TCU! TCU! Aisee mnatuchosha....

Hiyo bodi tangu imeanzishwa ni miyeyusho tu,labda warudishe kama enzi zile tunakula Ngororo dirishani.
 
kuna jamaa yangu ambaye jina lake helikuwa kwenye zile list tatu walizotoa (not selected but qualifies, no 2 principla passess & with no 3 credits at "o" level). Niliangalia kwa umakin sana sikuona kabisa jina lake. CHAAJABU hawa jamaa jana wamemtumia sms kumkumbusha kuwa jina lake lilitoka kwenye list ya qualified and unselected, wakamtaka apeleke haraka machaguo yake na anwani zake. Najua watu wengi watakuwa wanakumbwa na tatizo kama hili. Pia naamini kuwa zile sms hazitawafikia walengwa wote kwa sababu tofauti tofauti. Najua pia uzembe huu athari zake ni kubwa kwa maisha ya mtu binafsi, familia yake, kijiji atokacho mpaka kwa taifa.
 
Duh,sasa hv hawaandiki sorry results are not yet published,ila ukiselect selection results hukuti kitu!
 
Back
Top Bottom