SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
- Thread starter
- #61
Pole Dr Jasusi
Kajizima data. Anatest mitamboHuenda hata maandishi aliyoandika yasisomwe, hiyo fumu itapigwa chini kiaina. Nani kamshauri kuchukuwa fomu?
Nataman mtu atupe thread siku moja, ni kwa nn JPM alisema vile kwa hisia, msisitizo na kuomba kifanyike juu chini Gwajiboy awepo BungeniNileteeni Gwajima 😂😂
🤔Watu wengi hamjui siasa za Bongo kumbe. Ukweli ni kwamba alishajua kuwa hateuliwi tena ndiyo maana kafanya hiyo press. Hata hivyo amesema ukweli.
Mimi sita shangaa,kawaida wachawi lazima wajirunde pamoja.Hivyo hata huyo amekuwa anatarajia hilo na kwake hajaona kama ni miongoni mwa miujiza japo sehemu kidogo ya ile afanyayo ama awafanyiayo!Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza