Team Lowassa walikuwa disorganised!

Team Lowassa walikuwa disorganised!

intelligence yao ilikuwa ina deal na team membe, mwandosya na makongokoro wakasahau kila mtu alie chukuwa form ni threat kwao wakazidiwa ujanja na intelligence ya jk iliweza kudukua taarifa kutoka kwao lakini wao wakashindwa kudukua taarifa kwa intelligence ya jk mwisho wa mchezo makombola ya s-300 ya jk intelligence yakaidungua ndege yao na kwa vile walikuwa awana plan B bt jk intelligence walikuwa na mpaka plan D plan A ilikuwa membe plan B ilikuwa magufuli plan c ilikuwa January na plan D ilikuwa migilo bt plan B imeshinda
 
Hahaaaaaaaaaa...is it real??
Hv kama wasomi wanaamini uchawi..vp kwa wasiosoma kabisa?

January ukoo wao wote hadi Mzee wao wao hiyo imani haibanduki kwao ni Kama Membe pale wizara yake wote wanajua kuwa imani yake ni mganga kwanza kisha mengine baadae .
 
Uteuzi wa magofuli sio kwamba ndivyo ilipangwaHaikuwa hivyo hata kidogooo kamati kuu ilikuja na majina matano lknHuku alimashauri kuuIkimtakaa lowasa.Na lengo la kamati kuu ni kwamba membeapewee nafasi hiyoLknHuku alimashauri hawamtaki membeNdipo wajumbe wakataka majina yote 38 yawekwe mezani na alafu lipigiwe kura moja baada ya jingineeeNdipo meza kuu ikasema haiwezekaniNa halmashauri kuu ikasema na hayo majina hawayatakiWakasema hawajatenda hakiWakaenda mbali zaidi Wakasema hata waziri mkuu tano bora hayumoo. Hata makamu nae hayumooHilo likawa tatizoKuongeza majina pakawa na mvutanoPakawa na mjadala mnooMkuu akamtakaa sana membee pamoja na wale wazee wakeWajumbe hawatakiiUkumbi ukalipukaa atokeeeAtokeee atokeeeeeeBasi akatokaa kwa shinikizooMajina yakabaki manneSasa ikijaaa sifa ya kila mmoja ndipo shughuli ikawa hivyooLknKwenye nyuso zao zinatabasamuLkn moyoni hawaamini kama ndivyo ilivyooo huku wakicheki na nguvu ya upande wa piliAnyway siasa ni maajabuuSasaKuna mpyaa itakujaa soonTusubir
Andika vixuri basi kwa kituo ili tukuelewe. Umeandika kwa haraka mno!
 
January ukoo wao wote hadi Mzee wao wao hiyo imani haibanduki kwao ni Kama Membe pale wizara yake wote wanajua kuwa imani yake ni mganga kwanza kisha mengine baadae .

alafu mtu kama huyo ndio akija kanisani msikitibu kwenye harambee au ibada wanampa siti ya mbele na wanamruhusu panda madhabahuni...
 
Katika hali ya kawaida Wale akina Sophia Simba,Nchimbi, Kimbisa mimi hata sikuwaelewa:
1.Kwanini walikimbilia kwa waandishi wa habari wakati wanamsemaji wa chama?
2.Kwanini hawakupambana huko huko ndani ya kikao?
3.Inamaana waliingia kikaoni wakiwa na mgombea wao?
4.Kimaadili suala lile ikoje?
5.Ina maana wale vijana waliokuwa wakifanya vurugu pale nje walikuwa ni sehemu yao?
 
intelligence yao ilikuwa ina deal na team membe, mwandosya na makongokoro wakasahau kila mtu alie chukuwa form ni threat kwao wakazidiwa ujanja na intelligence ya jk iliweza kudukua taarifa kutoka kwao lakini wao wakashindwa kudukua taarifa kwa intelligence ya jk mwisho wa mchezo makombola ya s-300 ya jk intelligence yakaidungua ndege yao na kwa vile walikuwa awana plan B bt jk intelligence walikuwa na mpaka plan D plan A ilikuwa membe plan B ilikuwa magufuli plan c ilikuwa January na plan D ilikuwa migilo bt plan B imeshinda
Ni kweli kabsa unachosema lakini ujue huo mvutano huo ulichochewa sana na fitna za Membe.
 
