Team Lowassa walikuwa disorganised!

Team Lowassa walikuwa disorganised!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Ni wazi hii ndio team pekee iliyokuwa na rasilimali fedha na watu lakini ilikosa uongozi au weledi.

Tazama siku ya uzinduzi wa safari ya matumaini ilikuwa ni vurugu tupu.

Hilo linaonekana mpaka sasa kwa kuwa baada ya kukatwa team hii imepagawa na kuchanganyiwa kabisa.

1-Kuna kundi limechana kadi za ccm.

2-Kuna kundi limetangulia ACT

3-Kuna kundi limebaki kimya ndani ya ccm

4-Kuna kundi limemsapoti magufuli

5-Kuna kundi linatishia kwenda CDM

6-Kuna kundi halijulikani linafanya nini

Bashe yuko kimyaa!

Kingunge yuko kimyaa!

Nchimbi,Simba na Kimbisa hatukusikia kama waliwasilisha ile rufaa yao au la.

Yale mabasi ya Team lowassa hayajulikani yalipo yaani ni full chaos.

Hii ni ishara tosha ya kutokujipanga kwa Team hii.

kwa upande wa Team membe bado ni watulivu
 
Ni wazi hii ndio team pekee iliyokuwa na rasilimali fedha na watu lakini ilikosa uongozi au weledi.

Hilo linaonekana mpaka sasa kwa kuwa baada ya kukatwa team hii imepagawa na kuchanganyiwa kabisa.

1-Kuna kundi limechana kadi za ccm.

2-Kuna kundi limetangulia ACT

3-Kuna kundi limebaki kimya ndani ya ccm

4-Kuna kundi limemsapoti magufuli

5-Kuna kundi linatishia kwenda CDM

6-Kuna kundi halijulikani linafanya nini

Bashe yuko kimyaa!

Kingunge yuko kimyaa!

Nchimbi,Simba na Kimbisa hatukusikia kama waliwasilisha ile rufaa yao au la.

Yale mabasi ya Team lowassa hayajulikani yalipo yaani ni full chaos.

Hii ni ishara tosha ya kutokujipanga kwa Team hii.

kwa upande wa Team membe bado ni watulivu
Ameshakatwa.

Move on!
 
Kujipanga isingekuwa rahisi mbele ya pesa. Pesa haijawahi kuwa na formula. Team haikuwa na nia thabiti ya kumpeleka Lowasa Ikulu, sema na Mamvi naye alishindwa kusoma alama za nyakati. Maskini sasa kapoteza vyote: pesa, urais, "marafiki".
 
Mimi nliona toka mwanzo anguko lao mana ni wa2 wapenda sifa hawana mikakati y kimyakimya wao ni fujo tu mwanzo mwisho.....edo angepita lamborgin tz zingekua nyingi kma corrola club 777 kimya kma mayatima.
 
Uliwahi kusikia wapi jeshi lisambaratishwe halafu wapiganaji na majemadari wabakie kuwa sehemu ile ile au kuwa kikundi kimoja? Kila kiumbe hukimbilia po pote kunusuru uhai.

Mbona walikuwa na vitisho sana ukianzia ns babu yao kingunge?
 
Jamani tuache maneno na kejeli, Team Lowassa wameshindwa, tena wameshindwa vibaya. Walijipanga vizuri sana kuliko kambi yoyote ile ya wagombea CCM, Lakini kila mtu ameona nini kilichotokea, haikuwa siasa iliyowafanya washindwe, bali Zengwe Zitto, Goli la Mkono.

Mipango yote ya Team Lowassa inategemea sana mwelekeo wa Lowassa mwenyewe, kama mwenyewe yuko kimya, msitegemee kuna mtu yoyote wa Kambi yake atakuja na issue yoyote ya maana.

Mahali popote Team ikishindwa hali inakuwa kama Msiba, mambo yote yanavurugika kabisa. Jambo kama hili lilimpata pia Kikwete 1995.
Busara pekee ni kukaa kimya na kumalizia issue kimya kimya.

Litakuwa ni jambo la ajabu kabisa kama Team Lowassa hawakuwa na Plan B, hata mimi nitashangaa sana. Sometimes kukubali kushindwa nako kunaweza kuwa ni Plan.

Kushindwa kubaya sana. Poleni Team Fisadi Lowassa, hiyo ndio CCM na CCM ina wenyewe!!
 
