Vijana wengi wa kidato cha sita, ndiyo wameingia mtaani sasa.
na hapa jukwaani wako lukuki.
Vijana na washauri muunde timu yenu hapa ili mjulikane watu wasipate shida sana kuwashauri pindi mnapoposti, hasa kwenye mambo ya mahusiano.
Wakuu hivi uwepo wa hawa vijana katika jamii both (KE na ME) una impact zozote zile?
kindoa n.k