TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!


HUWA NIKIONA POST ZAKO NAKEREKA KWANI ULIKUWA HUJUI HLO AU?CCM WOTE HAWAFAI HATA HUYO KONGORO NYERERE PIA NI WALAWALE SBB ATAINGZWA NA SYTEM ILEILE YAKINA MAFISADI KWA MASLAHI YAO.mda umefikga wa mabidiliko vote 4 ukawa kwa maslahi mapana ya nchi yetu ya neema na utajiri wa kila aina.
 
Sidhani kama nyerere angekuwa hai angekubali mtoto wake agombee uraisi sidhani.
 



Hamna zaidi ya Lowassa
 

Wananchi tulipotaka kumaliza haya matatizo kwa kutumia katiba tuliweka maoni yetu ili iwe mwongozo mzuri,lakini sikuona Makongoro wa nani aliyetutetea zaidi yakutukandamiza isipokuwa Warioba na Butiku.Hao wawili tu ndio niliowasikia kati ya wana Ccm wote,ndio mana nasema tena ili tuwe salama tunapaswa tuiondoe Ccm kwanza alafu tutengeneze Katiba mpya alafu kama hiyo Ccm itakuja kuludi ije huku tukiwa na msingi mpya
 
Bora wamuweke hata huyo kuliko Lowasa, atakikost chama....Jina la Nyerere ndo karata ya CCM kuwarubuni wa TZ ili kuchukua nchi tena...tunawapa UKAWA.
 
Hata akiwa rais hana ubavu wa kupambana na mafisadi ndani ya chama watampelekesha tu na sidhani ana karama kama za baba yake. Ila kwa waheshimiwa kumpitisha wana lao jambo wao watakuwa salama salmini lakini sisi walalahoi tutazidi kuangamia kwa kukosa maarifa.
 
Kamati Kuu (CC) ya CCM itakuwa imewatukana watanzania wote matusi ya nguoni kama jina la Lowassa litakuwemo katika yale yanayoenda NEC.

Ajenda ya kwanza ya CC iwe kuondoa jina la Lowassa ndipo mchakato unendelee.
 

Hiyo ni kwa mujibu wao, je, na wewe kwa mtazamo wako binafsi unakubali kwamba CCM imejaa nyufa?
 
Niwaambie kitu .. Sizungumzi kwa unafiki. Nilipomuona Makongoro asubuhi hii kwenye Clouds TV. nimebubujikwa na machozi....nasema kwa dhati.

AISE UNA MATATIZO C BURE.KWELI TZ YETU IMEKUWA SHAMBA LA BIBI ATARITHI HADI MJUKUU....HAYA SASA MAKORONGO NYERERE BDYE HUSENI MWINYI THEN RITZ KIKWETE THEN MTOTO WA MAKONGORO THEN MJUKUU WA RIZ1 aise hatari sna tutabaki kwenye cycle ile ile na mawazo yale yale bila mabadiliko sbb yakufanya kz kimazoea bila kutegemea ufanisi
 
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.

Mkuu kampeni strategy huwa zina change kutokana na mgombea .................. lets wait and see. Time will tell!! To me Makongoro anaweza kuwa rahisi sana kudeal naye kuliko mtu kama Magufuli au Membe!!
 
kwa hiyo unatuambia kuwa lowassa alikuwa anaiwakilisha ukawa huko ccm?mbona hueleweki?ukawa inapambana na ccm,na si makongoro au lowasa,labda umechanganya ukawa na gamba mwenzio laki si pesa huyo ndiye aliyekuwa akimtukuza huyo fisadi wenu.

afadhali wewe unaakili kidogo ya kuona mbaliii
 
Mkuu kampeni strategy huwa zina change kutokana na mgombea .................. lets wait and see. Time will tell!! To me Makongoro anaweza kuwa rahisi sana kudeal naye kuliko mtu kama Magufuli au Membe!!

Utadeal vipi na mtu ambae hajawahi kuwa serikalini.
 
Ndugu vipi kama chama tawala haina uchu wa madaraka basi iachie ukawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…