Jamani tuache maneno na kejeli, Team Lowassa wameshindwa, tena wameshindwa vibaya. Walijipanga vizuri sana kuliko kambi yoyote ile ya wagombea CCM, Lakini kila mtu ameona nini kilichotokea, haikuwa siasa iliyowafanya washindwe, bali Zengwe Zitto, Goli la Mkono.

Mipango yote ya Team Lowassa inategemea sana mwelekeo wa Lowassa mwenyewe, kama mwenyewe yuko kimya, msitegemee kuna mtu yoyote wa Kambi yake atakuja na issue yoyote ya maana.

Mahali popote Team ikishindwa hali inakuwa kama Msiba, mambo yote yanavurugika kabisa. Jambo kama hili lilimpata pia Kikwete 1995.
Busara pekee ni kukaa kimya na kumalizia issue kimya kimya.

Litakuwa ni jambo la ajabu kabisa kama Team Lowassa hawakuwa na Plan B, hata mimi nitashangaa sana. Sometimes kukubali kushindwa nako kunaweza kuwa ni Plan.

Kushindwa kubaya sana. Poleni Team Fisadi Lowassa, hiyo ndio CCM na CCM ina wenyewe!!
Hivi magazeti ya Rostam yatabeba ajenda gani sasa baada ya mtu wo kutolewa?
 
Team lowassa waliongozwa na matumaini na walidanganywa na miluzi ya washangiliaji wakaamini wanapata ridhaa ya CCM lakini wenzao waliangalia potential hazards za kupoteza kwa wapinzani kutokana na ukubwa wa tuhuma ambazo kama chama wasingeweza kusieleza kwa umma.

Kibaya tu kwamba hawakujiandaa kushindwa
 
alafu mtu kama huyo ndio akija kanisani msikitibu kwenye harambee au ibada wanampa siti ya mbele na wanamruhusu panda madhabahuni...

Ndiyo ujue kuwa wengi wa viongozi wetu ni wa Aina gani?
 
Niko ninajiuliza kwamba, hii team kwa muda mrefu imekuwa inatoa misaada misikitini na makanisani kabla ya uteuzi. Je sasa baada ya uteuzi timu hii itaendelea na utoaji misaada misikitini na makanisani ili kuwe na mwendelezo ili watu wasije sema kwamba ile misaada ilikuwa ya kutafuta urais tu.
 
Kiufupi jogoo alishindwa kuwika badala yake aliwika bata.Aahh!!aahh!!ahhh!!!
 
Lowasa hajatumia pesa zake toka mfukoni pesa nyingi alichangiwa na marafiki isitoshe Lowasa ni tajiri ana Mali nyingi hawezi kuchoka ataishi maisha ya kushiba bila njaa Kama Raila Odinga , wafuasi wa Lowasa wengi sasa wamehamia kwa magufuli kwani Adui wa Lowasa alikuwa Membe na sasa Membe kakatwa wameamua kumuunga mkono magufuli hawaendi kokote.

Usiseme uongo kura zenu mlimpa Samoa Ally
 
Niko ninajieuliza kwamba, kwa kuwa hii team kwa muda mrefu imekuwa inatoa misaada misikitini na makanisani kabla ya uteuzi; je sasa baada ya uteuzi timu hii itaendelea na utoaji misaada misikitini na makanisani ili kuwe na mwendelezo ili watu wasije sema kwamba ile misaada ilikuwa ya kutafuta urais tu.

Na alikopita aliwapa boda boda pesa eti wanakuja kumpokea sasa najiuliza akiwa anaenda tena sahivi watampokea tena kwasababu wanampenda?
 
