Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,369
- 7,611
Nawashukuru wote tulioshiriki pamoja kufuatilia Ahadi za TCU. Hatimae wamefungua Udahili kwa ajili ya Diploma Holders
Leo ni Tarehe 15/8
Tumesubiri toka usiku na sasa ni mchana na karibia siku inaisha hivihivi. No Guidebook no new message.
Tarehe 11/8
Mchana
Wamesema wanashughulikia Guidebook hadi Tarehe 15 ambayo ni siku ya Jumatatu wiki ujayo.
Niwatakie wikiendi njema japo twateseka.
Asubuhi
Leo wameondoa Tarehe wanasema "cas will be opened soon"
When is "soon"?
Tarehe 10/8
Leo ni tarehe 10/8 lakini bado hakuna tamko lolote. Awali walisema tarehe 8/8 huku wakijua ni sikukuu na wasingefanikisha.
Simu zao hazipatikani. Au wameingia ubia na wauza Bando za Internet na cafe? Au wanalipwa kwa kuwa na traffic nyingi kwenye web yao?
Je hawajakiuka Cyber Crime Act kwa kutoa taarifa za uongo?
Nani wa kuwahukumu?
Tarehe 31/8
Leo ni tarehe 31 mwezi wa saba na nimewahi kuamka ili nijisomee guidebook na kuchagua zangu vyuo mapema lakini hola. Sijaweza wala nini. Bado cas inasema hadi tarehe 31tena wakati ndo leo.
Hiyo guidebook yenyewe bado.
Na ile elfu 30 ya waloomba mkopo before 11July wakiwa na 2.7 -3.4 GPA haijarudishwa.