Team Lowassa walikuwa disorganised!

Team Lowassa walikuwa disorganised!

Lowasa yupo imara Kama Raila Odinga alijua mapema kuwa kuna kukosa ama kupata hawezi kuishi maisha ya shida alishajipanga vizuri siku nyingi Timu yake sasa wapo wamehamia Kwa magufuli maisha yaendelee.

Odinga ni kama ana laana amejaribu sana bila mafanikio
 
Hii team imeshawavuruga bavicha
 
unaonekana km una uelewa flan hivi ila sasa ni kuwa tren imekaa mahali yake km unabisha simama kwa mbele uone km kuna sheria itakilinda au utaambiwa umegonga tren . EL NI TREN YA UMEME
 
PIA watu km nyinyi huwa mnaferi sn maishani kwan huwa mna-krem mambo na huwa siku zote huwa hamna hoja za sasa na baadae ila mnaangalia mlijikwaaa wapi . muda si mrefu utapumua wewe
 
Nadhani wadau mtakubaliana na mimi kuwa Team lowassa imewaambukiza chadema hii disorganisation.
 
Ni mapema sana subiri kampeni zianze ndio upime leo haikua kampeni ni warm up tu mechi zinakuja pumzi mwanzo mwisho na itathibitika nani ana afya tete. Nguvu, uwezo, nia na mungu tunaye nani zaidi?
 
Ni mapema sana subiri kampeni zianze ndio upime leo haikua kampeni ni warm up tu mechi zinakuja pumzi mwanzo mwisho na itathibitika nani ana afya tete. Nguvu, uwezo, nia na mungu tunaye nani zaidi?

Muda unayoyoma mkuu...Magufuli anachanja mbuga
 
JJP Magufuri utendaji wako ndo ngao yetu watanzania
 
Ni mapema sana subiri kampeni zianze ndio upime leo haikua kampeni ni warm up tu mechi zinakuja pumzi mwanzo mwisho na itathibitika nani ana afya tete. Nguvu, uwezo, nia na mungu tunaye nani zaidi?
Na hili la Ifakara unalionaje
 
Back
Top Bottom