Hii hoja ya kwamba kukatwa kwa Membe imewapooza mashabiki wa Lowasa ni hoja hafifu sana, Malengo yalikuwa EL agombee uraisi kupitia CCM hivyo kimkakati Membe hakuwa threat kabisa, kifupi ni umafia tu umetendeka kukata jina lake tokea kamati ya usalama na Maadili....
Kwa umri wa Lowasa hana cha kupoteza endapo atajitoa ndani ya CCM na kwenda kupitishwa na chama kingine kuwa mgombea uraisi kutimiza ndoto yake hiyo.... Ukweli ni kuwa kokote atakapoenda kwa upepo ulivyo sasa EL atakuwa ni zaidi ya threat kwa CCM.
kwa historia ya ukanda wetu huu wa Africa mashariki vyama tawala vilivyowapa Uhuru nchi nyingi vilianguka pale tu ambapo mtu aliyekubalika ndani kukatwa na kuamua kwenda kujiunga na vyama pinzani e.g Kenya & Zambia
Hivyo kwa kufuata historia hiyo EL bado ana fursa kubwa sana ya kufanya maajabu kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu akiwa njee ya CCM.

Regards
Cosmas
Mchambuzi Huru.
 
Hawa team ya Lowasa watakiwa wameenda kujitumbikiza baharini kuogopa aibu
 
Timu Lowasa kwa kweli wamefurahia Membe kukatwa kwani Membe alitumia mabilioni ya Gadafi kuajili Timu kubwa ya kumchafua Lowasa na Lengo la Membe ilikuwa akiwa Rais lazima angemkomoa Lowasa kwa kuwafunga jela Timu nzima yote, sasa wapambe wa Lowasa wapo kwa Magufuli baada ya kusherekea kuanguka kwa Membe.

Mkuu,hii failure sio ya mtu mwingine yeyote awaye,ni failure ya LOWASSA...

Msijaribu kupotosha,wengine wote ni insignificant,ni failure ya Lowassa aliejifanya mkubwa kuliko taasisi!!

It is more of a Lowassa failure than anybody else!
 
Ni wazi hii ndio team pekee iliyokuwa na rasilimali fedha na watu lakini ilikosa uongozi au weledi.Hilo linaonekana mpaka sasa kwa kuwa baada ya kukatwa team hii imepagawa na kuchanganyiwa kabisa.1-Kuna kundi limechana kadi za ccm.2-Kuna kundi limetangulia ACT3-Kuna kundi limebaki kimya ndani ya ccm4-Kuna kundi limemsapoti magufuli5-Kuna kundi linatishia kwenda CDM6-Kuna kundi halijulikani linafanya nini Bashe yuko kimyaa!Kingunge yuko kimyaa!Nchimbi,Simba na Kimbisa hatukusikia kama waliwasilisha ile rufaa yao au la.Yale mabasi ya Team lowassa hayajulikani yalipo yaani ni full chaos.Hii ni ishara tosha ya kutokujipanga kwa Team hii.kwa upande wa Team membe bado ni watulivu
Kingunge ndie alikuwa kansa ktk safari ya matuamini.
 
Niko ninajiuliza kwamba, hii team kwa muda mrefu imekuwa inatoa misaada misikitini na makanisani kabla ya uteuzi. Je sasa baada ya uteuzi timu hii itaendelea na utoaji misaada misikitini na makanisani ili kuwe na mwendelezo ili watu wasije sema kwamba ile misaada ilikuwa ya kutafuta urais tu.


Thubutu!

mumkome!
 
ha ha ha ha, mungu anaangalia mwisho na sio mwanzo. Kwisheny, Lowasa hakuwa na ma strategist bali aliwa confuse washikaji na watekaji. Hiyo safi sana International school ya Wakina Lau, kinje Joseph kusaga karudi toka Dubai akijua ushindi ni wao, ephramim kibonde, Bashe, Kingunge, nchimbi sofia simba ndio vichwa cha Mamvi, pole sana hata, ile nyomi ya mafisadi Arusha ndio aliona imemtoa, pale pale wakali tulichua kachemsha, kweli sayansi haina siasa, kila tulichoon kimetokea hakuhitaji expatriate kujua kama hamnazo, kweli akili ni nywele
 
Back
Top Bottom