Mparee Halisi
Senior Member
- Jan 4, 2014
- 104
- 8
teachers junction;8597205 said:Mahitaji ya walimu wa primary.
1. Diploma na Grade A.
mikocheni Dar es salaam.
Salary 400,000/= to 500,000/=
chakula cha asbh na mchana.
usafiri ni pamoja na wanafunzi.
mahitaji ni walimu watatu.
2. Diploma na Grade A
Mbezi ya kimara.
salary
400,000/= to 495,000/=
chakula asbuh na mchana
usafari na wanafunzi
mahitaji walimu kumi na moja.
Nb.
interview ni leo tarehe 04,02 mpaka 10,02,2014.
+255-753810857.
Asante kwa taharifa mkuu lakini kwa walimu ambao tupo mikoani inatupa shida sana kuja huko Dsm kfny int.Ushauri wangu ungetoa nafasi tutume CV zetu mf. Mimi ni mwl mzoefu kazin kwa miaka 8, nina cheti drj IIIA, dplm ya ualimu pia sasa hivi nipo Chuo Kikuu Ruaha Irnga mwaka wa 3 nasoma ualimu pia.Lengo langu mara baada ya kuhitimu mwezi wa 7 nikutafute unitafutie shule hapo Dsm.Kama kutakuwa na uwezekano wa uongozi wa shule ulizotangaza hapo juu niwatumie CV yangu ili mara baada ya kuhitimu mwezi wa 7 nije kuandikiana nao mkataba.0752533301.
teachers junction;8654069 said:Inawezekana.
wewe tutumie email address yako kama sms kisha tutakutumia form utajaza na kuscan vyeti kisha utaturudishia.
+255753810857
teachers‘ junction;8725789 said:yap kaka jitahidi uwahi kesho asubh.
teachers junction;8667581 said:Diploma.
nafasi tatu.
salary 400,000/=
kama uko tayari plz andaa
10,000/= registration fee.
7
ka ero link kadogo...
wakija walimu 50 wote wanalipa reg fee (10000x50) halafu mnawapa kazi watatu tuu..
majanga haya
teachers junction;8011417 said:Habari wana JF.
Mawakala wa ajira za walimu tanzania "Teachers junction" kuanzia sasa tutakuwa tunaweka updatz zetu humu. Hivyo walimu, wasokuwa walimu bali wamewahi kufundisha na wenye nia ya kufundisha. Tunashauri wawe na mazoea ya kupita hapa kila mara ili kujua nini tunacho kwa wakati huo. Pia zingatia kuwa nafasi zitakazotangazwa ni zile zilizopo kwa wakati huo.
Hata hivyo mwalimu anapofanya usajili wakati nafasi yake hakuna atapewa kipaumbele pindi itokeapo kabla ya kutangazwa.
Teachers junction the strength of eduation.
+255753-810857
teachers junction;8738718 said:Serio jitahd kuwa serious na uwe na akili za kikubwa.
pia penda kuprove unachoandika sio unaropoka coz una uhuru wa kuongea.
walimu walokuja kwetu mwaka 2014 ni Degree 45.
diploma 32
grade A 12
Nursery 21.
Achana na non profesionalz.
Ambapo mpaka sasa
Degree wapo walimu 10
Diploma 2
Grade A 1
Nursary 3
na hawa ni kutokana na ubali,maslahi yao kuwa juu,sababu za kifamilia au uwezo binafsi kuwa mdogo.
so please nakushauri usipende kuropoka.
Hata hivyo Teacherz Junction wanakupa network ya uhitaji wa walimu kwenye mashule hivyo wewe na mwajiri mtakutana na kujadili mshahara na kila kitu.
kisha kukusaidia kusimamia ahadi walizoweka shule mpk unasain mkatb.
hvy wao kuwalipa huduma hy ama at once au ndan ya miezi mitatu.
hata hvyo bado tuna mahitajio ya walimu wa Diploma kwa masomo yote na Nursery Teacherz.
+255753-810857.
Acheni usanii
nawauliza hayo makato ni kila mwezi? mbona hamjibu?