi kabla ya hiyo press!!
Kwamba mtu kuwatetea wananchi wanaokandamizwa lazima awe ametumwa!? Kwa akili kama hizi sishangai kuiona Tz ikiendelea kuwa nchi ya ovyo.
 
Gwajima ni next level ccm ni ziro brain atawavua nguo subirini
Gwajima yuko vizuri kiakili, na anayo maarifa mengi makubwa ya rohoni. Ukishajua kuwa Mungu ni moto ulao, inakaa vizuri.

vita iliyoko ni katika ulimwengu wa roho: ya ulimwengu wa giza vs ulimwengu wa Nuru. majini vs Malaika wa Bwana. mshindi hapo Yuko wazi. sio?
 
Kwamba mtu kuwatetea wananchi wanaokandamizwa lazima awe ametumwa!? Kwa akili kama hizi sishangai kuiona Tz ikiendelea kuwa nchi ya ovyo.
waTanganyika wamerogwa! ni misukule flani. mtumishi wa Mungu Josephat Gwajima amekuja kuwafufua!
 
Huku..... Gwagmanize....kule ..NRNE,
Tutafika tukiwa hoi sana
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
 
Back
Top Bottom