Uteuzi wa magofuli sio kwamba ndivyo ilipangwaHaikuwa hivyo hata kidogooo kamati kuu ilikuja na majina matano lknHuku alimashauri kuuIkimtakaa lowasa.Na lengo la kamati kuu ni kwamba membeapewee nafasi hiyoLknHuku alimashauri hawamtaki membeNdipo wajumbe wakataka majina yote 38 yawekwe mezani na alafu lipigiwe kura moja baada ya jingineeeNdipo meza kuu ikasema haiwezekaniNa halmashauri kuu ikasema na hayo majina hawayatakiWakasema hawajatenda hakiWakaenda mbali zaidi Wakasema hata waziri mkuu tano bora hayumoo. Hata makamu nae hayumooHilo likawa tatizoKuongeza majina pakawa na mvutanoPakawa na mjadala mnooMkuu akamtakaa sana membee pamoja na wale wazee wakeWajumbe hawatakiiUkumbi ukalipukaa atokeeeAtokeee atokeeeeeeBasi akatokaa kwa shinikizooMajina yakabaki manneSasa ikijaaa sifa ya kila mmoja ndipo shughuli ikawa hivyooLknKwenye nyuso zao zinatabasamuLkn moyoni hawaamini kama ndivyo ilivyooo huku wakicheki na nguvu ya upande wa piliAnyway siasa ni maajabuuSasaKuna mpyaa itakujaa soonTusubir
 
Jamani tuache maneno na kejeli, Team Lowassa wameshindwa, tena wameshindwa vibaya. Walijipanga vizuri sana kuliko kambi yoyote ile ya wagombea CCM, Lakini kila mtu ameona nini kilichotokea, haikuwa siasa iliyowafanya washindwe, bali Zengwe Zitto, Goli la Mkono.

Mipango yote ya Team Lowassa inategemea sana mwelekeo wa Lowassa mwenyewe, kama mwenyewe yuko kimya, msitegemee kuna mtu yoyote wa Kambi yake atakuja na issue yoyote ya maana.

Mahali popote Team ikishindwa hali inakuwa kama Msiba, mambo yote yanavurugika kabisa. Jambo kama hili lilimpata pia Kikwete 1995.
Busara pekee ni kukaa kimya na kumalizia issue kimya kimya.

Litakuwa ni jambo la ajabu kabisa kama Team Lowassa hawakuwa na Plan B, hata mimi nitashangaa sana. Sometimes kukubali kushindwa nako kunaweza kuwa ni Plan.

Kushindwa kubaya sana. Poleni Team Fisadi Lowassa, hiyo ndio CCM na CCM ina wenyewe!!
nyani haoni kundule
 
Sio peke yao kunawengine walikuwa wamejifungia wakisaka mgombea japo wao ilikuwa ni watu wawili nao pia, wanalo jina mkononi lakini hawaliamini mpaka j4 wanausoma mchezo kwanza. Ni kama watu wamepigwa daflau, kafulila alikuwa anaongea hovyo Azam TV kuashiria mayai viza waliyoshika yamepasukia mikononi kwao. Acheni hewa safi ipite na kila mtu akae sawa, hata watoto wa kuporomosha matusi JF wamekumbwa na daflau.

Hii ni salamu pia kwa majirani, waache kujiamini sana kwamba watashinda kutegemea mpinzani kujifunga waandae mikakati thabiti sio kuongea tu.
 
Wengi kwenye kundi hawakuwa coninced kabisa. Walifuata pesa. Kama mchezo umeisha wafanye nini zaidi. Nchimbi keshato pongezi kwa Magufuli.

It might be a blessing in disguise kwa Lowassa. Apate muda wa kuangalia afya yake!

Timu Lowasa mtu Hatari kwao alikuwa Membe Yaani walichanganyikiwa baada ya kuona jina la membe kwenye top 5 , lakini baada ya kukatwa Membe hawana shida kwani Lowasa hana njaa na wapambe wake hawana shida juu ya magufuli watampa sapoti bila chenga .
 
Ni wazi hii ndio team pekee iliyokuwa na rasilimali fedha na watu lakini ilikosa uongozi au weledi.

Hilo linaonekana mpaka sasa kwa kuwa baada ya kukatwa team hii imepagawa na kuchanganyiwa kabisa.

1-Kuna kundi limechana kadi za ccm.

2-Kuna kundi limetangulia ACT

3-Kuna kundi limebaki kimya ndani ya ccm

4-Kuna kundi limemsapoti magufuli

5-Kuna kundi linatishia kwenda CDM

6-Kuna kundi halijulikani linafanya nini

Bashe yuko kimyaa!

Kingunge yuko kimyaa!

Nchimbi,Simba na Kimbisa hatukusikia kama waliwasilisha ile rufaa yao au la.

Yale mabasi ya Team lowassa hayajulikani yalipo yaani ni full chaos.

Hii ni ishara tosha ya kutokujipanga kwa Team hii.

kwa upande wa Team membe bado ni watulivu

Ile Political ambush waliopigwa ilifanya #TeamEL igeuke mnara wa babeli
 
Back
Top Bottom