Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,092
- 136,656
- Thread starter
- #21
Juzikati si ulikuwa kwenu
Ikungulyabashashi .??
Umeshasepa au?
Hakuna anayejua nilipo...hata mi mwenyewe kuna nyakati huwa sijui nilipo!
Juzikati si ulikuwa kwenu
Ikungulyabashashi .??
Umeshasepa au?
Kwa lile shape duuh kiunon kushuka chini........Dah...acha tu aisee.
MBONA YUPO KAWAIDA?
Aisee mwalimu yuko vizuri very smart
Nakumbuka primary kulikuwa na ticha aisee alikuwa msafi yeye ni high hills alinifundisha std5&6 sikuwa muona kavaa ronya
Mkuu hebu weka picha au mtaje mrembo ambae kwako yupo juu ya huyu [HASHTAG]#teacherbae[/HASHTAG] by your standards...plz ombi.MBONA YUPO KAWAIDA?
Hahaahaha tell emUlidhani atakuwa na mapembe kama ng'ombe?
Mkuu hebu weka picha au mtaje mrembo ambae kwako yupo juu ya huyu [HASHTAG]#teacherbae[/HASHTAG] by your standards...plz ombi.
Sababu bunafsi nahisi dada ni mrembo na pia ni package iliyojaaliwa.
Kuna watu hadi mtu unawatamani kuwala kabisa!
Imagine kidume nimekaa kwenye dawati halafu Ms. Brown yupo pembeni yangu kainama akinielezea tofauti katika ya intensive na reflexive pronouns!
Hahaahah hiyo ni phrase moja mkuu kwa kingereza maana yake "not long ago"juzikati nini maana ya hili neno, kwa kweli linanichanganya, maana yake ni nini? ni juzi
au katikati ya majuzi na juzi? au?
hivi wewee....!!Wakubwa wanafaidi sana.
kabla sijamaliza kusoma nilikimbia kwenye picha kwanza

Yani kwa jinsi alivyo unapitiliza moja kwa moja chumvini kama mwehu mpaka uambiwe subiri kwanza....then unatoa mshangao domo wazi kama style ya steve harvey's mandingo. Dah!!Ticha mtamu kweli huyo!
Shemeji kuwa mpole huu mchezo hauitaji hasira ujue eeh?hivi wewee....!!
ntakusemea loohh!!![]()
![]()
![]()
![]()
nani mieShemeji kuwa mpole huu mchezo hauitaji hasira ujue eeh?
ukinisemea ujiandae kusuluhisha shauri yakooooo
ha a ha ha ha hanani mie![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ntakuruka futi mia...
ntamuambia aje jf then nampa I'd yakoo!!!
not a big deal, Ukitua state unilengeshe tuHakuna anayejua nilipo...hata mi mwenyewe kuna nyakati huwa sijui nilipo!