TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

mimi kuna mtaalam alinijuza kwamba ukiona capacity ipo 0 means that the given institution 2 that program has become full ikiwemo na wewe pia umo ndani yake,,,and when you see negative 5 and whatever means that kuna wa2 watano wamezidi idadi inayotakiwa,,sasa hapo kupata au kukosa hcho chuo itategemea na vigezo ulivyonavyo mfano cutting points(A LEVEL/O LEVEL),,pia kama wanawake wapo weng ktk waombaji huwa wanapewa priority..

Mkuu Mimi Kuna Jamaa Yangu Ali Apply 2nd Round.Mara Ya Mwsho Alipochek Akakuta Remaining Capacty Katka Kla Programm Zote Zimebaki 0 Na Mwsho Wa Siku Akaangukia 3rd Round
 
mwaka huu vyuo vimeweka vigezo vya cutting off points zenye ufaulu wa juu sana,kwahy huenda alichagua courses za kibabe...na unakuta wengi waliochagua course hyo wanaufaulu wa juu sana,haya ndo madhara ya BRN.
 
tangazo la third round linasema uchague course moja kwenye cas ni course 5 ipi sahihi

Mkuu Nakuomb Usifanye Kosa La Kuomba Course Moja Kama Kwel Unajipenda..Fuata Maelekezo Ya Kwene Account Yako Ya CAS Na Uombe Course 5...Lile Tangazo Lilikua La 2nd Round Wakalifanyia Editing Lakn Wakasahau Kuitoa Hyo Sehemu Inayoelekeza Uchagua Only One Programm
 
mwaka huu vyuo vimeweka vigezo vya cutting off points zenye ufaulu wa juu sana,kwahy huenda alichagua courses za kibabe...na unakuta wengi waliochagua course hyo wanaufaulu wa juu sana,haya ndo madhara ya BRN.

Siyo Mchezo Kaka BRN Imepoteza Thaman Ya Elimu Yetu...Mwaka Jana Kuna Watu Pia Walikosa Kabsa Vyuo Nasikia
 
mimi kuna mtaalam alinijuza kwamba ukiona capacity ipo 0 means that the given institution 2 that program has become full ikiwemo na wewe pia umo ndani yake,,,and when you see negative 5 and whatever means that kuna wa2 watano wamezidi idadi inayotakiwa,,sasa hapo kupata au kukosa hcho chuo itategemea na vigezo ulivyonavyo mfano cutting points(A LEVEL/O LEVEL),,pia kama wanawake wapo weng ktk waombaji huwa wanapewa priority..

sasa mkuu znajaa vipi wakati application bado watu wanafanya na izngatwe kwamba hatuomb coz 1 tunaomba 5?! ingekuwa tunaomba coz 1 ingekuwa iksoma 0 unajua imesha jaa lkn n mm npo lkn zpo 5 mkuu...
 
tangazo la third round linasema uchague course moja kwenye cas ni course 5 ipi sahihi

hayo ni makosa ya kiuandishi kwenye tangazo lao mkuu ingekuwa tunaomba coz 1 system icngekubal unapoweka coz zaid ya moja
 
mnaozungummzia capacity 0 kuweni makini sana kwakuwa unapoona kozi fulan inasoma 0 ina maana imejaa kwenye hicho chuo hawataongeza mwanachuo mwingine tena, pia wakati unajaza kama capacity ni chache mfano inabidi uwe faster sana maana unaweza shangaa wakati unaanza nafasi ni 3 unamaliza hujasubmit ni 0
 
wakuu hii web ya tcu cjui inamatatizo gan na cjui ni lini itakaa fresh ukzingatia cku znywe zmebak 2!!!?
 
unasumbua mpaka mda huu,,,, lkn nazan inabid tuwe karib na mtandao mda wote,,, sababu mda wenyew ndo huo. ila ukiona capacity inasoma 0 hiyocoz ipo full
 
sasa mkuu znajaa vipi wakati application bado watu wanafanya na izngatwe kwamba hatuomb coz 1 tunaomba 5?! ingekuwa tunaomba coz 1 ingekuwa iksoma 0 unajua imesha jaa lkn n mm npo lkn zpo 5 mkuu...
hvyo ndo hali halisi ilivyo si lazima ingekuwa mkiomba course moja ndo ijae au isijae,kimsingi ni kwamba kuomba kozi 5 cyo kigezo cha hzo kozi kutojaa eti kisa ni nyingi..watu wanapgania hzo nafas chache zilizobaki ili wasikose kabisa vyuo,kwahyo mkuu tuombe mungu hii ndo TZ.
 
mimi kuna mtaalam alinijuza kwamba ukiona capacity ipo 0 means that the given institution 2 that program has become full ikiwemo na wewe pia umo ndani yake,,,and when you see negative 5 and whatever means that kuna wa2 watano wamezidi idadi inayotakiwa,,sasa hapo kupata au kukosa hcho chuo itategemea na vigezo ulivyonavyo mfano cutting points(A LEVEL/O LEVEL),,pia kama wanawake wapo weng ktk waombaji huwa wanapewa priority..

Thanks Upo Sawa
 
daaaah kwa hyo mnashaurije wakuu coz ikisoma zero hata ukiitoa au?
 
Thanks Upo Sawa

Kama yupo sawa na amesema ukiona capacity ni zero that means chuo kimejaa na wewe applicant ukiwemo what if capacity ikiwa zero kwenye zaidi ya chuo kimoja maana yake umechaguliwa kwenye chuo zaidi ya kimoja?

Sidhani kama ni kweli hiyo concept yake kwa simple reasoning tu
 
iyo concept iko sahihi mkuu that means uyo mtu ni eligible kwenye iyo coz ya chuo flani lakini bado kunaushindani atakutananao ambao umebase kweny performance sanasana.......lakini capacity ikiwa positive something kuna uwezekano mkubwa sana wa kuchukuliwa kwani inamaanisha bado watu wanaitajika katika coz husika.....
kuna jamaa angu nilimjazia mwenyewe na alichanguliwa 2nd round na vyuo vyote vilibakiwa na ZERO in capacity meanig alikua anasifa kuchaguliwa katika vyuo ivyo vyote vitano lakini kutokana na priority ya chuo alichaguliwa kwenye chuo ambacho kilikua cha kwanza but hii hutokea endapo hamna compitition sana ila ikiwepo anaweza chaguliwa cha 2 au 3 au 4 na wapo wanaochaguliwa ata cha 5.....you see

NADHANI UMENIELEWA KIDOGO.......
 
Back
Top Bottom