Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,351
- 3,879
Safari yake ya kisiasa imekwisha akamalizie maisha yake kanisani kwake haya mambo anayoyatafuta ndani nchi hii yatammaliza sijui kama anaelewa maana ya ile rangi nyeusi kati kati ya bendera ya Tanzania.Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza